Tabia hii sio nzuri kabisaa hasa kwa wanaume

Tabia hii sio nzuri kabisaa hasa kwa wanaume

Yes,hili ndio nilitaka kulisikia kutoka kwako,..kuna tofauti ya kuomba/kukopa hela na vizinga,..mm mumu frankly mwanaume wangu nimuone kabisaa ana uhitaji wa msaada fulani na mm uwezo wa kumuwezesha ninao haki nampa tena wala sikukopeshi wala sikusimangi tena moyoni nitajawa na amani na furaha kwasababu nime play nafasi yangu kwa mpenzi/mchumba/mume

Lakini kuna hawa vijana kwanza anakuwa na wanawake wengiii kwa ajili ya kubom hela yaani hana mapenzi ya kweli,mnafiki muongo muongo yaani unamuona tuu huyu tapeli,.hivi kweli mmekutana leo kesho kutwa anakuambia muazime laki 2 ya kodi ya nyumba,lazima ujiulize hivi tusingekutana ina maana kodi asingelipaa au?....mwanaume kukosa sio ajabu maana nayy ni binadamu na anahaki ya kusaidiwa inapobidi, lakini kuna wanaume basi tuu yaani kama wanawashwa tena asikuone uko busy na shughuli zako utaombwa mpaka vocha ya jelo hii haipendezi ukizingatia tupo wanawake ambao hatujui kuomba hata hela ya soda kwahiyo ukikutana na hizi sampuli lazima roho ikuume.
mpaka vocha ya jerooo
 
Ukishamjua mapema tu unampa makavu unatembea zako. Sema tatizo lenu mkishakuwa mlionjeshwa ndio tatizo- kama mleta mada nahisi atakuwa alishaonjeshwa utamu wa mshedede ndio maana anaugulia moyoni anakuja kulalamika huku. Kila ukisema unamwacha siku ukibanwa na nyegge unajikuta unakumbuka jinsi anavokukunja-ga unaenea kifuani pake unaona aaaah yanini kujitesa bas unaamua ngoja nimpigie aje anikune leo tu kisha nammwaga, ohooo na keshokutwa na mtondogoo na jumamosi hadi unakuwa addicted
Huko kuendekeza genye tuu,..ila kuna wanawake nao wanapenda madushelele jamanii mpaka yanafungua wallet,. shenzyy taipp kwelii,.tamu utoe na hela juu...babekkiii
 
Huko kuendekeza genye tuu,..ila kuna wanawake nao wanapenda madushelele jamanii mpaka yanafungua wallet,. shenzyy taipp kwelii,.tamu utoe na hela juu...babekkiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaaaa. Kumbe kazi kumlambalamba. Lol.

Inatakiwa muwe mnawapa darasa wasimame kama wanaume.
Hajar baana! unataka kuchanganya mafaili sio! Wakati mimi nasoma ilikuwa daftari lile ukiligeuza nyuma kuna table na hesabu za vipimo vya metric, siku hizi unakumbana na picha ya Kim, Beyonce au Hajar imejaa tele pale- hivi utamwambia nini mtoto wa hivo akakuelewa? Bora ukatwange pilipili uambulie kukohoa ahahahaaaa, hawaelewi wanachokijua wao ni kunyoa kiduku, kujichora tatoo mwilini, na kuvaa mlegezo boksa chafuuuuu imechora ramani ya naninliu ptuuuuuuuuh!
 
Mmh. Angekuwa mwanamke ndio kafanya hivyo Mkuu sidhani kama ungeandika ulichoandika cha zaidi angeonekana mwanamke ni mdangaji na mngempa kila aina ya hila na wala haya maneno mazuri kiasi hiki yasingekuwepo.

Hivyo unataka kusema mwanaume akikopa au kuomba ndio mapenzi hayo ama?
mwanaume kukopa au kuomba ,,,,
hivi vitu inategemeana,,,mwanaume akikosa mfukoni mwake na anashida kubwa atahangaika kwa marafiki na kwa marafiki ikishindikana hyo siri itakua si siri tena atarudi kwa mpenzi wake mikono nyuma na kiustaarab atamweleza mpenz wake yanayomsibu na kwamba amehangaika kote imeshindikana so kuna mawili hapo
1. Hela hamna na anaomba ushaur kwa mwanamke wake ni kifanyike hela ipatikane
2.Mwanamke ajiongezee mwenyew ajue kuplay role yake.
NB: katika mazingira kama hayo dada angu.
 
Hahahaaa. Sawa rafiki nimekuelewa sana tu.
 
Huko kuendekeza genye tuu,..ila kuna wanawake nao wanapenda madushelele jamanii mpaka yanafungua wallet,. shenzyy taipp kwelii,.tamu utoe na hela juu...babekkiii
Mmmnnnngh! nisiseme sana mumu
 
Uzuri wake wanawaingia wanawake ambao wanaingilika kirahisi rahisi, ujue kuna wanawake ambao hamtongozeki kirahisi kwa jinsi mnaheshimu na kujiheshimu
Hiyo kweli anitake leo kesho kizinga nitamshangaa kweli [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
mwanaume kukopa au kuomba ,,,,
hivi vitu inategemeana,,,mwanaume akikosa mfukoni mwake na anashida kubwa atahangaika kwa marafiki na kwa marafiki ikishindikana hyo siri itakua si siri tena atarudi kwa mpenzi wake mikono nyuma na kiustaarab atamweleza mpenz wake yanayomsibu na kwamba amehangaika kote imeshindikana so kuna mawili hapo
1. Hela hamna na anaomba ushaur kwa mwanamke wake ni kifanyike hela ipatikane
2.Mwanamke ajiongezee mwenyew ajue kuplay role yake.
NB: katika mazingira kama hayo dada angu.
Kwa nilichokiona mimi Mkuu huyo mleta uzi na huyo mpenzi wake hata hiyo level ya kusema wanakaa wakazungumza nini cha kufanya baada ya mwanaume wake kukwama hawajafikia na ndio sababu mdada ameshangaa na huo mshangao ndio umemfanya kuja kuanzisha mpaka uzi.

Na ingekuwa hivyo kwamba walikaa na kuelewana sidhani kama angeleta uzi kama huu Mkuu sababu wangekuwa kila mmoja ameridhia alichokifanya.

Pia Twende mbele na nyuma Mkuu tabia zinaenda na kubadilika huenda ikawa huyo mwanaume kapata mdada anayejiweza basi kaona ndio pa kumaliza shida zake kwa mikopo isiyo na marejesho.
 
Wakazieni tu. Wanaume tulio wengi huwa tunajitafakari sana hadi kufikia hatua ya kumtongoza mwanamke ambaye anaheshimu na kujiheahimu, huwa tuna kajiuoga fulani kaasili kale lakini kama unajirahisi rahisi mtatandikwa mizinga na vitumbua mnaliwa hadi mtashangaa. Tabia hii naona inaanza kushika kasi hasa sehemu za miji. Naanzaje kuomba hela kwa mwanamke na kengele zangu nimezining'iniza! seeeeeeeh!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unaomba hivyo hivyo huku kengele zinaning'inia eeeeeeeh
 
Mmh. Angekuwa mwanamke ndio kafanya hivyo Mkuu sidhani kama ungeandika ulichoandika cha zaidi angeonekana mwanamke ni mdangaji na mngempa kila aina ya hila na wala haya maneno mazuri kiasi hiki yasingekuwepo.

Hivyo unataka kusema mwanaume akikopa au kuomba ndio mapenzi hayo ama?
Wanasema wataalamu kwamba ni transition inachukua nafasi yake i.e mwanaume anachukua nafasi ya mwanamke na hivo hivo kinyume chake, natizama kipindi kimoja "botched" rate ya binadamu kujobadilisha jinsi inakuwa kwa kasi ya ajabu sana ,yaani me anaoteshwa matiti ,sura ya kike hadi **** inatolewa anawekwa k*MM@ ,HATARI MNO!
 
Hatari sana rafiki hasa huko tunakoelekea aisee.
 
Back
Top Bottom