Tabata

Tabata

so sorry myn but u don't hv worry, just go and check so that you can have peace of mind.. ts not the end is just the beginning. give yourslf hope
 
pole wewe stori zako lazima ule tunda aka ugegede ndo movie linaishia
 
Mentor unaoa lini? maana uliahidi mwaka jana hautaisha, umeisha na tumeanza mwaka mpya je utaoa lini? muda unazidi kwenda na umri pia unasogea au unataka watoto wako wakuite babu?
 
Hahahaha....eti mjeshi...hahaha..acha hizo yuko poa kbs

Kumbe kweli umemuhamisha...

Mentor unaoa lini? maana uliahidi mwaka jana hautaisha, umeisha na tumeanza mwaka mpya je utaoa lini? muda unazidi kwenda na umri pia unasogea au unataka watoto wako wakuite babu?

Dadangu Lisa hata nikitaka kuoa we niambie nitamuoa nani!!!
Btw umepotea sana...uko poa!??

aya nataka siku moja movie linaanza unakufa kwenye maua

Hahaha labda iyo adisi uiandike wewe...
 
Last edited by a moderator:
Mentor unasema hakuna wa kumuoa? na Yule mliyetokane mgomba mmoja vipi? uliomba ushauri hapa ukaambiwa uendelee bila kujali kaka alioa dada yeka. au na wewe umekata tamaa?
 
Back
Top Bottom