Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,061
Pole mchumia tumbo huyo kaa macho mdadaKwakweli amenibore mno tena namkimbia kabisa

[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] pastor yule kama nabii tito vilePastor Gabriel na ms Sibeko wa Isidingo.
Sasa mpaka umemfuata na kumtongoza si ulishajipanga? Unamtongaza mtu hapo hapo unaanza kupiga mizinga mmmmm hapanakwahiyo nyie mkituomba ss wanaume hela, it means nyie wanawake ni matapeli...kama story anayoleta mtoaa mada ni kweli basi ameshajua how we men feel, nyie wanawake mkitupiga vizinga agata edward
Sasa unikurupue wakati sikuwa na mpango kisha uanze kunipiga vizinga kwani uliitwa kumtongoza?Hahaaa how does it feel..huh, kama story yako ni kweli, basi umeelewa sisi wanaume tunajisikiaje nyie wanawake mkitupiga vizinga Chokochoko
Wengi wao wavivu sana na kuchagua kazi wakati mfukoni jua kaliMbaya sana. Na hii tabia naona inashika sana kasi miongoni mwa jamii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu mna majibu duuWe unachagua wanaume wanaotinda nyusi na kuvaa suruali mlegezo, unategemea nini?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] duuUpumbavu wenu wa kuangalia wanaume wapaka poda na watunisha vifua ndo wanaume sahihi ndo inayowapelekea kupigwa mizinga,
Vumilia toa tu,si mnapenda ujinga
kwani huyo mpenzi wako yupo humu?Heri ya pasaka wapendwa
Naombeni kuuliza swali jepesi tuu hivi inakuaje pale mahusiano yanapoanza hata mwezi hamjafikisha mmoja anaanza kumpiga mwenzie mizinga ya kumuomba mwenzie hela mara ohh naomba uniazime 100,000 nitakurudishia keshokutwa huyo ni mwanaume mzima na akilizake, hatujamaliza week mzinga mwingine uniazime milion 1 nitakurudishia next week hapo hajarudisha ile laki kwakweli mimi huwa naboreka sana pale mwanaume anapoanza kujishushia hadhi mapema hivi kwa mwanamke, nachojiuliza ni kwanini uniombe hela mimi? Je kabla hujanijua ulikua una mkopa nani? Kwanini usiwakope rafiki zako au ndugu zako kwanini uje kwangu wakati mimi kwako bado ni mgeni? Hii tabia ni mbaya mno kwakweli naninailaani vikali kwani mahusiano yetu ni ya hela?
Jamani kuna kidume kiminijia nikakiona kistaarabu fulani hivi halafu kitulivu na miahadi kibao mara nataka nikufanyie hivi nataka nikufanyie vile mimi kimya namuangalia tuu maana sijazoea mapenzi kuyalinganisha na vitu sasa mwenzangu yeye nazani anafikiri mimi ni Mwanamke wa dizain hizo zakuona mapenzi ni materialists, mimi mapenzi sio vitu ni mtu mwenyewe sasa mwanaume anapoanza kuniomba hela mimi mtoto wakike ni zaidi ya udhahifu je usingekua unanijua ungeenda kumuomba nani? Nilikua nimekupa credit kibao ila sasahivi umenitoka moyoni kwangu kabisa nimekupa hizo hela kiubinadamu kama mtu tuu sio mpenzi na ole wako usinilipe najua utasoma tuu hapa ukae ukijua mimi sina mapenzi ya hela baba, nanimeshakuona hunifai hata kidogo mschssssxuu!
usinikimbie jamanKwakweli amenibore mno tena namkimbia kabisa
Dah Na nyinyi wanawake mnapotongozw tu mnaanza kueleza shida zenu tunawavumilia tu au Ndii mkuki kwa nguruwe?Heri ya pasaka wapendwa
Naombeni kuuliza swali jepesi tuu hivi inakuaje pale mahusiano yanapoanza hata mwezi hamjafikisha mmoja anaanza kumpiga mwenzie mizinga ya kumuomba mwenzie hela mara ohh naomba uniazime 100,000 nitakurudishia keshokutwa huyo ni mwanaume mzima na akilizake, hatujamaliza week mzinga mwingine uniazime milion 1 nitakurudishia next week hapo hajarudisha ile laki kwakweli mimi huwa naboreka sana pale mwanaume anapoanza kujishushia hadhi mapema hivi kwa mwanamke, nachojiuliza ni kwanini uniombe hela mimi? Je kabla hujanijua ulikua una mkopa nani? Kwanini usiwakope rafiki zako au ndugu zako kwanini uje kwangu wakati mimi kwako bado ni mgeni? Hii tabia ni mbaya mno kwakweli naninailaani vikali kwani mahusiano yetu ni ya hela?
Jamani kuna kidume kiminijia nikakiona kistaarabu fulani hivi halafu kitulivu na miahadi kibao mara nataka nikufanyie hivi nataka nikufanyie vile mimi kimya namuangalia tuu maana sijazoea mapenzi kuyalinganisha na vitu sasa mwenzangu yeye nazani anafikiri mimi ni Mwanamke wa dizain hizo zakuona mapenzi ni materialists, mimi mapenzi sio vitu ni mtu mwenyewe sasa mwanaume anapoanza kuniomba hela mimi mtoto wakike ni zaidi ya udhahifu je usingekua unanijua ungeenda kumuomba nani? Nilikua nimekupa credit kibao ila sasahivi umenitoka moyoni kwangu kabisa nimekupa hizo hela kiubinadamu kama mtu tuu sio mpenzi na ole wako usinilipe najua utasoma tuu hapa ukae ukijua mimi sina mapenzi ya hela baba, nanimeshakuona hunifai hata kidogo mschssssxuu!
Sikudhani km una moyo mgumu hivi madame. Baada ya kunikopesha unakuja kunidhalilisha JF. Kesho nakuletea hela yako.Kwakweli amenibore mno tena namkimbia kabisa
[emoji120] [emoji120]Nakusalimia Swahiba. [emoji85] [emoji85] . Teh
Duuh pole sana mama ukuje huku sasa tufukie mashimo hahaaaaHeri ya pasaka wapendwa