Tabata

Tabata

everlenk msome huyu Kichwa Ndio Mtu hapo juu ndipo ujue aliyekopi kwa mwenzio. Amin Amin Amin Walahi nakuapia...hii ni kazi ya mikono yangu.

Kisha soma maelezo kwenye comment uliyoniquote uone huyu aliyekopi kwangu alivyofanya makosa mengi tu!!!!
Well, I have myself to blame on this I guess!!!!

Kaka mentor pole sana,unakesha na kuumiza kichwa kisha watu wanakopi kazi yako kirahisi bila hata kukupa credit? Pole sana mkuu.
 
Last edited by a moderator:
everlenk msome huyu Kichwa Ndio Mtu hapo juu ndipo ujue aliyekopi kwa mwenzio. Amin Amin Amin Walahi nakuapia...hii ni kazi ya mikono yangu.

Kisha soma maelezo kwenye comment uliyoniquote uone huyu aliyekopi kwangu alivyofanya makosa mengi tu!!!!
Well, I have myself to blame on this I guess!!!!
Na kweli ina makosa mengi sana,pole sana Mentor,happa inabidi tufanye inteligensia mpaka tumpate huyo mtu anayekula jasho la mtu bure tu. Nimesikitika sana aisee tumpeleke msalabani nini????
 
Last edited by a moderator:
Duh! pole sana Mentor haki ya mtu haipotei bure,fuatilia aisee,tena kama sikosei ndo ilikuwa stori yako ya

kwanza humu jamvini au ?,uwe makini from now maana hata ile ya kipolisi kuna mahali niliiona.
everlenk, nakusikiliza kwa makini ujue...endelea please!!!
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wengi hii ndio sura yetu halisi hasa ikiwa lengo la uhusiano ni kwa ngono tu (na wengi hatuweki wazi mapema)
Kudaadeki Nimuweke wazi mapema lengo langu ni kupiga kazi tuu anikatae/aniwekee mazingira magumu ya kum-du! ilhali wanawake wengi wanapenda kusikia ndoa kwanza?Mi napiga mzigo kwanza mabo ya ndoa yatakuja baade pending ubunifu,kujituma,kujali just to mention a few.
 
story ina vidokezo vya GPA, BAF, swmining pool, du aya labda mimi ndio sijui kwanini umeweka vyote hivyo, ili mimi wa darasa la 4B PALE UBUNGO p/r school nilie. back to the topic, wewe kwa akili yako ya GPA yote unajua namna ya maambukizi ya VVU inavyokuwa? na je badala ya kuishi kwa hofu ni jukumu gani unatakiwa kufanya ili kupata uhakika? ebu fanyia kazi hayo kisha uje tena hapa kwa msomi niliyeishi kwa kula vibungo na pilipili.
 
Mhhh story nzuri sana na ina mengi ya kujifunza kwa kweli haswa la sisi wanaume kumaliza shida zetu na kusepa bila kujua wenzetu wanajihisije au ndo wameshaanza kufall in love
Inawafaa sana akina Mentor na Tized
 
Last edited by a moderator:
Mhhh story nzuri sana na ina mengi ya kujifunza kwa kweli haswa la sisi wanaume kumaliza shida zetu na kusepa bila kujua wenzetu wanajihisije au ndo wameshaanza kufall in love
Inawafaa sana akina Mentor na Tized

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/419334-tabata.html

Mentor vipi tena au ndo ile methali ng`ombe wa maskini hazai hata akizaa dume linakufa,kazi ufanye wewe utukufu unaenda kwa mwingine pole sana.

MH! Huenda mkuu..nimesikitika!!!
 
Vipi tena mkuu unataka KUNITARASHA, si unajua ndo namzukia yule soldier!!!
Mhhh story nzuri sana na ina mengi ya kujifunza kwa kweli haswa la sisi wanaume kumaliza shida zetu na kusepa bila kujua wenzetu wanajihisije au ndo wameshaanza kufall in love
Inawafaa sana akina Mentor na Tized
 
Mi nafikiri jf iwe na mihuri wa kwa kila thread

Hapa ndo warumi anapomwambia Invisible ampe haki miliki
mhuri kwa kila thread hilo swala ni gumu sana coz kuna thread nyingi sana katika majukwaa mbalmbali labda iwe ni automatic lakini pia hata kama kukiwa na mhuri kwa kila thread bado mtu anaweza kucopy contents/words na kwenda kuzitumia vinginevyo mahali pengine kuna siku nilishawahi kuweka thread hapa jins blog zinavyoiba articles za jf nilitolea mfano wa blog ya utamu specially ( https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/584827-ya-blogu-ya-udaku-na-jf-mmu.html ) mi nahisi kitu cha msingi ni sisi wenyewe kujibadilisha na kuona umuhimu wa kuthamini kazi ya mwenzako,
 
charminglady Tized The Boss Phlagiey Jerrymsigwa Jembe afrika MUSSOLIN Kaizer Mndengereko McDonaldJr uhurumoja Mwashelii g click NI MTAZAMO TU Ennie @ng`wana ong`wa kulwa Moderator neggirl badiebey Asprin Heaven on Earth Evelyn Salt Kaunga Kongosho King'asti

Tafadhali pitieni hapa kwenye hii thread...

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/419334-tabata.html

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/419334-tabata.html

Hii stori nimeikuta ikisambaa kwenye whatsapp messages balaa. Kinachonisikitisha ni huyu msambazaji (most probably mwanafunzi wa MZUMBE) ambaye amefanya kuiiba na kuibadili majina ili ionekane ya kwake. Nimesikitika sana.

Halafu sasa hajastukia kosa alilofanya kwenye 'Plagiarism' yake ni kuwa Amesema mwanzo...

**Halafu mbaya zaidi ni January 06, 2013 ilikuwa Siku ya Jumapili! ***

Cc: Mtambuzi (alikuwa sababu ya mimi kuiandika hadithi hii)

Special copy: Nicas Mtei AshaDii gfsonwin Jiwe Linaloishi (nakumbuka mlinipigia simu ile siku kunijulia hali)

Bcc: Nyani Ngabu na Kiranga

Mkuu Mentor,

Mimi post zangu humu zimekuwa zikisambaa kila uchao kwenye blogs mbalimbali mpaka Facebook nimeshindwa hata kulalamika maana sijui hata nisemeje.

Kuna wakati hata Invisible aliwahi kuahidi kwamba atalifanyia kazi jambo hilo lakini naona tabia hii imeota mizizi na hatujui hatua gani zinawastahili wakwapuaji hawa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom