Tabia mbaya za wanaume zisizopendeza

Tabia mbaya za wanaume zisizopendeza

binafsi sipend tabia ya' mwanaume' anaevaa cheni au hereni huwa siwaelew mtu yuko 40's unamkuata katundika cheni dah huwa nakatwa stimu kweli kweli huwa nahis somethn is wrong!(mombasa swag)
[emoji1] [emoji1] [emoji1] macheni mkononi,shingoni anajifanya brazamen...
 
Hiyo namba 4 ni sifa nzuri kwa Mwanamke mwenye shida...
 
Namba 3....na nyie mbona mnatutangaza tukishindwa kusmamia show au mkitukuta na vibamia...
 
na mipete mikubwa kubwa mikononi! yaan mm jaman moyon huwa najaa jaman!mwanamume pete ya harus tu jaman!kha! mipete ya nn !had bracelet! uwiii!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kuna mtu anavaa vyote hvyo namjua hapa ndo namkumbukia na yuko 45 yrs
 
Hapo namba 4 nyie kinadada saazingine mkiambiwa ukweli mnakuwaga wachoyo sana.


Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Habari wapendwa MMU

Kuna tabia ambazo mtoto wa kiume akiwa akiwa nazo zinatia mashaka kama ni mwanaume anaejielewa

1.Kuvaa suruali chini ya makalio wanaume wanaovaa suruali mtindo wanakera mno kwa kweli
Mwingine anavaa suruali vbaya mpaka nguo ya ndani inaonekana halafu ndo chaafu,nyeusi tii au makalio yanaoneka loohh.Hebu mjirekebishe tafadhali

2.Kujisaidia haja ndogo njiani,yaani nikikuta mwanaume anatoa ududu wake halafu anaugandamiza ukuta wa mwenzie anauharibu kwa kweli nakudharau sana...Hivi unashindwa hata kuomba sehemu ujihifadhi kidogo haja zako?Mimi nikikukuta unafanya hivyoo njiani sikwepeshi jicho aisee...utajua mwenyewee!!

3.Kumdhalilisha binti akikukataa hii tabia wanayo wanaume wengi akikukataa baada ya kumtongoza unamuekea kisasi unamsubiria aingie kwenye 18 zake umtukanee mpaka makaburi ya kwao au unampiga mradi tu yaani umdhalilishe kwa kua amekukataa.
Au mmeachana unaenda kumsagia kijiweni na kutoa siri zotee...loooh

4.Kudanganya kua hamjaoa kumbe una mke na watoto watano lllloohh vibaya...hvyo baba mtu mzima au mkaka kudanya hujaoa ili tu utimize haja zako za mwili

Yaani mwanaume anajifanya nasafiri kumbe yuko nyumbani kwa mkewe.Hv kama wampenda kweli mkeo unamziniaje sasa kama sio unafiki wa kiwango cha standard gauge...

Yapo mengi mengine wataongezea wadau...
Daaa bora mienavalia tumboni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom