Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Inasikitisha Kuwa nchi imefikia hapa ilipo. Haya ndio matunda Ya serikali zetu zinazokuwa na ushirika usiiokuwa na afya kwa jamii. Serikali inayoshirikiana na na wanyonyaji , wanaofukarisha mamilioni Ya watu . Hii serikali Ya awamu Ya nne imetia fora. Sehemu mbali mbali duniani matajiri hawana sauti yoyote ndani Ya jamii badara yake uhusiano wa tajiri na serikali ni kodi. Lakini leo Tanzania matajiri wameiteka serikali na ikulu yetu. Matajiri wanaamka na kuamua lolote juu Ya mstakabali wa Taifa letu. Inanisikitisha sana Hali hii katika nchi yangu pendwa.

Basi si na tufanye nini? Ni Hali ngumu Pia kwa taifa letu kwa kuwa watu wetu wameshajichokea hawaamini Kuwa nchi ni yao na mali zinazofujwa na wachache ni milija tu iliyobinafsishwa na wachache. Wengi haamini ni yupi atakuwa jibu kwa matatizo yao. Basi kwa wale wachache wanaojitambua endeleeni kuwaelimisha wengi wasiojua nchi hii inatakiwa watu gani. Kamwe hawa akina Rugemalila wasipewe nafasi. Jamii iwe imara kumtetea zitto wetu kwani ndi kiama cha hawa watu. Chadema kama kweli wana ushirika na hawa watu hatari sana kwa jamii yetu wakidhani wanammaliza zitto basi wajue wanapotea njia kwa Mara ya tena na ukweli ukidhihirika na ambao umeshaanza kudhihirika basi nao ndo mwanzo wa mwisho wenu.

Umepoteza muda kuandika maelezo mengi mwisho ni upumbavu mtupu!!!Zitto ni mnafiki mithili ya mganga wa kienyeji(knwn wizard)
 
Habari kama hile ni ya kijinga kiasi kwamba watu kupoteza muda kuikanusha ni upotevu wa rasilimali..habari imejaa uongo mtupu kinacho takiwa ni lile gazeti kupigwa ban tuu..

Sasa kama habari ni ya kijinga mbona unatoa Povu hapa.
Au kwa kuwa na wewe ni Mjinga ?
 
Kuna ka ukweli nadani yake, TISS , IKULU, Zitto na mengi, yakiachwa haya ni hatari kwa taifa
 
Wakati Zitto anawasilisha ripoti ya PAC bungeni rais Kikwete alikuwa Marekani kwenye matibabu.


Umeambiwa muda mfupi baada ya ripoti kuwasilishwa sasa huo muda mfupi wewe unajua ni lini?

Kenge kweli wewe yaani unashindwa kuelewa vitu vidogo namna hii
JK alirudi muda mfupi tu baada ya ripoti kuwasilishwa au nalo hujui??

IQ yako ina shida Sana!!!
 
Last edited by a moderator:
Ukifatilia huu uzi utagundua kuwa Bavicha wanashangilia tuu..

Ujinga unaoandika hapa unashikiwa nanan?jinga sana wew!!Wanaomshabikia Zitto sio great thinker ni laymen by either formal education or local one!!!!
 
Mengi raha zake ni kushindana na kila mtu ane cross his path, kuna mengi mengine.

Tanganyika Packers
Alibishana na waliopewa kihalali kiwanda hicho kilichokufa maiaka mingi sana kwa kufata kanuni zote, mwakilishi wa kampuni iliyopewa Tanganyika Packers, Sheikh Ismail wakati fulani aliwahi kuwa Mwenyekiti wa bodi ya korosho, kama sijakosea.

Nae nadhani yamemkuta yaliyomkuta.

Halafu akiona aliye-cross his path (pengine kwa perception tu), ana nguvu na kusema atamshughulikia basi ukimbilia kwenye media yake na kuutangazia ulimwengu kuwa wanampango wa kumuua bila hata kujua atashughulikiwaje (soma hii Home).
 
Shida yake aseme ni uongo wakati wenzake wamesema muda mfupi baada ya ripoti kuwasilishwa na sio siku ya ripoti kuwasilishwa!!!!

Ana uelewa duni Sana huyo.
Mimi na wewe sijui nani uelewa wake duni maelezo yameidikwa hivi soma hapo chini.


"Mtonyaji wangu katika Ikulu ya Rais Kikwete, ninaye muamini sana amenieleza kuwa Zitto alikutana na Kikwete muda mfupi baada ya kuwaslishwa bungeni ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ambayo yeye Zitto alikuwa mwenyekiti wake."

Ni lini walikutana wakati Kikwete kaondoka hiyo ripoti bado haijakamilika na amerudi bunge limeishamaliza kikao chake.
 
Wanajumvi kwa taarifa za uhakika nilizozipata, zinaekeza kuwa MH ZITTO KABWE anajiandaa kuongea na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa.

Habari zinasema kuwa Amejiandaa kulikana gazeti lililoandika habari humhusu yeye Zitto,Prof Kikwete na Dr.Mengi.

Tusubiri.
 
Umepoteza muda kuandika maelezo mengi mwisho ni upumbavu mtupu!!!Zitto ni mnafiki mithili ya mganga wa kienyeji(knwn wizard)
Mmejaribu KUMUUA Kama CHACHA WANGWE Mmeshindwa,mmebaki KULALAMA TU HUMU....
 
Mimi na wewe sijui nani uelewa wake duni maelezo yameidikwa hivi soma hapo chini.


"Mtonyaji wangu katika Ikulu ya Rais Kikwete, ninaye muamini sana amenieleza kuwa Zitto alikutana na Kikwete muda mfupi baada ya kuwaslishwa bungeni ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ambayo yeye Zitto alikuwa mwenyekiti wake."

Ni lini walikutana wakati Kikwete kaondoka hiyo ripoti bado haijakamilika na amerudi bunge limeishamaliza kikao chake.

Tulia. Tuliza akili. Tafakari upya hicho ulichokileta. Usiwe kama mtu aliyelewa kashata
 
Wanajumvi kwa taarifa za uhakika nilizozipata, zinaekeza kuwa MH ZITTO KABWE anajiandaa kuongea na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa.

Habari zinasema kuwa Amejiandaa kulikana gazeti lililoandika habari humhusu yeye Zitto,Prof Kikwete na Dr.Mengi.

Tusubiri.

Asante bro wacha tungojee . Si nimesikia atajibia kwenye mkutano leo ? Au nimesoma sikuelewa ?
 
Dhambi ya usaliti ni mbaya sana ...Zitto anaanza kupata faida ya usaliti na bado mambo mengi tutayasikia ...siku hizi malipo ni hapa hapa duniani siyo mpk kiama ........Namshauri Zitto ili awe Salama ni kutubu tu dhambi zake
 
Back
Top Bottom