ndulazi ndula
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 515
- 94
Endelea Kufuatilia mambo ya SIASA Kwa muda wa miaka 10 na zaidi "Utaelewa ni kitu gani" maana Najua ulianza kuvutiwa na SIASA aidha mwaka 2000(Kwa sababu ya Zitto) amma 2010(Upepo wa SLAA-baada ya kuambukizwa mambo na ZITTO(Hapa mahaba pembeni jamani-SLAA Toka 1995 Yuko BUNGENI ILA TUMEMJUA 2005 KWA SABABU YA ZITTO).Taratibu Utaelewa nakushauri tu usikate TAMAA.....
Huna lolote hapo idini ndo umekujaa na hatuwezi kuwapa madaraka watu kama ninyi kaeni kwenye genge lenu.