Tabia mbaya za wanaume zisizopendeza

Tabia mbaya za wanaume zisizopendeza

Unajua toka uumbaji,mwanaume aliumbwa kwa uwezo tofauti na mwanamke kuanzia tune ya sauti mpka maumbile,hata hvyo haizuii kufanya vitu vya kiume kwa minajisi ya kuufurahisha moyo wake,

Umeelezea kwa uzur ila kuna point ina miss kdgo,unajua kuvaa sio tabia,kua mlev sio tabia,kukojoa njian sio tabia,kuvuta sigara sio tabia wala kuvaa mlegezo sio tabia,tabia yaan na maanisha tabia ni kitu pekee ambacho kinakutofautisha wewe na watu wote walikuzunguka na ndio kitu pekee ambacho binadamu anakimiliki na kumtofautisha na wengine.

Ulivyosema hapo juu ni mienendo ya maisha na sio tabia asilan,ambayo asilimia kubwa wanaiga. Maumbile ya mwanamke hawez kojoa ovyo kama mwanaume bt kuna mazingira ambayo yanaweza kunifanya nikojoe bila kuathiri jumuia,bt mwanamke hawez na mnaumia hasa kwa sababu nyie hamuwez hvyo ila mngekua mnaweza msingealalamika.

Naijua nguvu ya mwanamke,najua uwezo wa ubongo wake,najua udhaifu wake,na uzuri najua kinachowasumbua wengi ila kinachowakwamisha ni ile sekta moja tu ya kutojiamini kwa asilimia mia. Hapo ndio ugonjwa pekee wa mwanamke ulipo na wameshindwa kujitoa katika utumwa huo.

Najua unaweza kua na mawazo tofauti ila kwa mwanamke aliesoma sanaaa,anaeishi mjini na anaemiliki ving ambavyo fedha inanunua,,ukichimba ubongo wake na yule ambae hajaenda shule kbsa,ambae yupo kijijin hata gar mwaka mzima hapandi kuna vitu vinavyoshabihiana kwa zaid ya 60%. Kitakachomwangusha tu huyu wa kijijini ni uelewa,na mazingira lakin vingine vyte mnalingana.

Yte kwa yte nimependa ukivyopangilia vzur. Tchao
Very true

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
na mipete mikubwa kubwa mikononi! yaan mm jaman moyon huwa najaa jaman!mwanamume pete ya harus tu jaman!kha! mipete ya nn !had bracelet! uwiii!
Fanya yako achana nao

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Tabia ya wanawake wanaovaa madera alafu wanayaswega na kyupi,
inatupa wakati mgumu sana sisi watazamaji
 
Hilo la kukojoa naona mke wangu pia halipendi japo ... nimewahi lakini somo limefika penyewe
 
Hiyo ya pili inategemea na hali maana kama mwanaume kabanwa anatumia njia zozote kikubwa asijikojolee kwenye boxer, Under Field Condition. Hata wadada akibanwa anachuchumaa kwenye chocho anaachia tena wengine anapiga zote kubwa ba ndogo maana njia ya mkao wa ndogo na kubwa ni ileile kwa wadada.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ila wanaume wamezidi ukojozi njiani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom