Tabia hii sio nzuri kabisaa hasa kwa wanaume

Tabia hii sio nzuri kabisaa hasa kwa wanaume

100% mwanaume wa hivyo ni mmoja kati milioni. So huna bahati mbaya ama unajipaisha tu ni kinyume chake wewe ndo unapiga mizinga ya hivyo
 
Duh.. kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu... au inanikumbusha ule ule usemi unaosema kunya anye kuku akinya bata kaarisha... kumbe na nyie mnaumiaga.. nilikua sijui
Hahaaa. Ila mwanaume kupiga kizinga mwanamke hata hainogi kwa kweli.
 
hao ndo marioo maneno meeengi vitendo zero. halafu sasa bora wawe umri mdogo hivi mi naanzaje kulea jitu zima midevu imekukomaa. lingine oooh nkopeshe kiasi flani niongezee kwenye kodi utadhani hiyo kodi imekuja kama chafya...pambaneni na vyuma vyenu mwanaume matonya hata uwe mtamu vipi haunogi
Hahahaaa. Ndio hapo sasa. Lol
 
Yani hii mizinga ndo inaumaga hivi sasa wadada mkae mkijua. Ila huenda anamchongo anafanya muombee mazuri.
 
Kusema kweli hata mimi hapo mumu kanifanya nicheke sana. Na hii kiukweli kbs ameonesha jinsi ambavyo ilimkera alivyofanyiwa hivyo na inavyowauma wengine pia. Kusema kweli ni tabia mbaya kabisa kwa mtu kumfanyia mpenzi wake vile.
Mkuu vitu vingine hata usipofanyiwa unapata tuu experience ya matukio yalivyo,.mm hata nisipokuelewa tuu au nikipata mashaka naww sikojoi sio mpaka niombwe hela...namm mpenzi wa moyo wangu hawezi kunipiga kizinga wala mm simpigj vizinga bali TUNASAIDIANA.[emoji16][emoji16]
 
mwajuma wewe nakujua vizur hyo laki unapata wap ya kumkopesha mwanaume
 
Usicheze na vijana wa sasa Hajar, ukijirahisi kimwenendo huo wanakupiga tu mizinga hawana hata soni
Yani umesema kweli,mpaka kuna siku nikawaza waniuzie uanaume wao halafu niwaoe wakae tuu wanizalie halafu mm nikawatafute maana ndio wanachokitaka kutafutiwa....hawana soni hawa vijana wa leo....dah!!!
 
Wakazieni tu. Wanaume tulio wengi huwa tunajitafakari sana hadi kufikia hatua ya kumtongoza mwanamke ambaye anaheshimu na kujiheahimu, huwa tuna kajiuoga fulani kaasili kale lakini kama unajirahisi rahisi mtatandikwa mizinga na vitumbua mnaliwa hadi mtashangaa. Tabia hii naona inaanza kushika kasi hasa sehemu za miji. Naanzaje kuomba hela kwa mwanamke na kengele zangu nimezining'iniza! seeeeeeeh!
 
Uzuri wake wanawaingia wanawake ambao wanaingilika kirahisi rahisi, ujue kuna wanawake ambao hamtongozeki kirahisi kwa jinsi mnaheshimu na kujiheshimu
Kweli kabisa rafiki na hasa wale wanaojua hawapindui kwao yaani anajua akiomba kwa kile kiasi anachopendewa basi hawezi nyimwa.
 
Yani umesema kweli,mpaka kuna siku nikawaza waniuzie uanaume wao halafu niwaoe wakae tuu wanizalie halafu mm nikawatafute maana ndio wanachokitaka kutafutiwa....hawana soni hawa vijana wa leo....dah!!!
Na ukikutana na wa hivo jipange nakwambia- atakulia vumbi la kongo kama una mshono anaufumua hakiyanani!!
 
Yani umesema kweli,mpaka kuna siku nikawaza waniuzie uanaume wao halafu niwaoe wakae tuu wanizalie halafu mm nikawatafute maana ndio wanachokitaka kutafutiwa....hawana soni hawa vijana wa leo....dah!!!
Hahahaaaa. Wengine wanaolewaga mbona. Teh teh teh.

Si hawataki kuhangaika.
 
Back
Top Bottom