Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
- Thread starter
- #181
Mentor unasema hakuna wa kumuoa? na Yule mliyetokane mgomba mmoja vipi? uliomba ushauri hapa ukaambiwa uendelee bila kujali kaka alioa dada yeka. au na wewe umekata tamaa?
Aaah yule nimenawa mikono dadangu! kichaga hairuhusiwi...basi wacha iwe tu!
mwingine???