Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,123
- 128,768
Hata ukifanya mashindano ya ugly faces, kuna mzuri wake.Kwa nini unapaita 'pema' ?
Kwani haiwezekani wote wawili wakawa ni wabovu, hata kama ubovu wao unatofautiana?
P
Hata ukifanya mashindano ya ugly faces, kuna mzuri wake.Kwa nini unapaita 'pema' ?
Kwani haiwezekani wote wawili wakawa ni wabovu, hata kama ubovu wao unatofautiana?
Pesa zote za michango ya corona ..kapeleka hazina..huyu mtu hawatakii mema WatanzaniaWewe umeangalia mapungufu tu , rejea na upande wapili kama hauoni basi ni bahat mbaya
Ni jambo lipi au mradi gani aliowahi kuufanya John Pombe Magufuli, akiwa mbunge na sasa akiwa rais aliowahi kuubuni na kuukamilisha kwa utulivu, bila ya mitifuano na watu, wafanya kazi, contractors, raia au taasisi.
Ukiangalia barabara zilizojengwa, utakuta mikwaruzano kila sehemu. Naikumbuka ile Shell ya Mwanza; samaki wa Magufuli; wakazi wa Kimara; Kivuko cha Kigamboni, na mengi mengineyo.
Pamoja na kusifika kupiga kazi kwa nguvu, lakini weledi ni mpungufu anaposimamia kazi hizo. Kwake, kufuata taratibu zilizopo hakuna maana sana, mradi kazi inafanyika.
Kujifanyia yake nje ya katiba na sheria zilizopo ni kielelezo tosha cha tabia zake hizi mbaya.
Anasifika kwa kupambana na rushwa, lakini kwa taratibu zipi, na matokeo yake yatapimwa vipi?
Kuna taratibu za kisiasa zinazofahamika nchini, yeye kaja na njia zake za kununua wapinzani na vurugu tu nyingine nyingi.
Bunge na Mahakama zina taratibu zake, hata huko hakupaacha, mihuri ya utendaji wake wa vurugu inaonekana wazi kabisa.
Sasa tabia hizo hizo zinajirudia wakati akiwa rais. Kila sehemu ni mikwaruzano tu, hakuna linalofanyika bila kupigishana kelele, kutumbua, na mengine yasiyofaa.
Hili la COVID-19, ndilo linaloonyesha wazi kabisa tabia yake ya kutotaka kufuata taratibu. Yeye anajipigia tu anavyoona/hisi inafaa hata mahali asipokuwa na ufahamu napo
Hatari kubwa zaidi inayotokana na tabia yake hii ya kutofuata taratibu ni kwamba hata kama Taifa, sote tumeanza kuangukia kwenye tabia hiyo hiyo ya kutofuata taratibu zinazoeleweka katika kufanya mambo yetu; na hii imetugharimu na itaendelea kutugharimu sana tusipobadilika haraka.
Kuna umhimu mkubwa sana, kama taifa, turudi kwenye kufanya kazi zetu kwa kufuata taratibu zilizowekwa. Hili lisisitizwe sana hasa kwa watoto na vijana ambao bado wapo mashuleni. Taifa haliwezi kujengwa kwa kufanya mambo bila ya mipangilio isiyoeleweka.
Najua chini ya utawala wake hakuna kitakachoweza kubadilika. Bahati yetu kama taifa, huyo mwingine atakayekuja baada ya Kajoni, awe ni mtu msikivu na awe na ari ya kutuweka kwenye taratibu zinazoeleweka.
Nafikiri unalaumu mambo usiyoyajua.Sheria haikutumika aliposhinda kesi na kupata fidia?
Kwa nini usijiulize hilo kwanza!



watu wanamuhanya mwamba geu

Ni misemo tuu ya Kiswahili, mkataa pema, pabaya panamwita, tulimbeza sana JK kuwa ni rais dhaifu, sasa ameingia jabali, watu wanamkumbuka JK
P
Sihangaiki na watu kama wewe.
Hapa sasa umejibu nini unachojua wewe. Huyo mtu hakufidiwa kwa uharibifu wa biashara yake?Nafikiri unalaumu mambo usiyoyajua.
Sasa mtu amejenga ndani ya hifadhi ya barabara alafu unataka alipwe? Nenda kasome Road Act,2007. Section 1 mpaka mwisho.Hapa sasa umejibu nini unachojua wewe. Huyo mtu hakufidiwa kwa uharibifu wa biashara yake?
Wewe kweli unayo matatizo.Sasa mtu amejenga ndani ya hifadhi ya barabara alafu unataka alipwe? Nenda kasome Road Act,2007. Section 1 mpaka mwisho.
Hawa ni wale jamaa wa pingapinga.The end justifies the means.
Amefanikiwa kwenye mengi na huwa anayaongea sana kwenye hotuba zake.
Jaribu kurejea.
So what is what?Wewe kweli unayo matatizo.
Ninakwambia huyo mtu alilipwa, sio kwamba nataka alipwe.
Aisee tena hao watumishi ndo wamelifikisha taifa pabaya, wengi walikuwa Mungu watu.Kiukweli binafsi sijawahi kumkubali huyu kiongozi hata kidogo.Hafuati kanuni,taratibu na sheria ya chochote.
Hajali watumishi, hajawapandisha madaraja wala mishahara Miaka mitano sasa.
Anaona fahari kutumbua watumishi hata kwa vimakosa kidogo. Hana utu hata kidogo.
Kwa hili la corona tutadharaulika na Dunia nzima.
Naunga mkono hoja...Hala hala mkataa pema...
hata JK tulimbeza sana, alipoondoka akasema tutamkumbuka!, na kweli...
Hivyo na JPM hivyo hivyo huwezi jua...
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... - JamiiForums
P
Ila nitafuatilia kama ni kweli.Wewe kweli unayo matatizo.
Ninakwambia huyo mtu alilipwa, sio kwamba nataka alipwe.
End of the story.So what is what?
HUkweli mchungu mafanikio yanahitaji mtu ajitume na atoke machozi, jasho na damu!hayo in mafanikio ya enzi za ujima.take note Mkuu
Mafanikio hayaji hivihivi! 😝