Tabia ya mtu haibadiliki

Tabia ya mtu haibadiliki

Mdogo wangu kaa mbali wewe huna uwezo wa kunitisha Wala kujifanya chochote,humu jamvini Kuna hundreds of comments a day,Kama unaakili kwa nini usome na kuqoute upupu,why usiupite tu Kama hujauona? Hili jamvi ni Mali yako? Kama si Mali yako huu ujasiri wa kuniandikia huu upuuzi unautoa wapi? Stupid
Akili itakurudi tu kama ni ukichaa ulioupata ukiwa mkubwa. Dawa zipo, na moja wapo ni hii ninayokunywesha wakati huu.
 
Mkuu Kama umenisoma na hujanielewa Kama unaakili timamu unashindwaje kuiruka comment yangu na kuendelea na Mambo yako? Au inalipwa kwa kusoma,kuedit na kutranslate kila comment humu ndani ya jamvi? Kama si hivyo Basi probably you are out of your mind
Naona dawa inaanza kazi.

Sasa tulia usiwe na kiherehere tena cha kurukia tu na ku'quote' yaliyoandikwa bila ya kuelewa ulichosoma.
Unakimbizwa na nani, au una mashindano ya kujaza uharo wako humu jamvini?

Usivyokuwa na akili, sasa unalalamika mimi nisisome uharo wako, na kumbe unaharishia kwenye niliyoandika mimi. Nikikueleza unamatatizo kichwani unalalama kama kichaa!
 
Du umenichekesha sana
 
Back
Top Bottom