Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,042
- 126,057
Hahahaaa. Etiii. Unaanzaje rafiki.Wakazieni tu. Wanaume tulio wengi huwa tunajitafakari sana hadi kufikia hatua ya kumtongoza mwanamke ambaye anaheshimu na kujiheahimu, huwa tuna kajiuoga fulani kaasili kale lakini kama unajirahisi rahisi mtatandikwa mizinga na vitumbua mnaliwa hadi mtashangaa. Tabia hii naona inaanza kushika kasi hasa sehemu za miji. Naanzaje kuomba hela kwa mwanamke na kengele zangu nimezining'iniza! seeeeeeeh!
Vile vijanaume sababu mie naviitaga vijanaume ndio zao hizo na wala havinaga haya na soni kama ulivyojisemea rafiki.