Tabia mbaya za wanaume zisizopendeza

Tabia mbaya za wanaume zisizopendeza

Sema tu ukiona mtu katoa dudu kajificha ukutani anakojoa mawazo yako yanaenda mbali
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] akaah!namshangaa tu na kumdharau
 
binafsi sipend tabia ya' mwanaume' anaevaa cheni au hereni huwa siwaelew mtu yuko 40's unamkuata katundika cheni dah huwa nakatwa stimu kweli kweli huwa nahis somethn is wrong!(mombasa swag)
 
Unajua toka uumbaji,mwanaume aliumbwa kwa uwezo tofauti na mwanamke kuanzia tune ya sauti mpka maumbile,hata hvyo haizuii kufanya vitu vya kiume kwa minajisi ya kuufurahisha moyo wake,

Umeelezea kwa uzur ila kuna point ina miss kdgo,unajua kuvaa sio tabia,kua mlev sio tabia,kukojoa njian sio tabia,kuvuta sigara sio tabia wala kuvaa mlegezo sio tabia,tabia yaan na maanisha tabia ni kitu pekee ambacho kinakutofautisha wewe na watu wote walikuzunguka na ndio kitu pekee ambacho binadamu anakimiliki na kumtofautisha na wengine.

Ulivyosema hapo juu ni mienendo ya maisha na sio tabia asilan,ambayo asilimia kubwa wanaiga. Maumbile ya mwanamke hawez kojoa ovyo kama mwanaume bt kuna mazingira ambayo yanaweza kunifanya nikojoe bila kuathiri jumuia,bt mwanamke hawez na mnaumia hasa kwa sababu nyie hamuwez hvyo ila mngekua mnaweza msingealalamika.

Naijua nguvu ya mwanamke,najua uwezo wa ubongo wake,najua udhaifu wake,na uzuri najua kinachowasumbua wengi ila kinachowakwamisha ni ile sekta moja tu ya kutojiamini kwa asilimia mia. Hapo ndio ugonjwa pekee wa mwanamke ulipo na wameshindwa kujitoa katika utumwa huo.

Najua unaweza kua na mawazo tofauti ila kwa mwanamke aliesoma sanaaa,anaeishi mjini na anaemiliki ving ambavyo fedha inanunua,,ukichimba ubongo wake na yule ambae hajaenda shule kbsa,ambae yupo kijijin hata gar mwaka mzima hapandi kuna vitu vinavyoshabihiana kwa zaid ya 60%. Kitakachomwangusha tu huyu wa kijijini ni uelewa,na mazingira lakin vingine vyte mnalingana.

Yte kwa yte nimependa ukivyopangilia vzur. Tchao
 
Habari wapendwa MMU

Kuna tabia ambazo mtoto wa kiume akiwa akiwa nazo zinatia mashaka kama ni mwanaume anaejielewa

1.Kuvaa suruali chini ya makalio wanaume wanaovaa suruali mtindo wanakera mno kwa kweli
Mwingine anavaa suruali vbaya mpaka nguo ya ndani inaonekana halafu ndo chaafu,nyeusi tii au makalio yanaoneka loohh.Hebu mjirekebishe tafadhali

2.Kujisaidia haja ndogo njiani,yaani nikikuta mwanaume anatoa ududu wake halafu anaugandamiza ukuta wa mwenzie anauharibu kwa kweli nakudharau sana...Hivi unashindwa hata kuomba sehemu ujihifadhi kidogo haja zako?Mimi nikikukuta unafanya hivyoo njiani sikwepeshi jicho aisee...utajua mwenyewee!!

3.Kumdhalilisha binti akikukataa hii tabia wanayo wanaume wengi akikukataa baada ya kumtongoza unamuekea kisasi unamsubiria aingie kwenye 18 zake umtukanee mpaka makaburi ya kwao au unampiga mradi tu yaani umdhalilishe kwa kua amekukataa.
Au mmeachana unaenda kumsagia kijiweni na kutoa siri zotee...loooh

4.Kudanganya kua hamjaoa kumbe una mke na watoto watano lllloohh vibaya...hvyo baba mtu mzima au mkaka kudanya hujaoa ili tu utimize haja zako za mwili

Yaani mwanaume anajifanya nasafiri kumbe yuko nyumbani kwa mkewe.Hv kama wampenda kweli mkeo unamziniaje sasa kama sio unafiki wa kiwango cha standard gauge...

Yapo mengi mengine wataongezea wadau...
Geni kimekutokea nini binti yangu?
 
Mimi nawadanganya sijaoa ili atoe mzigo vizuri,mana wadada nao waongo sana ukimtongoza atakuambia alikua nae ila wameachana
 
Baya zaidi tena chafu kunuka ni wanaaume wanaojifanya wanawake aka tabia za ushoga mkuu geniveros
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom