Tabia hii sio nzuri kabisaa hasa kwa wanaume

Tabia hii sio nzuri kabisaa hasa kwa wanaume

ila tuongeeni tu ukweli jamani
DADA mtoa post kiukwel ameridhishwa na huduma anayopewa na JAMAA YAKE,,na ndomana kila muda jamaa anavompiga kibom cha pay mtoto anatoa tuu sababu akiwa na MCHIZ anakua out of CONTROL na na uhakika hii post aliandika jamaa akiwa mbali so she was in CONTROL na na wasiwasi na hizi shaur kama atafanyia kazi maaana akimuona tuu jamaa tayar inajaaa maji,,,
Pia kwa mchizi hana cha kupoteza watoto wakike wa sasa hivi hawatabiriki so si mbaya kapiga PAPUCHI na kapiga na PAY hapo jamaa hata akipigiwa hana hasara,,,,wadada mnagawa sana hamtabiriki nw dayz
 
Mzinga 1ml mamaweeeee,tunaandikishiana mkataba,wanaume wenyewe hawa wa sahivi akhaaa
 
Heri ya pasaka wapendwa
Naombeni kuuliza swali jepesi tuu hivi inakuaje pale mahusiano yanapoanza hata mwezi hamjafikisha mmoja anaanza kumpiga mwenzie mizinga ya kumuomba mwenzie hela mara ohh naomba uniazime 100,000 nitakurudishia keshokutwa huyo ni mwanaume mzima na akilizake, hatujamaliza week mzinga mwingine uniazime milion 1 nitakurudishia next week hapo hajarudisha ile laki kwakweli mimi huwa naboreka sana pale mwanaume anapoanza kujishushia hadhi mapema hivi kwa mwanamke, nachojiuliza ni kwanini uniombe hela mimi? Je kabla hujanijua ulikua una mkopa nani? Kwanini usiwakope rafiki zako au ndugu zako kwanini uje kwangu wakati mimi kwako bado ni mgeni? Hii tabia ni mbaya mno kwakweli naninailaani vikali kwani mahusiano yetu ni ya hela?
Jamani kuna kidume kiminijia nikakiona kistaarabu fulani hivi halafu kitulivu na miahadi kibao mara nataka nikufanyie hivi nataka nikufanyie vile mimi kimya namuangalia tuu maana sijazoea mapenzi kuyalinganisha na vitu sasa mwenzangu yeye nazani anafikiri mimi ni Mwanamke wa dizain hizo zakuona mapenzi ni materialists, mimi mapenzi sio vitu ni mtu mwenyewe sasa mwanaume anapoanza kuniomba hela mimi mtoto wakike ni zaidi ya udhahifu je usingekua unanijua ungeenda kumuomba nani? Nilikua nimekupa credit kibao ila sasahivi umenitoka moyoni kwangu kabisa nimekupa hizo hela kiubinadamu kama mtu tuu sio mpenzi na ole wako usinilipe najua utasoma tuu hapa ukae ukijua mimi sina mapenzi ya hela baba, nanimeshakuona hunifai hata kidogo mschssssxuu!
mnaona nyie kuomba ni haki yenu tu,mkiombwa mnaanza kulialia
 
sawa nimeelewa. Ila niazime kwa mara ya mwisho milioni 2 tuu. kunaishu naenda kuikomboa. plz usiniangushe dear. nivumilie tuu yataisha.
 
choko choko huyo hakufai ana tabia za kimarioo badala umuombe ww anataka kuteleza kwako mkaushie mwambie ww cyo bank akitaka benki aende crdb au nmb
 
Heri ya pasaka wapendwa
Naombeni kuuliza swali jepesi tuu hivi inakuaje pale mahusiano yanapoanza hata mwezi hamjafikisha mmoja anaanza kumpiga mwenzie mizinga ya kumuomba mwenzie hela mara ohh naomba uniazime 100,000 nitakurudishia keshokutwa huyo ni mwanaume mzima na akilizake, hatujamaliza week mzinga mwingine uniazime milion 1 nitakurudishia next week hapo hajarudisha ile laki kwakweli mimi huwa naboreka sana pale mwanaume anapoanza kujishushia hadhi mapema hivi kwa mwanamke, nachojiuliza ni kwanini uniombe hela mimi? Je kabla hujanijua ulikua una mkopa nani? Kwanini usiwakope rafiki zako au ndugu zako kwanini uje kwangu wakati mimi kwako bado ni mgeni? Hii tabia ni mbaya mno kwakweli naninailaani vikali kwani mahusiano yetu ni ya hela?
Jamani kuna kidume kiminijia nikakiona kistaarabu fulani hivi halafu kitulivu na miahadi kibao mara nataka nikufanyie hivi nataka nikufanyie vile mimi kimya namuangalia tuu maana sijazoea mapenzi kuyalinganisha na vitu sasa mwenzangu yeye nazani anafikiri mimi ni Mwanamke wa dizain hizo zakuona mapenzi ni materialists, mimi mapenzi sio vitu ni mtu mwenyewe sasa mwanaume anapoanza kuniomba hela mimi mtoto wakike ni zaidi ya udhahifu je usingekua unanijua ungeenda kumuomba nani? Nilikua nimekupa credit kibao ila sasahivi umenitoka moyoni kwangu kabisa nimekupa hizo hela kiubinadamu kama mtu tuu sio mpenzi na ole wako usinilipe najua utasoma tuu hapa ukae ukijua mimi sina mapenzi ya hela baba, nanimeshakuona hunifai hata kidogo mschssssxuu!
Mlikutana humu humu?
 
Alikuwa ameingia kwako kukufanya ATM hafai huyo achana nae kaingia na malengo yake
 
Asilimia kubwa ya wanawake watafutaji huangukia kwenye mahusiano na wanaume wa dizaini hiyo
Ndivyo inavyokuwaga tena wakiwa masingle mother ndiyo na huangukia kwenye udhalilishaji, nawenyewe hutafuta fulusa sasa akiangukia kwa mie Ulweso nitampa nini zaidi ya kumwambia enda nataka pumzika pekeyangu nenda huko katafute saizi yako[emoji114] [emoji114]
 
Jukumu la malezi kisingi kbs kwa sisi wakati tunakua ilikuwa ni la baba na mama na muda mwingi tulikuwa na mama kwasababu baba anaondoka asubuhi anakwenda kutafuta anarudi jioni/ usiku yupo hoi. Siku hizi baba yupo kazini na mama yupo kazini, watoto wanabaki na mfanyakazi wa nyumbani ambaye maskini ya Mungu hata shule hakusoma hivyo ni kama wanajilea wenyewe

Mbaya zaidi wanapoanza shule wanapelekwa academy wanakaa bweni bado wadogo na kule shule kwakuwa wazazi hela mnazo nyingi ( mnalipa ada kuubwaa) basi mtoto anafanyiwa kila kitu hivyo anakua hajui kazi ya aina yyt ile yaani yupo yupo tu kama beberu lililotolewa mapimbu vile

Mtoto anahitimu elimu ya msingi hata kufua chuppi yake mwenyewe hajui! Kwa wa kiume akija kukua unategemea nini hapo na mama alishamzoesha kumpa hela kila wakati kwa kigezo cha "mwanangu" mpenzi mnavowaita watoto. Huyo wa kike ndio balaa sasa, haolewi ndoa yake ikadumu hata siku mbili nakwambia kwasababu hakuna mwanaume anayetaka kuishi na mwanamke mvivu hata ufanyeje haiwezekani

Matokeo yake ndio hayo sasa, mwanamke atalazimika amhonge mwanaume hela na vitu ili tu awe anamtimizia haja zake pale anapokuwa na matamanio sababu yy nae ni binadamu kama walivyo wengine na huo ndio mwanzo wa kuonekana anajirahisi kwa wanaume anakuwa anapigwa tumbua lake na hela anatoa huku nafsi inamuuma

Wewe na mumeo/ mkeo mtachagua njia sahihi ya kupita = kuwa na familia bora. Tunakufa kwa magonjwa ya moyo, mara sukari ,sijui figo zinafeli chanzo cha hayo yote ni sisi wenyewe. Tafakari chukua hatua hakiyamama
Hapo ndipo tunapo haribu, na hata baba kuna weekend na likizo wape watoto jumbe za kale si kufikiria outing na michepuko basi pesa si kila kitu, lazima uitawale sio uitawale
 
Mkuu vitu vingine hata usipofanyiwa unapata tuu experience ya matukio yalivyo,.mm hata nisipokuelewa tuu au nikipata mashaka naww sikojoi sio mpaka niombwe hela...namm mpenzi wa moyo wangu hawezi kunipiga kizinga wala mm simpigj vizinga bali TUNASAIDIANA.[emoji16][emoji16]
Naomba usinielewe na uzidi kua namashaka ili usikojoe hata ivo tusikojoleshane tu[emoji23][emoji23]

Ila yale mazaga zaga nakujs kuyachukuaaa ole wako unifungulie uzi[emoji23][emoji23][emoji23] damuuuuuuu
 
Yani umesema kweli,mpaka kuna siku nikawaza waniuzie uanaume wao halafu niwaoe wakae tuu wanizalie halafu mm nikawatafute maana ndio wanachokitaka kutafutiwa....hawana soni hawa vijana wa leo....dah!!!
Naomba unioe unitafutie damuuuuu apo vipi??? .
 
Maamaee zao,.wala sirogwi halafu uzuri hawajifichagi yaani mwanzoni tuu unamjua huyu hamna kitu ni tapeli tuu
V money anaomba kurogwa na mapenz weee unasema hurogeki?? Ama kweli hujapata wakukuroga[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Huko kuendekeza genye tuu,..ila kuna wanawake nao wanapenda madushelele jamanii mpaka yanafungua wallet,. shenzyy taipp kwelii,.tamu utoe na hela juu...babekkiii
Hahahahahaa utamu niutamu tuuu , niliwah ambiwa chagua unataka nn baby?? .

Nkamjibu nakutaka ww tuuu , nizalie mtoto.
 
Tupe no zakee tumchane live, mana anatuhebisha sie wanaume.......
 
Back
Top Bottom