Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,852
- 58,642
Mambo ya ajabu hayo...Upo kama mimi..
Leo salamu inapoteza mda jamani realy..!!!
Mambo ya ajabu hayo...Upo kama mimi..
Si kwa ubaya mkuu,sema hi pita,tena mkono ndio sitoi kabisa.Salamu inachukua dakika ngapi mkuu
Mpaka useme unapotezewa mda
Lengo la salamu unaelewa lakini mkuu...!! ?Si kwa ubaya mkuu,sema hi pita,tena mkono ndio sitoi kabisa.
Na Mimi naheshimu privacy za watu Sana,siku ingine unaweza pita bila salam hainisumbui kabisa.
Kila mtu na principal zake,moods,stress,busy nk
Hali ya mtu ni privacy pia.Lengo la salamu unaelewa lakini mkuu...!! ?
Kujuliana hali tuu . Labda wewe kama haupo socially na waliokuzunguka ndo utakua unachukia mambo kama hayo
Ahahahahah muda utaongea pia kama hali yako ni privacy..Hali ya mtu ni privacy pia.
Ajabu wananipenda mnoo.Lengo la salamu unaelewa lakini mkuu...!! ?
Kujuliana hali tuu . Labda wewe kama haupo socially na waliokuzunguka ndo utakua unachukia mambo kama hayo
Secretary za asubuhi, 😀😀Muungwana usalimia.
Salama, we za chuo?Secretary za asubuhi, [emoji3][emoji3]
Mkuu haimaanishi hamsaidiani kwenye dharula,hapo lazima ufike,nami nishapata zangu nao lazima wafike.Ahahahahah muda utaongea pia kama hali yako ni privacy..
Kuna mambo hayahitaji privacy lazima kuwepo na share mkuu
😁😁😁😁, nzuri tu naona unapita pita humu,Salama, we za chuo?
Mi sipendi tu mtu kunichagulia aina ya salamu. Nikikupa shkamoo chukua nikikupa habari yako chukua. Usianze sijui ohhh kwani tunalingana mara ohh wewe kaka acha dharau ulivo mkubwa hivyo unanipa mimi shkamooHabari za asubuhi Jambo Forums!
Wengi nimeshuhudia wakisemwa vibaya kwenye mikusanyiko mbali mbali kwa sababu ya kutosalimia aidha kwa bahati mbayaau makusudi.
Hivi kwa nini imefika kipindi ni bora Mtanzania umnyime chakula ila si salamu?
Yaani hata ukiwa ndani ya gari ukampita mtu bila kumsalimia atasambaza maneno mtaa wote na wote watakuona unajivuna.
Hata ukikuta tu 'wasela' wamekaa basi ukiwapa salamu wanaweza hata kutokukukaba kabisa.
Ingawa salamu ni nzuri ila ni kwa nini Watanzania wengi wanailazimisha na kuifanya kama chakula?
Mpaka kufikia watu kuchukiana na kujengeana husuda kwa ajili ya salamu si dalili nzuri. Tujithamini!.
Cha ajabu na wewe umeanza Thd yako kwa kusalimia.Habari za asubuhi Jambo Forums!