Tabia mbaya za wanaume zisizopendeza

Tabia mbaya za wanaume zisizopendeza

Namba 4 ni janga kwakweli, unakutana na mtu kwakumuangalia tuu muonekano wa nje unamuona alivyochoshwa na stress za ndoa yake alafu bila aibu anakwambia sijaoa [emoji26][emoji26][emoji26]
Wanaume wenye tabia hii Mungu anawaona na mtahukumiwa vibaya embu acheni uongo [emoji57]
Hivi akisema ukweli ameoa utamkubalia???

Hahahaa sina maana mbayaa ila nafikiria tuu kwa sauti.
 
walikurupuka kuoa ndo maana wakajikuta wameoa majuto matupu
Sio kweli kwamba ni kukurupuka kuoa.

Kuhusu swala la mapenzi ni vgumu sanaaa kuelewa saikolojia ya mwanaume.

Muulize mleta mada km hajawahi kudanganya ili tu amkamate binti fulani[emoji13] [emoji13]
 
Hahahahahahaha lol! Na kachumbari yake kwenye kibox cha kibiriti anaimiminia kwake tu na mtu asipeleke mkono kwenye kachumbari yake 🙂🙂🙂
[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Rafiki Mimi huwa nakojoa kwenye papuchi tu basi![emoji53][emoji53][emoji53]

Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
 
You can't change anyone's life.
It's his/her own life chosen then.
 
Wanawake bila kudanganywa hatuwapati,ukitaka ummkose Mwanamke mwambie ukwel.

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom