Haya mimi hapa umenipataNakusakasaka sikuoni.
Amlize mara mbili, hapo ndo ashalizwa ivyo. Kiufupi mpira mpaka sasa ni 3 bila majibu.Kweli kabisa. Hapo hakuna mapenzi, jamaa anatafuta ulaji tu. Mleta mada achana na huyo mwanaume atakuliza vibaya

Kwanza mwanaume wa hivi hata akuweke staili gani hukojoi nahisi...utakuwa unawaza hela yako tuu ilivyopoteahao ndo marioo maneno meeengi vitendo zero. halafu sasa bora wawe umri mdogo hivi mi naanzaje kulea jitu zima midevu imekukomaa. lingine oooh nkopeshe kiasi flani niongezee kwenye kodi utadhani hiyo kodi imekuja kama chafya...pambaneni na vyuma vyenu mwanaume matonya hata uwe mtamu vipi haunogi

Tapeli huyo
Daaah,.yaani hakuna MTU anayenikosesha amani moyoni kama mwanaume mpiga vizinga aisee afadhali ya mchawi kuliko viumbe dizaini hii...MTU anajitegemea,ana kazi nzuri tuu pengine,. lakini ana hulka za ombaomba aisee mwanaume wa hivi anipitie kushoto mm nivuje jasho jua linichomeeee mpaka kwenye utumbo mpana halafu ww huyoooo eti niazime laki maamaeee njoo kwanza nikupe kipande cha shamba ulime ndio nikupe hiyo laki shenzyy taipp...halafu wanaume wa hivi sijui walikosewaa maana hizi tabia hata sisi wengine hatuna...mxxieeeeww![]()
Nikuulize swali mkuu wewe unampiga vizinga mwanamke???Mkuki kwa nguruwe, now nadhani ww na mtoa mada mmeelewa wanaume tunajisikiaje nyie mnapotupiga vizinga mumu
Heri ya pasaka wapendwa
Naombeni kuuliza swali jepesi tuu hivi inakuaje pale mahusiano yanapoanza hata mwezi hamjafikisha mmoja anaanza kumpiga mwenzie mizinga ya kumuomba mwenzie hela mara ohh naomba uniazime 100,000 nitakurudishia keshokutwa huyo ni mwanaume mzima na akilizake, hatujamaliza week mzinga mwingine uniazime milion 1 nitakurudishia next week hapo hajarudisha ile laki kwakweli mimi huwa naboreka sana pale mwanaume anapoanza kujishushia hadhi mapema hivi kwa mwanamke, nachojiuliza ni kwanini uniombe hela mimi? Je kabla hujanijua ulikua una mkopa nani? Kwanini usiwakope rafiki zako au ndugu zako kwanini uje kwangu wakati mimi kwako bado ni mgeni? Hii tabia ni mbaya mno kwakweli naninailaani vikali kwani mahusiano yetu ni ya hela?
Jamani kuna kidume kiminijia nikakiona kistaarabu fulani hivi halafu kitulivu na miahadi kibao mara nataka nikufanyie hivi nataka nikufanyie vile mimi kimya namuangalia tuu maana sijazoea mapenzi kuyalinganisha na vitu sasa mwenzangu yeye nazani anafikiri mimi ni Mwanamke wa dizain hizo zakuona mapenzi ni materialists, mimi mapenzi sio vitu ni mtu mwenyewe sasa mwanaume anapoanza kuniomba hela mimi mtoto wakike ni zaidi ya udhahifu je usingekua unanijua ungeenda kumuomba nani? Nilikua nimekupa credit kibao ila sasahivi umenitoka moyoni kwangu kabisa nimekupa hizo hela kiubinadamu kama mtu tuu sio mpenzi na ole wako usinilipe najua utasoma tuu hapa ukae ukijua mimi sina mapenzi ya hela baba, nanimeshakuona hunifai hata kidogo mschssssxuu!

Nikuulize swali mkuu wewe unampiga vizinga mwanamke???