Tabia ya mtu haibadiliki

Tabia ya mtu haibadiliki

Kwani pesa imekosekana? Kazi si inaendelea?
Najaribu kufanya zile hesabu za form one za cross multiplications kwamba Kama kilometer 17 zinajengwa for 4 good year,je ingekuwa kilometer 100 ingejengwa for how long? Jibu nimeshindwa kuliandika maana namuonea aibu Mr Hapa kazi tu
 
Umeanza habari za ufisdi wa tril 1.5,ukaleta habari za CAG kutumbuliwa sasa unaleta habari za hesabu za darasa la pili. Uko sawa mkichwa?
 
Umeanza habari za ufisdi wa tril 1.5,ukaleta habari za CAG kutumbuliwa sasa unaleta habari za hesabu za darasa la pili. Uko sawa mkichwa?
Mkuu Kama ubongo wako ni mdogo na wenye uwezo mdogo sio kosa langu na hupaswi kunilaumu Mimi,i am so sorry
 
Mkuu mazuri tumeshayataja kwa kumlipa mshahara,ana bahati kwa kuwa anaongoza mazuzu wengi Kama wewe otherwise hayo mabaya machache aliyoyafanya ambayo nahakika hayapo kwenye JD yake yangetosha kumungoa
Wewe akili yako imepinda hasa.

Hii sio mara yako ya kwanza kuchanganya mambo na kukuonyesha ujuha ulionao, bado unarudia makosa yale yale.

Walimu wako walikuwa/wana taabu sana kukufundisha wewe hadi uelewe chochote.

Na huenda bado hutaelewa karipio hili nililokupa, kwa sababu akili yako ni rahisi sana kuchanganyikiwa. Unasoma maandiko, lakini huelewi unachosoma, na badala yake unabwatuka tu, na kujiandikia yasiyohusu kabisa na unachokijibu.
 
Mkuu Kama ubongo wako ni mdogo na wenye uwezo mdogo sio kosa langu na hupaswi kunilaumu Mimi,i am so sorry
Wewe mwenyewe hujijui alafu alafu useme mimi ubongo mdogo. Unavyotapatapa inaonekana ni mjinga ambae hujijui. Na labda ni chakula...
 
Wewe akili yako imepinda hasa.

Hii sio mara yako ya kwanza kuchanganya mambo na kukuonyesha ujuha ulionao, bado unarudia makosa yale yale.

Walimu wako walikuwa/wana taabu sana kukufundisha wewe hadi uelewe chochote.

Na huenda bado hutaelewa karipio hili nililokupa, kwa sababu akili yako ni rahisi sana kuchanganyikiwa. Unasoma maandiko, lakini huelewi unachosoma, na badala yake unabwatuka tu, na kujiandikia yasiyohusu kabisa na unachokijibu.
Bahati mbaya mie sijasoma shule za kukariri Kama wewe na kwa sababu hiyo mtu mwenye akili Kama isiyoweza kujaa hata kwenye kisoda kama wewe hawezi kunielewa.
 
Petrol station alilipa shilingi ngapi fidia baada ya kwenda mahakamni.
Kuna petro station ambayo unaijuwa iko mjini ambayo iko nje ya road reserve.
Petro station ni sehemu ya barabara
Kalamu1,
Alipokuwepo Jakaya Kikwete watu wakawa wanajipigia fedha,na wengine kubeba kwenye sandarusi mkawa mnasema rais gani huyu mpole anacheka cheka tu.

Amekuja huyu mzee wa kazi mnaanza maneno mengine. Rais lazima awe mkali na lazima aogopwe ili mambo yaende. Sasa ile Petrol station kama ilikuwa kwenye hifadhi ya barabara we ulitaka iachwe? I am not a politician but i have common sense.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili kwa mbali lina mantiki! Ila jamaa nae anatoa pesa kwa mafungu usimlaumu mkandarasi. Maana pesa yote ipo hazina maana kipindi cha nyuma mlikuwa mnaiba sana.
Hizo zilizopigwa soma report za CAG 5 yrs now vipi kulikoni
 
Back
Top Bottom