mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,582
- 45,190
Yaani kuna wanawake tunawatamani lakini kwa jinsi tu tunavoheahimiana na hasa wao heshima wanayotupa unaona kabisa pale naanzaje anzaje kumtongoza? Ila kuna hawa ambao mkionana baada ya mwezi mmoja tu umeshajua kuwa pale naenda na napewa jitumbua kiwepesi kbs na kweli inatokeaHiyo kweli anitake leo kesho kizinga nitamshangaa kweli [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]