Tabia mbaya za wanaume zisizopendeza

Tabia mbaya za wanaume zisizopendeza

hahahahahaa ila mm nipo tofauti kidogo, mimi demu nikimtongoza hlf akanikataa simdhalilishi wala simtukani kwasababu ni haki yake kunikataa, ila huwa namchunia milele hata simu zake sipokei wala text sijibu geniveros
[emoji1] [emoji1] [emoji1] huo sasa uswahili
 
Umeandika vzur sana bidada lakini Umesahau kuwa makuzi na malezi tunayo Pitia ukichanganya na mfumo wa maisha tabia zingine zinatokea automatic tu

Nikukumbushe kitu wakati unajiandaa kuchukia tabia flan za wanaume usisahau pia kuhakikisha huna tabia ambazo ni kero kwa wengine usije kuwa kero za Mmeo zimepelekea kuandika mihemko
sawa tunaelewa ila sio kusema mwenye hizi hawezi ishi na mke au vipi...cha msingi ni kukumbushana kama ambavyo wanawake tunakumbushwaga humu
 
Namba 4 ni janga kwakweli, unakutana na mtu kwakumuangalia tuu muonekano wa nje unamuona alivyochoshwa na stress za ndoa yake alafu bila aibu anakwambia sijaoa [emoji26][emoji26][emoji26]
Wanaume wenye tabia hii Mungu anawaona na mtahukumiwa vibaya embu acheni uongo [emoji57]
 
wavulana hao...wanaume hatuisiki

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Namba 4 ni janga kwakweli, unakutana na mtu kwakumuangalia tuu muonekano wa nje unamuona alivyochoshwa na stress za ndoa yake alafu bila aibu anakwambia sijaoa [emoji26][emoji26][emoji26]
Wanaume wenye tabia hii Mungu anawaona na mtahukumiwa vibaya embu acheni uongo [emoji57]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] uso umechoka na stress za ndoa
 
Namba 4 ni janga kwakweli, unakutana na mtu kwakumuangalia tuu muonekano wa nje unamuona alivyochoshwa na stress za ndoa yake alafu bila aibu anakwambia sijaoa [emoji26][emoji26][emoji26]
Wanaume wenye tabia hii Mungu anawaona na mtahukumiwa vibaya embu acheni uongo [emoji57]

hahahahah ila hii ht wanwake wanayo sana kufake kuwa hawajaolewa!raha ya mapenzi ni uwazi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom