Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

According to Zitto punda anapokata roho razima arushe miguu hapa na kule,rugemalira atulie asubiri kunyolewa tu.

Kweli kabisa na leo jioni Shinyanga MWAMI ZITTO atajibu kadhia hiyo
 
Kutokana na taarifa zilizoandikwa na gazeti la 'TAIFA IMARA' linalomilikiwa na James Rugemalira, tuhuma dhidi ya Dr. Reginald Mengi alizozielekeza kwa Zitto Kabwe.

Mwami ZITTO KABWE atajibu kupitia mkutano wa Shinyanga utakaofanyika leo.

Kwahiyo mmepata Promo
 
Tatizo la wachangiaji wengi hawana uwezo wa kufikili, kwanini Ikulu isije na majibu yanayo eleweka? Kwa uelewa wangu Ikulu ni mahali patakatifu Raisi hapaswi kubezwa au kudhalilishwa na taasisi wala mtu yeyote bila kuchukuliwa hatua yeyote inaonyesha udhaifu mkubwa kwa watawala wetu. Dr. Mengi yupo sahihi kukuanusha kabla hawaja muulimboka au kumwangosi.
 
Sema jingine lakini sio MAWIO,kisa ZZK huyuhuyu msaliti atukoseshe habari za muhimu kwa mustakabali wa taifa letu????? NO!!!!!!
Huu ushirikiano Mpya kati ya Rugemarila (Mtuhumiwa wa Escrow)na Mmiliki wa Mwana Halisi Forum na Mwandishi wa gazeti la Mawio si Salama kwa Rasilimali za nchi.

Katika kuhangaika Mzee Mengi,amemtuhumu Zitto Kabwe kuwa ndiye kampelekea Rais Kikwete taarifa juu ya Mengi Kumshighulikia pindi atakapo staafu.Lengo la habari hii ni mwendelezo wa visasi na vita ya kuhakikisha Zitto anapotea hatimae kufifiza harakati za ACT-wazalendo.

Kwamujibu wa Mengi, Chanzo cha habari hizo ni Gazeti Jipya la 'Taifa Imara' lililoanzishwa Kimkakati.

Gazeti la Taifa Imara lenyewe mnajua linamilikiwa na nani?

Gazeti la Taifa Imara ni Mali ya Rugemalila ambae ni Miongoni mwa watuhumiwa wa Ufisadi wa Escrow waliowaponza Tibaijuka na Werema .

Sasa mtu huyu huyu alianikwa tena hivi karibuni kwenye ziara ya ACT-Wazalendo kuwa kapewa tenda ya Tril 54 kujenga Bandari ya Mwambani corridor kinyemela bila Zabuni hiyo kufuata taratibu za manunuzi.

Rugemalila na genge lake la mafisadi wanaofukarisha taifa hili kila kukicha wanaendelea kutafuta target ya kumsambaratisha Zitto ili waendelee kuliibia taifa bila kukemewa.

Halafu habari yenyewe,Chanzo chake eti ni Mwana Halisi forums.

Yaani Mwana Halisi inayomilikiwa na viongozi wa Chadema (Kubenea) wanaweza kuwa chanzo cha habari ya kuaminika na ikawa njema kwa Zitto?

Hizi ni tuhuma za kutunga,na ndio maana mara kadhaa tumetahadharisha kuwa huu ushirikiano kati ya baadhi ya viongozi wa Chadema na watu wachafu kama Rugemalila unapaswa kutiliwa mashaka hasa na wazalendo wa mchi hii.

Haya si mahusiano yenye Afya na kamwe hatuwezi kuendelea kuwachekea na kuwaunga mkono.

Vita dhidi ya Ufisadi imemfanya Zitto kupata maadui wengi, Sasa Rugemarila na Kubenea wanashirikiana kupambana na Zitto.

Gazeti la Mawio kila wakiamka hawana habari yoyote zaidi ya Zitto na ACT-Wazalendo.

Kubenea na Anthon Komu wameona nguvu ya kumdhibiti Zitto haitoshi,wameamua kufanya Collaboration na Rugemarila kupambana na Zitto.

Wametunga habari ili kutaka msaada wa Reginald Mengi kwenye hii vita.

Na Mengi bila kufuatilia mmiliki wa Gazeti na Chanzo cha habari (Source) ameamini kichoandikwa.

Tunachoweza kufanya wanyonge wa nchi hii ni kugomea kununua Magazeti yanayoshirikiana na Mafisadi kudhoofisha vita dhidi ya Ufisadi.

Tusinunue gazeti la Mawio,na Taifa imara kutokana na kusaliti Vita dhidi ya Wizi.

Wanyonge bado tunasafari ndefu na tusipoungana aki na Rugemarila watatumaliza na wataendelea kutukejeli kuwa Mil 25 ni pesa za Chai.
 
Kutokana na taarifa zilizoandikwa na gazeti la 'TAIFA IMARA' linalomilikiwa na James Rugemalira, tuhuma dhidi ya Dr. Reginald Mengi alizozielekeza kwa Zitto Kabwe.

Mwami ZITTO KABWE atajibu kupitia mkutano wa Shinyanga utakaofanyika leo.

Eskarioti huyo
 
Mimi nilishaipuuza hiyo taarifa tangu mwanzo sema WaTanzania tunashida ktk akili. Huyu Regemalile anaemiliki gazeti hili lililochapisha habari ya kumchafua ZZK ndo yuleyule tuliekuwa tunamsimanga humu na kumuita fisadi leo kisa kamchafua Zitto na Ikulu watu wapo upande wake.
 
Mengi amekurupuka.....
Ki vipi? Inaoenekana umaejibu habari ambayo huijui. Mengi anazungumzia yaliyoandikwa gazetini wewe unasema kakurupuka. Kwani nini yeye ndiye aliyeandika habari hiyo gazetini?
 
Ok, let me skip CHAGGA, it wasn't my main issue...

=> Issue kubwa MENGI ALITAKA KUTUFANYA SIE MAKENGE NA MAPIMBI eti apewe vitalu vya gesi wakati hana UWEZO WOWOTE ULE currently....UZAWA SIO UWEZO kabisa,....Gas kwa hizi initial stages za kuzalisha...INAHITAJI TECHNOLOGY, WATAALAM, FEDHA nyingi sana na VIFAA mfano meli za kuchimba gas, kuna helicopters za kuwapeleka engineers ktk meli na kuwarudisha....MENGI kamwe ASINGEWEZA KWA SASA, ALITAKA APEWE VITALU KWA KIGEZO CHA UZAWA KISHA afanye UDALALI AKATAFUTE wawekezaji nje huko waje waanze kuchimba, TAIFA LISINGEPATA CHOCHOTE....jua Mengi ana vitalu vya madini kadhaa...yeye ni mtu wa 3 Tanzania kuwa na maeneo mengi ya madini, ila HAJAENDELEZA KWA MIAKA, HATA MAENEO MENGI HAJALIPIA TU KODI....madini yamemshinda kuchimba....sembuse gesi...Mengi is a big crook as well...!!! atataka kutuletea giza tu ktk gesi, yeye abaki atengeneze juice na soda, aachane na uzalishaji wa gesi hawezi, PIA PALE TPDC, kuna nafasi ya mtu yeyote mwenye uwezo wa kuwekeza ktk gas akikidhi TERMS and CONDITIONS, but MENGI hana hata hizo sifa...na anajua....so MENGI asubiri gas ikianza kuuzwa, ANUNUE SHARE ktk gas distribution na awe na share ktk uuzwaji wa gas kama ana pesa...BUT NOT PRODUCTION....he can't...!!!

#Zitto fikiria, for almost 2 solid years, ktk MAFUTA MAZITO YA IPTL....pamoja na akina Ngeleja, Mhando (Former Tanesco CEO), Mboma ( Former CDF & Tanesco board Chairman) na wengineo.. walikuwa wa
wakishirikiana na IPTL...kila mwezi Serikali inatoa Tshs 15 Bil....wanagawana...

IPTL inachukua chake, then hao akina Zitto, Ngeleja, Mhando, walikuwa wanavuta hela ndefu sana, for 2 solid years, Ngeleja alikuwa ndio anaongoza, anavuta 2 Bil + each month.....na wanachofanya kila mwisho wa mwezi WANACHEZA NA MAJI TU, WANA DIVERT KWENY E SOURCE.....UMEME UNAANZA MGAO KILA MWISHO WA MWEZI, wakisingizia IPTL generators were running out of FUEL....sasa serikali inawahi peleka hizo 15 bil.....THEN WANAWASHA GENERATOR MOJA TU....KISHA WANARUDISHA MAJI KIAINA....SO HATA HELA Z A MAFUTA mazito wanatumia kiduchu sana sana....sbb MGAO ULIKUWA WA KUTENGENEZWA ILI KU FORCE SERIKALI KILA MWEZI KUTOA HIZO FEDHA...!!!

So Prof Muhongo alidhibiti huu upuuzi....imagine Zitto kama kila mwezi anavuta 800 mil for 2 yrs....meaning 800,000,000 x 24 months....= Tshs 19.2 Billions ..roughly 20 bil...!!!!

So Prof. Muhongo aliwadhibiti wote hao....Zitto na Mengi waliungana kumtoa Prof. Muhongo...now wamerudiana kumalizana wenyewe kwa wenyewe...

I am happy, wamalizane, sbb WOTE MENGI NA ZITTO NI MAFISI NA MAFISADI...!!!!

Mr.President. Ungeweza kujenga hoja yako vizuri tu bila hiyo chuki dhidi ya uchaga uliyoweka hapo. Post yako imekuwa sifuri prima facie.

Kuna watu wenye posutive energy kubwa kutokana na matendo au the give and take account. Mengi ni mmojawapo na ana ushawishi mkubwa kwa jamii. Zitto kusema aliyosema huku akijua anatengeneza uadui kati ya Rais na raia amejipatia negative energy kubwa sawa na wakubwa wenywewe anaowagonganisha.

Effect yake nayo itakuaa kubwa na hapa ndipo Posco anasema law of karma will manifest the effect.

Ikiwa kuna mfano ambao uliona sio wa kweli poa. Chukua yale uliyoona ya kweli. Ni hatari sana kuwa na mtu aina ya Ztto kwenye jamii hasa kwenye uongozi. Hivi TISS wako wapi hadi Zitto achukue nafasi yao? Hivi JK alimuamini Zitto?

What will happen if Ikulu congirms that Zitto alimwambia rais umbea? Wote tutashangaa iwapo Ikulu itasema Mengi ni mhaini kwa kuwa alichunguzwa na Zitto.

Zitto Kabwe is serioulsy sick in the head. Alifikiri anamtonya Rais kumbe loooh. No secret in bongo.
 
Baada ya mkutano mkubwa wa ACT-WAZALENDO uliofanyika hapo jana KAHAMA na kuhudhuriwa na maelfu ya watu.Sasa leo ni zamu ya wananchi wa Shinyanga kupata hotuba za viongozi wakiongozwa na KIONGOZI wa chama Ndugu Zitto Kabwe akiwa na Mwenyekiti wa chama Taifa.Zoezi leo limeanza kwa ufunguzi wa matawi.
 
Mwisho wa ubaya aibu James Rugemalira na Chadema wanacheza mziki mmoja ili wammalize Zitto hakika aibu inawajia punde
 
Tafadhali Mwl kaijage Futa kauli yako ya kumwita Zitto MWAMI ni jina wanaloitwa wazee wa heshima na watu wa safi si wasaliti na wanafiki kama Zitto.
 
Utamaduni wa kutopenda kukanusha habari mpaka ubanwe mbavu hasa ndio umetuharibu ndio maana unaona kawaida, Mengi ame-play part yake amekanusha, kurugenzi ya habari nayo ikanushe na Zitto nae akanushe alafu na gazeti nalo lije na sehemu ya pili tena baada ya jamaa kukanusha na mwisho wa siku wananchi tunapata kitu kamili na gazeti kama limetunga liandike ukurusa wa mbele kwa maandishi makubwa yaliyo bolidiwa (bold) kuomba msamaha
uko sahihi ndg.
 
Kaijage na Group lenu la Matapeli wanaotumia siasa kuaminika, Mwigamba alitapeli Arusha mpaka akakunjwa shart, Mmetapeli Mwenyekiti wenu mmekataa kumlipa posho na ana kesi na nyinyi, Chama kidogo kesi lukuki mahakamani mkija kukua si taifa litakuwa vipande vipande. ZZK anatapeli kwa kuchonganisha anapoona mambo yanakuwa vibaya upande wake anabadilisha , akituhumiwa analilia eti ni kwa sababu ya ESCROW wakiwa wakali zaidi anasema kuna mgongo wa chadema na Saed kubenea, akibanwa analia eti mniache nimlilie mama kwanza. Jamaa ana visingizio kama Simba na Yanga ili mradi apate pa kutokea. Kaijage huko hakukufai jiongeze Elimu ukafundishe Chuo kikuu upate maela sio kukalia kueneza ACT inayoACT Uzalendo huku mwenyewe anamiliki Hammer.

Mkuu huyo kaijage ni mwalimu tapeli hata kidato cha 6 hakijui sasa atafundisha vipi chuo wakati ni mwalimu kanjanja.me nipo kigoma nimepata sifa zake za kipuzi
 
Huu ushirikiano Mpya kati ya Rugemarila (Mtuhumiwa wa Escrow)na Mmiliki wa ----------- Forum na Mwandishi wa gazeti la Mawio si Salama kwa Rasilimali za nchi.

Katika kuhangaika Mzee Mengi,amemtuhumu Zitto Kabwe kuwa ndiye kampelekea Rais Kikwete taarifa juu ya Mengi Kumshighulikia pindi atakapo staafu.Lengo la habari hii ni mwendelezo wa visasi na vita ya kuhakikisha Zitto anapotea hatimae kufifiza harakati za ACT-wazalendo.
Kwamujibu wa Mengi,Chanzo cha habari hizo ni Gazeti Jipya la Taifa Imara lililoanzishwa Kimkakati.

Gazeti la Taifa Imara lenyewe mnajua linamilikiwa na nani?

Gazeti la Taifa Imara ni Mali ya Rugemalila ambae ni Miongoni mwa watuhumiwa wa Ufisadi wa Escrow waliowaponza Tibaijuka na Werema .

Sasa mtu huyu huyu alianikwa tena hivi karibuni kwenye ziara ya ACT-Wazalendo kuwa kapewa tenda ya Tril 54 kujenga Bandari ya Mwambani corridor kinyemela bila Zabuni hiyo kufuata taratibu za manunuzi.

Rugemalila na genge lake la mafisadi wanaofukarisha taifa hili kila kukicha wanaendelea kutafuta target ya kumsambaratisha Zitto ili waendelee kuliibia taifa bila kukemewa.

Halafu habari yenyewe,Chanzo chake eti ni ----------- forums.
Yaani ----------- inayomilikiwa na viongozi wa Chadema (Kubenea) wanaweza kuwa chanzo cha habari ya kuaminika na ikawa njema kwa Zitto?

Hizi ni tuhuma za kutunga,na ndio maana mara kadhaa tumetahadharisha kuwa huu ushirikiano kati ya baadhi ya viongozi wa Chadema na watu wachafu kama Rugemalila unapaswa kutiliwa mashaka hasa na wazalendo wa mchi hii.

Haya si mahusiano yenye Afya na kamwe hatuwezi kuendelea kuwachekea na kuwaunga mkono.

Vita dhidi ya Ufisadi imemfanya Zitto kupata maadui wengi,Sasa Rugemarila na Kubenea wanashirikiana kupambana na Zitto.

Gazeti la Mawio kila wakiamka hawana habari yoyote zaidi ya Zitto na ACT-Wazalendo.

Kubenea na Anthon Komu wameona nguvu ya kumdhibiti Zitto haitoshi,wameamua kufanya Collaboration na Rugemarila kupambana na Zitto.

Wametunga habari ili kutaka msaada wa Reginald Mengi kwenye hii vita.

Na Mengi bila kufuatilia mmiliki wa Gazeti na Chanzo cha habari (Source) ameamini kichoandikwa.

Tunachoweza kufanya wanyonge wa nchi hii ni kugomea kununua Magazeti yanayoshirikiana na Mafisadi kudhoofisha vita dhidi ya Ufisadi.

Tusinunue gazeti la Mawio,na Taifa imara kutokana na kusaliti Vita dhidi ya Wizi.

Wanyonge bado tunasafari ndefu na tusipoungana aki na Rugemarila watatumaliza na wataendelea kutukejeli kuwa Mil 25 ni pesa za Chai.

Puuzi mtupu, Mbona hamgomei kununuwa Magazeti kama Habari leo, Uhuru, Jambo leo?.......

Zitto nae ni Mchumia tumbo kama wengine tu, Mbona ajatutajia Walio chukuwa Hela Stanbank?????....unajuwa ni kwann?

Kosa la Reg nilipi?
 
Mmezoea kumsifu Ayatula kama mazuzu vile, sasa unataka kuukimbia ukweli

Kila mwenye utimamu anajua mpango huu ni
Chadema+Mafisadi against Zitto na kuhakisha wanamgombanisha na kila mtu...
 
Wengine tulikaa pembeni kuangalia bavicha leo wakimsifia pasco kumbe hawakuelewa alichomaanisha.

Mkuu vijana hao ni wakurupukaji hawawez kusoma maandiko makini hahahah pasco ametumia balagha maana ni lugha iliofichika ni km vile akutakane hakuchagulii tusi
 
Back
Top Bottom