Prepare also with the opposite.Why being happy with somebody's collapse!Hivi ni kwani mtu usitumie JUHUDI Zako tu kutafuta unang'ang'ania mpaka UIBIE UMMA ndo UISHI.Ikitokea Zitto akaachana na vita dhidi yenu mafisadi-MTATAMBA SANA NA MTAFANYA SHEREHE!SIKU ZOTE HAKI ITASHINDA NA KUSIMAMA(Go speak 2 Kengeza).....ACT itakufa hata kabla ya uchaguzi!!
Ww Mwl na kuheshimu, umetambua makali ya njaa dhidi ya Walimu!! Vuna kadiri uwezavyo ACT then sepa. Chukua tahadhari kwa kujifunza siasa safi si unafiki! Utakuja kuwa mtaji mkubwa kwako maishani.
Am sure very soon ZZK might undergore Political collapse and we might miss him in the Parliament next year, though he is not aware and he will not be aware!!
Mwaka huu mtakuwa chizi na msaliti mwenzanu mwambie Mengi siyo wa kumchezea.wanashinyanga msituangushe hii ni vita kati ya wazalendo dhidi ya wahafidhina na mafisad tuungane tuweze kushinda. team wazalendo
Zitto anatapatapa
Kubenea ni mchumia tumbo tu ,hana lolote, kwanza sio raia wa Tanzania
Wewe ni mburula kweli kweli.... yaani tuache kununua Mawio kwa ushauri wako wa kipuuzi huo???? Kwanza Mawio limeziba pengo la -----------, kila tuhuma linayoandika kuhusu serikali hata mkiipinga baada ya muda hudhihirika ni za kweli afu Kubenea sio fisadi fisadi ni huyo zzk na maswahiba wake wa ccm ndio maana akipata jambo linaloitesa serikali kupitia kwa wapenda haki anakimbia kuwatonya. Mwambie hatumtaki hata UKAWA asije akapeleka siri zetu na mbinu za kuichukua nchi na kuiweka kwenye mikono salama.
Shule zenu ni za kukariri. Kwenu nyie muda mfupi inamaanisha nini?
Hivi Madam Rita nae kapotelea wapi na BSS yake?
Team ya Zitto mtakuwa chizi mwaka huu.
Kama habari ni ya uongo mbona ikulu imekaa kimya? Tuhuma nzito hivyo hakuna hatua zozote? Mpaka Mengi aseme?
Hivi yawezekana hujui kiswahili? Kama ndivyo umeielewaje hii mada? Basi ungetumia maneno rahisi kidogo kwenye lugha hiyo uliyopenda kuitumia. Maneno hayo ni magumu hata kwa waliobobea kwenye lugha hiyo. Acha utani nia yako si kujadili mada bali kuonesha umahiri ulionao katika lugha hiyo.Enough with this BIG-STICK DIPLOMACY.
Mengi is a mercenary.
he is behaving like a Russian Oligarch; thou trying to hide his shenanigans under a veneer of philanthropy.
with his deep pockets he ain't doing nothing than trying to vitiate the stability which most of the poor people strive so hard to preserve.
Methinks Zitto has turned Frankenstein to his own Master. You reap what you sow.
......and make no mistake laddie Zitto has never been a protege to no body; for the record not even to CHADEMA.
He is just a freelancer..So spare him all of your saber-rattling.
Zitto anapigana vita ambayo haijui anapigana na nani
Prepare also with the opposite.Why being happy with somebody's collapse!Hivi ni kwani mtu usitumie JUHUDI Zako tu kutafuta unang'ang'ania mpaka UIBIE UMMA ndo UISHI.Ikitokea Zitto akaachana na vita dhidi yenu mafisadi-MTATAMBA SANA NA MTAFANYA SHEREHE!SIKU ZOTE HAKI ITASHINDA NA KUSIMAMA(Go speak 2 Kengeza).....