Shemeji Sehemu ya 1

Shemeji Sehemu ya 1

Liu Yun

Member
Joined
Aug 6, 2023
Posts
14
Reaction score
14
Ilikuwa mwaka 2006, Jason alioa mkoani Tabora, alikua anaishi na mke wake mjini Morogoro, Mke wake alikuwa anaitwa Anna, Waliishi pamoja kwa muda wa miaka mitano, na ndoa yao ilikuwa na furaha na iliyo onyesha mafanikio tele, walifanikiwa kupata watoto wawili.
Kwa kipindi hicho Jason alijihisi kama mke wake amekosa mvuto kabisa, yani akilala nae hata akimuona jogoo hapandi mtungi. Jason alijiuliza kwani imekuaje? Alijaribu kufanya hivi na vile lakini wapi. Hatimaye mkewake pia akaanza kuona mumewake hamtimizii haja yake ipasavyo, ndoa ikawa na ukimya kama imemwagiwa maji.

Sikumoja mdogo wa mke wake alikuwa amehitimu kidato cha nne kijijini kwao Tabora, na kama ilivyo ada, dogo alimuomba dada yake baada ya masomo aende kuishi mjini mbaka pale matokeo yake ya kidato cha nne yatakapo amua. Binti huyo alikuwa akiitwa Selina, Selina alipanga nguo zake na kuanza safari ya kuelekea mjini Morogoro! Na hatimaye akatia timu Morogoro na kukalibishwa na dada yake, waka kumbatiana, Na wakasalimiana vizuri kabisa, Dada akamwambia mdogo wake karibu, Hapa ndio nyumbani, jisikie huru kabisa, shemeji yako yuko kazini hajarudi bado, atarudi baadae kidogo (Kwakuwa ilikuwa ni saa kumi na mbili jioni) Selina akaitikia "Sawa Dada" wakakaa wakawa wanapiga stori mbili tatu mbaka Jason alipo rejea Kutoka kazini, kazi yake ilikuwa ni Dereva wa kampuni fulani hapo mjini Morogoro.
Anna: Karibu mumewangu, pole na Kazi (Huku akimpokea begi alilo kuwa amebeba)
Jason: Asante mama watoto wangu, umeshindaje?
Anna:Salama kabisa mumewangu, Pole na kazi mume wangu!
Jason: Asante mke wangu, naona leo tunamgeni.....
Selina: Shkamoo shemeji! (Huku akiogopa)
Jason: Marahaba Selina, pole Na safari Nakaribu....
Selina: Asante shem, nimeisha Poa.

Waka piga stori za hapa na pale hatimaye wakala chakula cha jioni na wote wakaenda kupumzika. Selina alipewa chumba chake, akakaribishwa na dada yake na akapumzika huko.
Anna akarudi kulala na mume wake, siku hiyo Anna alikuwa na hamu kubwa ya kufanya mapenzi, lakini alipo rudi chumbani alikuta Jason Kaisha lala, alijaribu kumuamsha na kumtomasa mtomasa Lakini jogoo alisimama kilegevu Sana, huku Jason akijitetea kwamba amechoka, kwahiyo ndoto ya mke wake hazikufanikiwa 😢.
Anna, alilala akiwa na mawazo mengi Sana..........




《 Sehemu Ya kwanza Mwisho》
 
Ni story ya kweli ama simulizi mkuu?
Screenshot_20251111-181333~2.jpg
 
Back
Top Bottom