Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Tulieni tu sindano iwaingie kisawasawa na mtaona kama IPP MEDIA wataripoti habari zenu za kisaliti nyie wana Act

Nimekusoma mkuu, kumbe pengo ni IPP Media wasirushe habari za ACT, wanasiasa hawa!!! ndio maana simuamini hata mmoja ingawa nawasikiliza
 
Ktk mfumo Wa capitalism wenye fedha ndio hushika au kutawala kila kitu ktk jamii.....

Ndio maana hata Marekani inaongozwa na familia tajiri fulani ambazo yeyote atakayekwenda kinyume nazo anakwisha!!!!

Hiyo ndiyo dunia sasa huyo mpuuzi wenu amewaingia wenye kushika hatamu soon atavuna alichopanda!!!!!

Kama aliyempelekea umbeya JK mbona mwisho Wa siku alimwondoa Muhongo baada ya kujiapiza Sana atasimama naye mpaka mwisho??

Angekua na akili mnazosema anazo asingekubali kutumika Kama condom kizembe hivyo ila kwakuwa anaamini yeye ni jembe Sana asubiri watu wamuonyeshe ulimwengu ulivyo!!!!

Anahangaika kuwasiliba akina Slaa lkn hakuna aliyemjibu sasa subiri wakati Wa wanaume kujibu mapigo ufike!!!!

Naona unajaribu kuonesha kuwa Mengi anapambana na Zitto na hilo wengi ndilo mnatamani kuona lakini halitatokea kamwe ...Zitto ni mtu mwenye busara sana na kuhakikishia hili jambo lenye lengo la.kumgombanisha na watu atalimaliza bila kumuumiza yeyote yule..hapa ndipo mtaamini Zitto ni kijana safi na mwenye hekima!

Mengi anajua fika hii habari ni ya uongo kabisa anacho taka ni kuona ina kanushwa na wala hajamtuhumu Zitto bali amelalamika habari kuto kanushwa..kama mnatarajia kuona Mengi na Zitto wakigombana mmchelewa.

Tunajua ni wengi wameungana kumchafua Zitto lakini watashindwa.

Mengi si Mungu wala msimpambe kiasi hicho..hana uwezo wa kupambana na ukweli.
 
Huu ushirikiano Mpya kati ya Rugemarila (Mtuhumiwa wa Escrow)na Mmiliki wa Mwana Halisi Forum na Mwandishi wa gazeti la Mawio si Salama kwa Rasilimali za nchi.

Katika kuhangaika Mzee Mengi,amemtuhumu Zitto Kabwe kuwa ndiye kampelekea Rais Kikwete taarifa juu ya Mengi Kumshighulikia pindi atakapo staafu.Lengo la habari hii ni mwendelezo wa visasi na vita ya kuhakikisha Zitto anapotea hatimae kufifiza harakati za ACT-wazalendo.

Kwamujibu wa Mengi, Chanzo cha habari hizo ni Gazeti Jipya la 'Taifa Imara' lililoanzishwa Kimkakati.

Gazeti la Taifa Imara lenyewe mnajua linamilikiwa na nani?

Gazeti la Taifa Imara ni Mali ya Rugemalila ambae ni Miongoni mwa watuhumiwa wa Ufisadi wa Escrow waliowaponza Tibaijuka na Werema .

Sasa mtu huyu huyu alianikwa tena hivi karibuni kwenye ziara ya ACT-Wazalendo kuwa kapewa tenda ya Tril 54 kujenga Bandari ya Mwambani corridor kinyemela bila Zabuni hiyo kufuata taratibu za manunuzi.

Rugemalila na genge lake la mafisadi wanaofukarisha taifa hili kila kukicha wanaendelea kutafuta target ya kumsambaratisha Zitto ili waendelee kuliibia taifa bila kukemewa.

Halafu habari yenyewe,Chanzo chake eti ni Mwana Halisi forums.

Yaani Mwana Halisi inayomilikiwa na viongozi wa Chadema (Kubenea) wanaweza kuwa chanzo cha habari ya kuaminika na ikawa njema kwa Zitto?

Hizi ni tuhuma za kutunga,na ndio maana mara kadhaa tumetahadharisha kuwa huu ushirikiano kati ya baadhi ya viongozi wa Chadema na watu wachafu kama Rugemalila unapaswa kutiliwa mashaka hasa na wazalendo wa mchi hii.

Haya si mahusiano yenye Afya na kamwe hatuwezi kuendelea kuwachekea na kuwaunga mkono.

Vita dhidi ya Ufisadi imemfanya Zitto kupata maadui wengi, Sasa Rugemarila na Kubenea wanashirikiana kupambana na Zitto.

Gazeti la Mawio kila wakiamka hawana habari yoyote zaidi ya Zitto na ACT-Wazalendo.

Kubenea na Anthon Komu wameona nguvu ya kumdhibiti Zitto haitoshi,wameamua kufanya Collaboration na Rugemarila kupambana na Zitto.

Wametunga habari ili kutaka msaada wa Reginald Mengi kwenye hii vita.

Na Mengi bila kufuatilia mmiliki wa Gazeti na Chanzo cha habari (Source) ameamini kichoandikwa.

Tunachoweza kufanya wanyonge wa nchi hii ni kugomea kununua Magazeti yanayoshirikiana na Mafisadi kudhoofisha vita dhidi ya Ufisadi.

Tusinunue gazeti la Mawio,na Taifa imara kutokana na kusaliti Vita dhidi ya Wizi.

Wanyonge bado tunasafari ndefu na tusipoungana aki na Rugemarila watatumaliza na wataendelea kutukejeli kuwa Mil 25 ni pesa za Chai.

Hatutaki kujua ni nani mmilikiwa wa gazeti, tunachotaka kufahamu ni kweli Zitto alipokea mil.80 ili kutetea wanyonge?

Pili ni kuwa kweli Zitto alipeleka umbea kwa Mh. Rais kumuhusu Mengi? hayo mengine hayana umuhimu...
 
Mimi na wewe sijui nani uelewa wake duni maelezo yameidikwa hivi soma hapo chini.


"Mtonyaji wangu katika Ikulu ya Rais Kikwete, ninaye muamini sana amenieleza kuwa Zitto alikutana na Kikwete muda mfupi baada ya kuwaslishwa bungeni ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ambayo yeye Zitto alikuwa mwenyekiti wake."

Ni lini walikutana wakati Kikwete kaondoka hiyo ripoti bado haijakamilika na amerudi bunge limeishamaliza kikao chake.

Hakika Bavicha wana ugonjwa wa kusahau...ndio maana wameamua kuungana na madisadi kumchafua Zitto.
 
Huu ushirikiano Mpya kati ya Rugemarila (Mtuhumiwa wa Escrow)na Mmiliki wa ----------- Forum na Mwandishi wa gazeti la Mawio si Salama kwa Rasilimali za nchi.

Katika kuhangaika Mzee Mengi,amemtuhumu Zitto Kabwe kuwa ndiye kampelekea Rais Kikwete taarifa juu ya Mengi Kumshighulikia pindi atakapo staafu.Lengo la habari hii ni mwendelezo wa visasi na vita ya kuhakikisha Zitto anapotea hatimae kufifiza harakati za ACT-wazalendo.
Kwamujibu wa Mengi,Chanzo cha habari hizo ni Gazeti Jipya la Taifa Imara lililoanzishwa Kimkakati.

Gazeti la Taifa Imara lenyewe mnajua linamilikiwa na nani?

Gazeti la Taifa Imara ni Mali ya Rugemalila ambae ni Miongoni mwa watuhumiwa wa Ufisadi wa Escrow waliowaponza Tibaijuka na Werema .

Sasa mtu huyu huyu alianikwa tena hivi karibuni kwenye ziara ya ACT-Wazalendo kuwa kapewa tenda ya Tril 54 kujenga Bandari ya Mwambani corridor kinyemela bila Zabuni hiyo kufuata taratibu za manunuzi.

Rugemalila na genge lake la mafisadi wanaofukarisha taifa hili kila kukicha wanaendelea kutafuta target ya kumsambaratisha Zitto ili waendelee kuliibia taifa bila kukemewa.

Halafu habari yenyewe,Chanzo chake eti ni ----------- forums.
Yaani ----------- inayomilikiwa na viongozi wa Chadema (Kubenea) wanaweza kuwa chanzo cha habari ya kuaminika na ikawa njema kwa Zitto?

Hizi ni tuhuma za kutunga,na ndio maana mara kadhaa tumetahadharisha kuwa huu ushirikiano kati ya baadhi ya viongozi wa Chadema na watu wachafu kama Rugemalila unapaswa kutiliwa mashaka hasa na wazalendo wa mchi hii.

Haya si mahusiano yenye Afya na kamwe hatuwezi kuendelea kuwachekea na kuwaunga mkono.

Vita dhidi ya Ufisadi imemfanya Zitto kupata maadui wengi,Sasa Rugemarila na Kubenea wanashirikiana kupambana na Zitto.

Gazeti la Mawio kila wakiamka hawana habari yoyote zaidi ya Zitto na ACT-Wazalendo.

Kubenea na Anthon Komu wameona nguvu ya kumdhibiti Zitto haitoshi,wameamua kufanya Collaboration na Rugemarila kupambana na Zitto.

Wametunga habari ili kutaka msaada wa Reginald Mengi kwenye hii vita.

Na Mengi bila kufuatilia mmiliki wa Gazeti na Chanzo cha habari (Source) ameamini kichoandikwa.

Tunachoweza kufanya wanyonge wa nchi hii ni kugomea kununua Magazeti yanayoshirikiana na Mafisadi kudhoofisha vita dhidi ya Ufisadi.

Tusinunue gazeti la Mawio,na Taifa imara kutokana na kusaliti Vita dhidi ya Wizi.

Wanyonge bado tunasafari ndefu na tusipoungana aki na Rugemarila watatumaliza na wataendelea kutukejeli kuwa Mil 25 ni pesa za Chai.


Kaijage na Group lenu la Matapeli wanaotumia siasa kuaminika, Mwigamba alitapeli Arusha mpaka akakunjwa shart, Mmetapeli Mwenyekiti wenu mmekataa kumlipa posho na ana kesi na nyinyi, Chama kidogo kesi lukuki mahakamani mkija kukua si taifa litakuwa vipande vipande. ZZK anatapeli kwa kuchonganisha anapoona mambo yanakuwa vibaya upande wake anabadilisha , akituhumiwa analilia eti ni kwa sababu ya ESCROW wakiwa wakali zaidi anasema kuna mgongo wa chadema na Saed kubenea, akibanwa analia eti mniache nimlilie mama kwanza. Jamaa ana visingizio kama Simba na Yanga ili mradi apate pa kutokea. Kaijage huko hakukufai jiongeze Elimu ukafundishe Chuo kikuu upate maela sio kukalia kueneza ACT inayoACT Uzalendo huku mwenyewe anamiliki Hammer.
 
Dr mengi naona anatumia vyombo vyake vibaya na anasahau sheria ya magazeti inasemaje akia yy ndio mmliki wa magazeti
Lakini . Kwa sababu anamiliki vyombo vya habri akaitisha vyombo vyake tu na kutangaza habari bila kujua inaweza kua imesukwa tu
 
Yawezekana wameshindwa Wakanushe vipi(Mgongano wa Maslahi).Rugemalira na Escrow damu damu na IKULU na Escrow Je?Amma hili nalo limesahaulika Mkuu ?

Huyu rugemalila ni wa kuogopa ka ukoma, sasa tuone kama watalipiga ban hilo gazeti, manake anaonekana huyu mtu humo mjengoni wanamtambua vizuri sana na wanamhaha
 
Endelea Kufuatilia mambo ya SIASA Kwa muda wa miaka 10 na zaidi "Utaelewa ni kitu gani" maana Najua ulianza kuvutiwa na SIASA aidha mwaka 2000(Kwa sababu ya Zitto) amma 2010(Upepo wa SLAA-baada ya kuambukizwa mambo na ZITTO(Hapa mahaba pembeni jamani-SLAA Toka 1995 Yuko BUNGENI ILA TUMEMJUA 2005 KWA SABABU YA ZITTO).Taratibu Utaelewa nakushauri tu usikate TAMAA.....

Slaa amejulikana kwa sababu ya Zitto? Basi wewe huzijui Habari za binge bora unyamaze tuu
 
According to Zitto punda anapokata roho razima arushe miguu hapa na kule,rugemalira atulie asubiri kunyolewa tu.
 
Mimi nafikiri lile gazeti linapaswa kupigwa ban na wala Mengi haja mtuhumu Zitto bali amelalamika taarifa kuto kanushwa..ila mtu yeyote akiisoma hiyo taarifa anajua ni ya kutunga..hata hivyo uzushi hule wa kumchafua Rais ulianzia kwenye mitandao humu

Mwisho Mengi anapenda kulialia kama Bavicha yani habari kama hile ya kidaku inampa shida..

Umeanza vizuri ukamaliza na haja kubwa kwenye nguo zako
 
Wewe ndio Una uelewa duni kuliko Wa kima maana umeshindwa define muda mfupi unaweza kuwa siku au masaa kadhaa....

Mwandishi hakuwa specific so muda mfupi au mrefu waweza kuwa kwa masaa au siku au miaka kutegemeneana na mazingira.......

Muda mfupi waweza kuwa hata miaka kumi kulingana na hali au mazingira ya wakati



Ndio maana nikakwambia wewe ni jima coz huna IQ ya maana....

JK karejea TZ siku ambayo jioni yake bunge ndo lilihitimisha mjadala Wa ESCROW!!!

Muda aliowasili nchini ndio muda ambao kikao cha maridhiano kilikuwa kinafanyika Dodoma na baadae kufikia maamuzi ya pamoja na bunge kufanya maazimio....

Hata JK alisema "yanayoendelea Dodoma siyajui ntaongelea nikipata taarifa kamili"

Hivyo kauli yako yakusema JK karudi wakati bunge limeshamaliza vikao ni uongo na ujinga uliotopea!!!!
Usipende kuropoka na kujifanya unajua kila kitu kumbe punguani.

JK karudi tarehe 29, November 2014.


Kikao cha bunge kimiesha tarehe 28, November 2014.

Endelea kuropoka naona unafanya mazoezi ya kukata quote na kujibu pumba.
 
Ina maana hiv sasa chadema inashirikiana na mafisadi kina rugemalila??

Kweli ACT ni kiboko yao
 
Hatutaki kujua ni nani mmilikiwa wa gazeti, tunachotaka kufahamu ni kweli Zitto alipokea mil.80 ili kutetea wanyonge?

Pili ni kuwa kweli Zitto alipeleka umbea kwa Mh. Rais kumuhusu Mengi? hayo mengine hayana umuhimu...

Tumia akili basi.

Mbona unaongea kama umejinyea??

Utataka vipi uhalali wa taarifa pasi na kuhoji uhakika wa chanzo chake??

Mibavichaaa bure kabisa.
 
Dhambi ya usaliti ni mbaya sana ...Zitto anaanza kupata faida ya usaliti na bado mambo mengi tutayasikia ...siku hizi malipo ni hapa hapa duniani siyo mpk kiama ........Namshauri Zitto ili awe Salama ni kutubu tu dhambi zake
Mwambie SLAA Kwanza aliyeMKANA "MUNGU" Kwanza AlipoASI UPADRI na PILI PALE ALIPOAMUA KUOA WAKE 2 NI UASI MKUU NA ULIOTUKUKA!Kama mtu aliyesoma vizuri BIBLIA(THEOLOGY) MPAKA PhD anafumba macho na KUFANYA MAOVU YALIOTUKUKA ITAKUWAJE KWA BINADAMU. Dr.W.Slaa Nakushauri TUBU NA UMRUDIE MUUMBA WAKO,USHAKUWA MZEE!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom