Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,744
- 5,769
Mifano yako yote uliyoitoa ni kama inafanana. Mpaka leo wakazi wa kimara jibu ni hilo hilo. Kigamboni sijajua unalalamikia nini? Nauli ya 200? Kwa hiyo huo mfano sio nafuu.Ukinipa mifano mibovu yote, halafu uniambie nichague moja nafuu, nakuona huna umakini wowote.
Huo mfano wa kituo cha petroli nao umeutoa kwenye 'context' iliyotumiwa. Kukfanya mambo kwa kukiuka taratibu zilizopo, hata kama haina lazima.
Wewe hujui huyo aliyevuniwa mali zake pasipo kufuata taratibu alifidiwa?