Tabia ya mtu haibadiliki

Tabia ya mtu haibadiliki

Bahati mbaya mie sijasoma shule za kukariri Kama wewe na kwa sababu hiyo mtu mwenye akili Kama isiyoweza kujaa hata kwenye kisoda kama wewe hawezi kunielewa.
Basi inawezekana wewe ni mvuta bangi au kilevi cha aina inayoondoa akili timamu, maanake sio mara yangu ya kwanza kujaribu kukuweka sawa katika kuchanganyikiwa kwa unayosoma na unayojibu. Unalo tatizo hili hata usipokubali haliondoki.

Unapoandika hapa JF upupu, na kudhani kila anyekusoma anasahau upuuzi unaoandika, hilo peke yake linakufanya uwe umepungukiwa.

Kwa mfano, hili la kujigamba na elimu/shule//ufaulu, hii sio mara yako ya kwanza kuliweka mbele hapa JF kama kinga yako; lakini unayoandika yanaonyesha kinyume kabisa na majigambo hayo.

Kama baada ya hapa hutaelewa, hutaelewa kamwe!
 
'Sijjijui na 'chagu wa malunde', sitaki kuingilia ligi yenu. Endeleeni kwa wakati wenu.
 
Ukija kistaraabu utarudi kistaraabu.Ukija kipumbavu utarudi kipumbavu. Kamvulie basha wako chupi...
 
Sijaona inaporomoka Mzee,

Nikunong'oneze Mzee Baba yaani Mwaka huu Hadi mbowe ataipigia kura Ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ya Mbowe mimi siyajui, unayajua wewe; na hilo halinishangazi baada ya kukusoma kama hivi:"Sijaona inaporomoka Mzee".
Wewe kutooana haina maana haiporomoki.
 
Basi inawezekana wewe ni mvuta bangi au kilevi cha aina inayoondoa akili timamu, maanake sio mara yangu ya kwanza kujaribu kukuweka sawa katika kuchanganyikiwa kwa unayosoma na unayojibu. Unalo tatizo hili hata usipokubali haliondoki.

Unapoandika hapa JF upupu, na kudhani kila anyekusoma anasahau upuuzi unaoandika, hilo peke yake linakufanya uwe umepungukiwa.

Kwa mfano, hili la kujigamba na elimu/shule//ufaulu, hii sio mara yako ya kwanza kuliweka mbele hapa JF kama kinga yako; lakini unayoandika yanaonyesha kinyume kabisa na majigambo hayo.

Kama baada ya hapa hutaelewa, hutaelewa kamwe!
Mdogo wangu kaa mbali wewe huna uwezo wa kunitisha Wala kujifanya chochote,humu jamvini Kuna hundreds of comments a day,Kama unaakili kwa nini usome na kuqoute upupu,why usiupite tu Kama hujauona? Hili jamvi ni Mali yako? Kama si Mali yako huu ujasiri wa kuniandikia huu upuuzi unautoa wapi? Stupid
 
Wewe akili yako imepinda hasa.

Hii sio mara yako ya kwanza kuchanganya mambo na kukuonyesha ujuha ulionao, bado unarudia makosa yale yale.

Walimu wako walikuwa/wana taabu sana kukufundisha wewe hadi uelewe chochote.

Na huenda bado hutaelewa karipio hili nililokupa, kwa sababu akili yako ni rahisi sana kuchanganyikiwa. Unasoma maandiko, lakini huelewi unachosoma, na badala yake unabwatuka tu, na kujiandikia yasiyohusu kabisa na unachokijibu.
Mkuu Kama umenisoma na hujanielewa Kama unaakili timamu unashindwaje kuiruka comment yangu na kuendelea na Mambo yako? Au inalipwa kwa kusoma,kuedit na kutranslate kila comment humu ndani ya jamvi? Kama si hivyo Basi probably you are out of your mind
 
Back
Top Bottom