Wanawake ni wabinafsi sana, i remember two years ago niliwahi muapproach mwanamke mmoja tukiwa chuo, akanireject tena sio kunireject na some kind of drama kibao, mara afanye kushikana kimahaba na mens wengine infront of me,nk;
moja kati ya kitu niko vizuri ni emotional intelligence basi japo ilikuw inaniumiza kiasi ila sikuwahi kumuonesha ajue...it was just me and my soul...
ikafika kipindi akaacha hyo tabia baada kuona i don't give a
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala about anything, but tulikuwa tuna tendency ya kuchat ,dah asee lakini nikigusia swala la kuwa naye alikuwa anakaza all she say its i want to be just friends only.
Once namuapproach alisema hana mtu na haitaji kwa sasa, ila baada ya kuimbisha sana akaniambi kuna mtu anampenda, ooh jibu lililonifanya ni move on kabisa na nikate mawasiliano naye kabisa,,,,,
life likaendelea now ni miaka miwili passed, ananichek she is a single mother and she say she loves me, she text everytime, calls all she say is i want to be with you, kila nikiongea naye huwa naenda kama yeye, anavyotaka sijawahi kumuonesha kama nimebadili mtazamo wa hisia zangu kwake.
but kiukweli i love her but i can't be with her... kiukweli huyu mwanamke alijua nampenda kweli ila shida ipo hapa kwenye timing za mapenzi
my point is; "women's knows the man who truly loves them, but sometimes for the search of their lifestyle their reject the man who truly loves them, and ends up in regrets."
ndo maana hata mwanamke akikukataa, au akakucheat akienda huku anakoenda, ila moyoni mwake anajua kabisa kuna mwanaume fulani ananipenda kweli, ila wanawke wanatabia ya kujaribu, anaweza akahisi kabisa mahusiano na mwanaume fulani hatuwezi kudumu ila ankubali hivyo hivyo akifail, kesha pewa mimba jamaa kakimbia ndo anarudi kwa yule ambaye alimkataa mwanzo anayejua huyu ndo sahihi.
sasa hapa ndo wao wanapopoteza ramani ya maisha yao kabisa sababu, tayari anakuwa single mother na wewe upendo ulisha potea, ila yeye anafikiri zile hisia zako zitakuwa vile vile kama mwanzo.. Kumbe everything has changed. Ndo hapo sasa unakutana na men mwengine anataka alipize kisasi ankujaza anapiga mzigo anakuacha..unabaki ni majuto tu...
if you're to jump of o bridge, make sure you know how deep the water is.