Hata tukiisoma namba,MUHONGO is no longer,find another figure
juhudi zake binafsi kutugeuzia wizara kuwa sehemu ya kufanyia udalali wa rasiliamali zetu watanganyika,aende kwenda mwana wa kwenda hatutaki mawaziri wanaogeuza wizara zetu muhimu kuwa kijiwe cha udalali.
Duh, hivi bado kuna watu wanagugumia maumivu ya kuondolewa uwaziri ndugu Sospiter!?
Huh!!!umesema kisiasa??????? hahahhaha jipe moyo JEMBE hili linarudi, kivingine na lazima umpigie saluti we pimbi
Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;
na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.
Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.
Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).
(Source AL-HUDA)
Zimamoto
Alhuda ni gazeti: majukwaa yametajwa katika thread: hajakuharibia kitu we pimbi: hajapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa, ni juhudi zake binafsi, acha kujidharau mwafrika wewe.
hiyo ndiyo figure ya maskini na wanyonge wa nchi hiii! anyway usisahau kuweka TIKI kwenye picha ya MUHONGO.
ndo umepata taarifa! byeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Aende akalime huko. Sie tutanunua matrekta toka Indiachakutaka
Jembe hilo. Linakubalika duniani na mbinguni.
Brother, inawezekana prof akawa mzuri sana kama unavyosema, lakini madudu yamefanyika ndani ya wizara yake yeye akiwepo na hakuchukua hatua ya kuzuia madudu hayo yasitokee. Kwa suala kama hili hata huko Marekani na Ulaya unakosema huwa wanawajibika tu. Hata hivyo, sidhani kama ni dhambi kumtumia prof katika nafasi nyingine, sio lazima awe waziri kuchangia katika maendeleo ya nchi yake.
Nakujulisha wewe uliyekua hujui!