Tabia mbaya za wanaume zisizopendeza

Tabia mbaya za wanaume zisizopendeza

Sema yooote ila sidhani kama nitaacha kukojoa kichakani ilimradi hakuna Ndoye.

Hiyo ni asili yetu, vyoo hatuna, na hata tukiwa navyo hatujui namna ya kuvitumia.

Jasiri aachi asili....[emoji6]
 
Namba Nne lipo pande zote kwa kweli....

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Mtetezi wa wanaume lazimanikiona shutumanitake angalau ifafanuliwe kwa kuwekaneno"baadhi", kwa kuwa si wote wenye kupenda ujinga.

Habari wapendwa MMU

Kuna tabia ambazo mtoto wa kiume akiwa akiwa nazo zinatia mashaka kama ni mwanaume anaejielewa

1.Kuvaa suruali chini ya makalio wanaume wanaovaa suruali mtindo wanakera mno kwa kweli
Mwingine anavaa suruali vbaya mpaka nguo ya ndani inaonekana halafu ndo chaafu,nyeusi tii au makalio yanaoneka loohh.Hebu mjirekebishe tafadhali

Hapa mimi si zangu, lakini wanaofanya hivyo wengi ni wavulana, ambao wanaweza kuruhusiwa kutokana na umri wao, ukiona mwanamme kafanya hivyo ujue amani limbukeni ama ana matatizo ya kielimu/ kisaikolojia.

Zaidi, kanuni yangu ya msingini kwamba, mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.

2.Kujisaidia haja ndogo njiani,yaani nikikuta mwanaume anatoa ududu wake halafu anaugandamiza ukuta wa mwenzie anauharibu kwa kweli nakudharau sana...Hivi unashindwa hata kuomba sehemu ujihifadhi kidogo haja zako?Mimi nikikukuta unafanya hivyoo njiani sikwepeshi jicho aisee...utajua mwenyewee!!

Hizi habari ustaarabu wa nilipo unalazimisha mtu kutokuwa nazo hata kama hutaki, na mimi sizitaki mwenyewe.

3.Kumdhalilisha binti akikukataa hii tabia wanayo wanaume wengi akikukataa baada ya kumtongoza unamuekea kisasi unamsubiria aingie kwenye 18 zake umtukanee mpaka makaburi ya kwao au unampiga mradi tu yaani umdhalilishe kwa kua amekukataa.
Au mmeachana unaenda kumsagia kijiweni na kutoa siri zotee...loooh

Wanaume wa kweli tunatongozwa na mabinti, hao wanaolazimisha mambo wamefulia.

We ball like Khashoggi , then we crawllike a Yogi
Doggfather of doggy doggies, the patron of your hobbies

4.Kudanganya kua hamjaoa kumbe una mke na watoto watano lllloohh vibaya...hvyo baba mtu mzima au mkaka kudanya hujaoa ili tu utimize haja zako za mwili

Hazipiti siku tatu sijamtaja la aziz Bi Zuhura hapa, kwahiyo humo simo.

Yaani mwanaume anajifanya nasafiri kumbe yuko nyumbani kwa mkewe.Hv kama wampenda kweli mkeo unamziniaje sasa kama sio unafiki wa kiwango cha standard gauge...

Yapo mengi mengine wataongezea wadau...

Hao labda wanajishauri kukuongeza uwe mke wa pili.
 
Hizo zote cna bas nipm tuliamshe dude cz mi cio km wale!!

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Mtetezi wa wanaume lazimanikiona shutumanitake angalau ifafanuliwe kwa kuwekaneno"baadhi", kwa kuwa si wote wenye kupenda ujinga.

Hapa mimi si zangu, lakini wanaofanya hivyo wengi ni wavulana, ambao wanaweza kuruhusiwa kutokana na umri wao, ukiona mwanamme kafanya hivyo ujue amani limbukeni ama ana matatizo ya kielimu/ kisaikolojia.

Zaidi, kanuni yangu ya msingini kwamba, mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.

Hizi habari ustaarabu wa nilipo unalazimisha mtu kutokuwa nazo hata kama hutaki, na mimi sizitaki mwenyewe.

Wanaume wa kweli tunatongozwa na mabinti, hao wanaolazimisha mambo wamefulia.

We ball like Khashoggi , then we crawllike a Yogi
Doggfather of doggy doggies, the patron of your hobbies

Hazipiti siku tatu sijamtaja la aziz Bi Zuhura hapa, kwahiyo humo simo.

Hao labda wanajishauri kukuongeza uwe mke wa pili.
Takbiir,
 
Hahahaa,

Mara tu kutajiwamke wa pili ushageuka Shekhe?

Ukipewa kitabu kuongoza kisomo Unguja Shekhe utaweza?
Alhamdulillah kwa uwezo wa mnyaaaz mungu na mtume wake Muhammad (S.A.W) nitaweza bila shaka.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
1. Wanachefua sana, wenyewe sijui ndio wanajikutaga Lilywine au 2paC
hakuja kitu nachefukwa nacho kama kuona boxa ya mwanaume barabarani ,imetundikwa makalioni kama bendera ya katibu kata, ni jambo linalochefua sana. hivi nyinyi wanaume nani kawaambia mlegezo ni uwanaume? mimi nikiwaonaga nawaona kama akina kaoge
mwanaume gani unavaa mlegezo mku.ndu wote uko wazi, waambieni wadogo zenu tabia hizo sio nzuri
ni sawa na kumkuta mwanaume kavaa shati la pink.

4. Wanaume muwage mnatuambia kuwa mmeoa tujue kuwa tunacheza makida kwenye transforma, kudanganya haisaidii
bora umweke wazi mtu kuwa yeye ni mpango wa kando,aridhie kwa hiari yake, mambo ya kugonganishwa na wake zenu hatutaki,hatutaki kumwagiwa tindi kali.
tuwekeni wazi tujue sisi zamu yetu lini na wakati gani.

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ukiambiwa ukweli utatoa papuchi??
Lazima udanganywe ikibpapuchi iliwe mengine mbele ta safari
 
Habari wapendwa MMU

Kuna tabia ambazo mtoto wa kiume akiwa akiwa nazo zinatia mashaka kama ni mwanaume anaejielewa

1.Kuvaa suruali chini ya makalio wanaume wanaovaa suruali mtindo wanakera mno kwa kweli
Mwingine anavaa suruali vbaya mpaka nguo ya ndani inaonekana halafu ndo chaafu,nyeusi tii au makalio yanaoneka loohh.Hebu mjirekebishe tafadhali

2.Kujisaidia haja ndogo njiani,yaani nikikuta mwanaume anatoa ududu wake halafu anaugandamiza ukuta wa mwenzie anauharibu kwa kweli nakudharau sana...Hivi unashindwa hata kuomba sehemu ujihifadhi kidogo haja zako?Mimi nikikukuta unafanya hivyoo njiani sikwepeshi jicho aisee...utajua mwenyewee!!

3.Kumdhalilisha binti akikukataa hii tabia wanayo wanaume wengi akikukataa baada ya kumtongoza unamuekea kisasi unamsubiria aingie kwenye 18 zake umtukanee mpaka makaburi ya kwao au unampiga mradi tu yaani umdhalilishe kwa kua amekukataa.
Au mmeachana unaenda kumsagia kijiweni na kutoa siri zotee...loooh

4.Kudanganya kua hamjaoa kumbe una mke na watoto watano lllloohh vibaya...hvyo baba mtu mzima au mkaka kudanya hujaoa ili tu utimize haja zako za mwili

Yaani mwanaume anajifanya nasafiri kumbe yuko nyumbani kwa mkewe.Hv kama wampenda kweli mkeo unamziniaje sasa kama sio unafiki wa kiwango cha standard gauge...

Yapo mengi mengine wataongezea wadau...
Tabia zote za wavulana hizo.. hakuna za mwanaume hapo..
Ila ingekuwa umefanya usawa kama ungezilist tabia za wanawake ambazo hupendi au ni kwa wanaume ndio hupendi tyu
 
mi huwa najamba jamba sn hii tabia kiukweli ht mi siipendi sembuse mpenz wng

Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom