Tabia ya Watanzania wengi kupenda kusalimiwa!

Tabia ya Watanzania wengi kupenda kusalimiwa!

Kusalimia ni jambo jema ila hakuna kitu kinatia hasira kama unapomsalimia mtu then anakuangalia kwanza ndio achague rensponse iweje.Yani mtu baada ya kuitikia salamu anakuangalia kwanza wewe ni type gani.

Hii tabia naona sana kwa wanawake na kazini pia.Sema wasukuma wanapenda kusalimiwa sana sijui kama kuna kabila linawafikia hawa
 
Hahahaha yaani inafika wakati watu wanapenda salamu kuliko kula?
 
Habari za asubuhi Jambo Forums!

Wengi nimeshuhudia wakisemwa vibaya kwenye mikusanyiko mbali mbali kwa sababu ya kutosalimia aidha kwa bahati mbayaau makusudi.

Hivi kwa nini imefika kipindi ni bora Mtanzania umnyime chakula ila si salamu?
Yaani hata ukiwa ndani ya gari ukampita mtu bila kumsalimia atasambaza maneno mtaa wote na wote watakuona unajivuna.

Hata ukikuta tu 'wasela' wamekaa basi ukiwapa salamu wanaweza hata kutokukukaba kabisa.

Ingawa salamu ni nzuri ila ni kwa nini Watanzania wengi wanailazimisha na kuifanya kama chakula?

Mpaka kufikia watu kuchukiana na kujengeana husuda kwa ajili ya salamu si dalili nzuri. Tujithamini!.
Mtoa mada kalelewa na single mother
 
Binafsi huwa nakereka salaam ndefuu,we sema vipi nikujibu poa pita.
Aseee kuna watu wanapenda kuwastiana time na kutaka kukujua Sana,kitu nisichopenda kabisa.
I love my privacy.
Salamu inachukua dakika ngapi mkuu
Mpaka useme unapotezewa mda
 
Back
Top Bottom