Tabia ya mtu haibadiliki

Tabia ya mtu haibadiliki

Kalamu1,
Alipokuwepo Jakaya Kikwete watu wakawa wanajipigia fedha,na wengine kubeba kwenye sandarusi mkawa mnasema rais gani huyu mpole anacheka cheka tu.

Amekuja huyu mzee wa kazi mnaanza maneno mengine. Rais lazima awe mkali na lazima aogopwe ili mambo yaende. Sasa ile Petrol station kama ilikuwa kwenye hifadhi ya barabara we ulitaka iachwe? I am not a politician but i have common sense.
Hivi mahakama ya mafisadi imesikiliza kesi ngapi in five years za Magufuli na ilianzishwa kwa sababu zipi? Je unaweza kutuambia why Prof Assad aliondolewa kwenye nafasi ya CAG Kama awamu hii hakuna upigaji?
 
Mkuu unajua sheria zipo kwa ajiri ya watu au?unadhani why sheria huwa zinabadirishwa? Serikali ni Mali ya watanzania na IPO kwa ajiri ya kuwahudumia,ni bahati mbaya tuna rais ambaye anadhani serikali ni chombo cha kuwakomoa watanzania na pesa za serikali hazitokani na watanzania
Sheria zinabadirishwa kama unavyobadiri shati? Sheria huwa inaangalia mazingira yaliyopo na sera inayoendana na wakati uliopo. Sio ubadilishe sheria kisa usibomoe nyumba za watu waliojenga kwenye road reserve wakati mazingira ya sasa yanahitaji kupunguza foleni. Acha ushabiki.
 
Duh, ameharibu kila kitu. Mimi nilijua force account atatumia kwenye miradi under 50m. Yaani hadi miradi ya B anaifanya kwa force account, hakika ni mkwamo mbaya sana.
Watendaji wanajua wanafaidi na hizo kamati zao, ila siku si nyingi zitawatokea puani.
Huku kwenye ujenzi kaja na force account ambayo imefeli vibaya sana,

Kanunua ndege cash kwa mbwembwe lakini anashinndwa kuwanulia wanyonge barakoa na sanitizer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafiki na upumbavu ni kudhani kutajwa makosa yake maana yake ni kuwa hakuna mazuri. In fact kuwaza hivyo tu ni zaidi ya ujuha.
Mkuu mazuri tumeshayataja kwa kumlipa mshahara,ana bahati kwa kuwa anaongoza mazuzu wengi Kama wewe otherwise hayo mabaya machache aliyoyafanya ambayo nahakika hayapo kwenye JD yake yangetosha kumungoa
 
Hivi mahakama ya mafisadi imesikiliza kesi ngapi in five years za Magufuli na ilianzishwa kwa sababu zipi? Je unaweza kutuambia why Prof Assad aliondolewa kwenye nafasi ya CAG Kama awamu hii hakuna upigaji?
Maswali mengine huwa mnauliza mmelewa? Takwimu za mahakama ya mafisadi si uingie kwenye tovuti ya mahakama upate jibu. Kuhusu CAG kwani katiba inasemaje? Ni lazima abakie mpaka astaafu au? Naomba usome katiba viuri.
 
Sheria zinabadirishwa kama unavyobadiri shati? Sheria huwa inaangalia mazingira yaliyopo na sera inayoendana na wakati uliopo. Sio ubadilishe sheria kisa usibomoe nyumba za watu waliojenga kwenye road reserve wakati mazingira ya sasa yanahitaji kupunguza foleni. Acha ushabiki.
Hizo porojo zote ulizozitaja mlengwa ni mtu fullstop na sheria zote ni kwa ajiri ya kuhakikisha usitawi wa watu na si kuwakomoa watu,I am sorry tunaongozwa na wasiojielewa
 
Hizo porojo zote ulizozitaja mlengwa ni mtu fullstop na sheria zote ni kwa ajiri ya kuhakikisha usitawi wa watu na si kuwakoa watu,I am sorry tunaongozwa na wasiojielewa
Mawazo yako binafsi sio ya watanzania wote. Sasa ustawi wa watu sio na kuwa na barabara bora ambazo hazina foleni!
 
Maswali mengine huwa mnauliza mmelewa? Takwimu za mahakama ya mafisadi si uingie kwenye tovuti ya mahakama upate jibu. Kuhusu CAG kwani katiba inasemaje? Ni lazima abakie mpaka astaafu au? Naomba usome katiba viuri.
mkuu mwaga hapa hizo kesi ilizohukumu,kwani hayo mazuri ya rais unayatapika hapa kwa kuwa hayaandikwi kwenye tovuti ya serikali?Kwa mujibu wa katiba yetu Prof alipaswa kuendelea,Ila fisadi wetu katuambia anajifanya muhimili kutaja 1.5T alizokwapua
 
Acha kukariri na acha uzushi.
 
Attachments

Mawazo yako binafsi sio ya watanzania wote. Sasa ustawi wa watu sio na kuwa na barabara bora ambazo hazina foleni!
Sasa WB wamemnyimaje pesa Kama alikuwavsahihi hadi kupelekea kujenga 17 kms for four quick years na kilometer zingine zilizobaki kuwa suspended indefinitely
 
Sasa WB wamemnyimaje pesa Kama alikuwavsahihi hadi kupelekea kujenga 17 kms for four quick years na kilometer zingine zilizobaki kuwa suspended indefinitely
Wewe mwenyewe hujijui ni nani. Mara unaleta ishu ya CAG mara WB. Nenda kalale.
 
Hili la covid 19 linaeza tuumbua huko mbele, unless tuwe na bahati sana ,ila pamoja na kufundishwa na wataalamu, tumeamua kuchukua njia za miujiza kupambana na covid19, badala ya Ile zinazopendekezwa na wataalam, na kibaya zaidi bado kuna watu wanaamini hilo.

Jana inasemekana wagonjwa wamevunja mlango huko Amana, hii si dalili nzuri, inaonekana ukweli ni kuwa huduma za afya zimekuwa exsausted, mwanzo kabisa wa mpambano, katika kipindi amabapo pengine tulikuwa tunazihitaji sana .

ĺ

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio inasemekana! Ni kweli wametoroka Mkuu wa Wilaya ya Ilala kathibitisha

Hata shule vyuo ingekuwa amri yake tungefungua tu kwa akili zake navyoziona.

Hapa anaohofu tu kelele za dunia

Yaani anadiriki kusema eti Dar es Salaam haiwezekani kufungwa kwasababu ndo center ya kukusanya mapato ya serikali!!?

Kwake mapato ni bora kuliko uhai wa wananchi!?

Mtu mwenye busara ili kuepusha kusambaa kwa virus nchi nzima angalau anafunga mikoa. Kila mkoa unabaki na watu wake hakuna mtu kutoka wala kuingia mkoa mwingine hadi hali ikae vizuri

Basi kama Dsm hawana bidhaa, magari ya mizigo yangeruhusiwa kuendelea na safari zake.

Sasa fikiria gari linatoka Dsm Hadi kigoma, Bukoba, Songea limejaa abiria. Halafu awemo mmoja tu aliyepata maambukizi! Wanafika wakiwa wangapi wameshaambukizwa?

Kwani na hili lingewanyima kura?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom