Tabia inayoharibu maisha ya wanawake

Tabia inayoharibu maisha ya wanawake

Daaaah sure kaka i was simping on her , i was just trying to act like a gentle, kumbe nikachelewa kwenye timing but kama umesoma fresh hapo miaka ya kati nilimpotezea baada ya kusema ye bado mdogo kiumri, 2021 hivi to 2022 ndio nika commit akaja nitolea nje kwa maneno makai ambayo hadi leoo hakuna mwanamke aliyewahi nambia daaah kuna muda najiona falaaa sana yan mtoto mdogo wa 2001 sijui hukoo kuniambia vileee sema ni zile za kusema ngoja nikomaee may be kesho atasomeka fresh lakn it was all in vain

Now sina story nae tena zaid ya kuview status with none commenting on one another post
Bado namba zake unazo

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Huyu mnyama Ngekewa anaitwaje kwa kimalkia? Na picha yake yupoje?
Sifaham jina lake kwa kimalkia, ila nadhan hata gugo ukiandika Ngekewa, picha zitakuja.

Huyo anapendwa na kila mnyama, anakatiza kwenye kundi la mamba bila shida 😅
 
Huyu mnyama Ngekewa anaitwaje kwa kimalkia? Na picha yake yupoje?
download (3).jpeg

Ngekewa akiwa kazungukwa na Bata, kasa na ndege, mamba, mbwa na ngedere. Yeye popote Kambi 😅😅😅
 

Attachments

  • images (14).jpeg
    images (14).jpeg
    48.4 KB · Views: 15
  • images (16).jpeg
    images (16).jpeg
    67.7 KB · Views: 17
  • images (15).jpeg
    images (15).jpeg
    19.7 KB · Views: 17
  • images (17).jpeg
    images (17).jpeg
    65.4 KB · Views: 14
  • download (4).jpeg
    download (4).jpeg
    15.7 KB · Views: 17
Back
Top Bottom