Tabata

Tabata

Mi sijui, Dar mgeni 😄😄😄! Mkuu salama? We jamaa aise nakupa big up kwa kuwa no1 kwa kucomment hasa MMU!

Anyway jokes aside, kuna vitu vya kujifunza kwa hii scenario, kuna baadhi ya incidence zinaweza fanana na mazingira hayo, wether imetumia mazingira halisi au simile.

BTW nime-acknowledge source, its not my story at all, usinirushie mawe The Boss
Thanx mkuu...its okay
 
Last edited by a moderator:
Ndio ukapime sasa,pengine uko salama kabisa!!!!
 
Nikaenda zangu graduation November na kurudi. Nikawa nimempotezea kabisa Yule binti kama ilivyo kawaida yetu wanaume baada ya kupata tunda (baada ya kumchezesha ngololo)...

Ananiambia: “Si pale Tabata sikuoni ukija tena kuchukua ARVs au umebadili kituo?”
Kumbe benchi nililokuwa nimeenda kukalia ile siku lilikuwa la wagonjwa wa UKIMWI nayeye alikuwa akisubiri kuchukua dawa.
Mimi nikamwambia “acha kunidanganya mbona wewe unaishi hostel Kigamboni na ninajua hivyo..yani huko kote hakuna dispensary?”
Akaniambia “wagonjwa wengi hawaendi kuchukulia dawa karibu na kwao kwa kuhofia kunyanyapaliwa hivyo alijua na mimi nipo kwenye foleni ya kuchukua dawa ndiyo maana hakuona umuhimu wa kunilazimisha kutumia kinga cku ile tulivyo----”

Kwenye red alijiona kapataaaaaaa......

Kwenye Blue .... Kumbe kapatikana!!!

Wanaume acheni dharau basi!!!!!!!

Wanaume wengi hii ndio sura yetu halisi hasa ikiwa lengo la uhusiano ni kwa ngono tu (na wengi hatuweki wazi mapema)
 
mwisho wake alienda pima akajua km ameathirika?? unaeza sex na muhathirika na usipate km kulikua hakuna mauguano unaosababisha michubuko ya sehem za siri
 
BAF 2010-2013 mzumbe hii class ilikuwa na visu man nilikuwa nawaangalia mpaka natulia kimtindo ila majamaa mlikuwa mnasoma mpaka ni noma hata kuwasalimia mtu anaogopa hususani PSAF.good lesson uwe na maisha mema bro msalimie Odati.
 
Wanaume wengi hii ndio sura yetu halisi hasa ikiwa lengo la uhusiano ni kwa ngono tu (na wengi hatuweki wazi mapema)

Nakushukuru shem wangu............. Dah kama nakuona vile meno 36 nje!!!!!!!!!!!!!!!!! Una rahajeeeeeeeeeeee............ :baby::baby::baby:
 
Hawapendi kuambiwa ukweli hawa, ukithubutu imekula kwako.

Ha ha haa ukisema 'nakutaka tu nimalize mihemuko yangu' hawakubali. Sasa huyo dada nae hakusema kama alikuwa hospitali anafuata dawa za ARV bora nani sasa?
 
charminglady Tized The Boss Phlagiey Jerrymsigwa Jembe afrika MUSSOLIN Kaizer Mndengereko McDonaldJr uhurumoja Mwashelii g click NI MTAZAMO TU Ennie @ng`wana ong`wa kulwa Moderator neggirl badiebey Asprin Heaven on Earth Evelyn Salt Kaunga Kongosho King'asti


Tafadhali pitieni hapa kwenye hii thread...

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/419334-tabata.html

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/419334-tabata.html

Hii stori nimeikuta ikisambaa kwenye whatsapp messages balaa. Kinachonisikitisha ni huyu msambazaji (most probably mwanafunzi wa MZUMBE) ambaye amefanya kuiiba na kuibadili majina ili ionekane ya kwake. Nimesikitika sana.

Halafu sasa hajastukia kosa alilofanya kwenye 'Plagiarism' yake ni kuwa Amesema mwanzo...

Wakati nangojea graduation ambayo huwa mwezi November, nilienda Dar es salaam kumtembelea dada yangu ambaye alikuwa akiishi huko, .......................
.
.
.

Basi nikawa nakaa naye pale huku nikingojea siku zisonge.

.
.
.

January 06, 2013 siku ya Jumanne:


**Halafu mbaya zaidi ni January 06, 2013 ilikuwa Siku ya Jumapili! ***



Cc: Mtambuzi (alikuwa sababu ya mimi kuiandika hadithi hii)


Special copy: Nicas Mtei AshaDii gfsonwin Jiwe Linaloishi (nakumbuka mlinipigia simu ile siku kunijulia hali)


Bcc: Nyani Ngabu na Kiranga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom