Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Facilitator;Poor mind of an academic dwarf... do u think being ureasonably circumlocutios underlines your dexterity?? Only the lower primary school kids will be mesmerized and flabbargasted by ur hoolabaloo!!

..... don't try to stonewall what i believe. I say it again PLUTOCRACY is common syndrome turning this country into a cesspool.
..... Whatever these oligarchs do it goes against the common precepts of decency.

Now listen very careful DAMSEL, grade inflation is my personal problem;so don't patronize me.
I am a bastion of my own beliefs and this is a free world. So don't manicured my lawn with these glitzy words.
.....rather than being brusque with me work hard to improve your own savvy.
.....and for the record you are NEITHER SMART AT ALL; you are just knowing fool who attended college.


Inamaana ni kwamba hujui kiswahili au unataka kutuonyesha unajua viingereza vingi vya kuokota maneno kwenye dictionary? Acha mbwembwe dogo.. Unataka watu wakuone umesooma!
 
Ndio umemaliza kupost au ...! This is one of mentally castrated posts! Jus think if it is worth being posted here
Insane,undirectional stupid slavery mind i have ever seen barking out...
 
Tatizo la wachangiaji wengi hawana uwezo wa kufikili, kwanini Ikulu isije na majibu yanayo eleweka? Kwa uelewa wangu Ikulu ni mahali patakatifu Raisi hapaswi kubezwa au kudhalilishwa na taasisi wala mtu yeyote bila kuchukuliwa hatua yeyote inaonyesha udhaifu mkubwa kwa watawala wetu. Dr. Mengi yupo sahihi kukuanusha kabla hawaja muulimboka au kumwangosi.
upo sawa! humu ndani watu wanafikiria kisiasa sana, na uelewa ni mdogo. kumbuka lili gazeti lilinukuhu kauli ya rais kuhusu kumshughulikia mengi, pamoja na maongezi ya zitto na raisi (hata kama ni ya kutunga). kwa hali ya kawaida lazima uingiwe na hofu maana rais ni amir-jeshi mkuu aweza fanya lolote. kwa hiyo, ikulu ingetakiwa itokea hadharani kwanza kuhakikishia umma kuwa hapakuwa na mawasiliano kati ya rais na zitto. na pia wangelichukulia hatua hilo gazeti. mbona magazeti mengina yalishawahi kuchukuliwa hatua hapo kabla, lakini kwa hili wamekuwa kimya!!?
 
Wewe ni wa KIGOMA?Una AKILI TIMAMU?Zitto kamsaliti NANI?Unajua hata WAZAZI WANAPOKUWA NA MTOTO "TAAHIRA" WA KUPINDUKIA HAWAWEZI KUMWITA JINA HILO KWENYE PUBLIC!UNAJUA CHAKO NI DHAHABU HATA KAMA NI "UVUNDO"!!LAKE ZONE IS MY HERO AND HE WILL ALWAYS BE!KAMA KIGOMA HATUMTAKI SISI WENGINE TUNAMTAKA....
Teh teh teh Ndg yangu una kichwa kigumu bado hauja amini zito ni msaliti? pm no. yako ntakupa ushahidi.
 
upo sawa! humu ndani watu wanafikiria kisiasa sana, na uelewa ni mdogo. kumbuka lili gazeti lilinukuhu kauli ya rais kuhusu kumshughulikia mengi, pamoja na maongezi ya zitto na raisi (hata kama ni ya kutunga). kwa hali ya kawaida lazima uingiwe na hofu maana rais ni amir-jeshi mkuu aweza fanya lolote. kwa hiyo, ikulu ingetakiwa itokea hadharani kwanza kuhakikishia umma kuwa hapakuwa na mawasiliano kati ya rais na zitto. na pia wangelichukulia hatua hilo gazeti. mbona magazeti mengina yalishawahi kuchukuliwa hatua hapo kabla, lakini kwa hili wamekuwa kimya!!?
Umesema vizuri kabisa. Kama kuna kaukweli hivi.
 
Ni kweli kabisa ndugu. Hapa tatizo liko kwa wale waliotajwa kukaa kimya bila kukanusha ile habari. Utaona hapa mengi anatajwa kama mhusika mkuu wa kuiangusha dola. Na dola inasema itamshughulikia. Na tangu habari itoke gaztin imepita miez mitatu. Tulitegemea kama habari ni ya uongo? Basi anayetajwa kuwa ndiye mtoa habari kwa dola, basi angekanusha ile habari. Na dola nayo ingekanusha ile habari basi mzee mengi angeweza kuwa na aman. Lakin sasa imepita wiki tatu je, mzee mengi afanyeje? Akae kimya tu? Je, ungekuwa ni wew ungefanyeje? Linapotokea jambo tukae tutafakari kwa kina mapana ba maref ili kila mmoja atendewe haki humu kwenye jukwaa. Mzee mengi usiogope tunakuombea mungu aendelee kukulinda. Sis watanzania tunaojua juhud zako za kupigania wanyonge tupo pamoja na wew.
Ukisemacho ni kweli tupu mkuu pia sikudhani kama hii habari ina miezi mitatu nilidhani imeibuliwa juzi tu na hilo gazeti though kwa humu JF ina muda mrefu inazungumziwa
 
Umeliweka vizuri sana.Kwani Mengi ana utakatifu gani hasa mpaka kila anayemgusa apate kibano kutoka kwa hicho Pasco anachokiita Karma.Pasco hajui anachokiongelea.Na hii Karma anayoiongelea Pasco ni mnyama gani hasa,si nguvu za giza tu.Imani zingine bwana,kazi kweli kweli.Hapo mwenyewe anaona kafika kabisa.
Hivi kwamaana iyo Mengi ni Mungu anayeioshi dunaian ambaye kila mgusaye lazima ataharibikiwa??
Pasco nafkri ulikuwa unatafuta namna ya kuonyesha Zitto kakosea baada ya taarifa ya habari ya jana lkn pia ayo uliyounganisha wee hapa na wahanga wa matukio yaliyopita sio sahihi.

zito akishindwa atashhindwa kwa mengi wala sio aya ya Mengi.....................kwan huyu mengi anao usafi gani hasa??
 
Last edited by a moderator:
Habari kama hile ni ya kijinga kiasi kwamba watu kupoteza muda kuikanusha ni upotevu wa rasilimali..habari imejaa uongo mtupu kinacho takiwa ni lile gazeti kupigwa ban tuu..

Kweli kuna watu wana akili kama punje ya mchele!

Hivi unajua UZITO wa UHAINI wewe? Hebu andika hapa JF kwamba unataka kuiangusha serikali ya JK hata kama ni UDAKU uone moto wake?

Gazeti liandike kwamba serikali inataka kuangushwa halafu serikali ikae kimya, kwanza kwa huyo aliyetuhumiwa kuiangusha serikali, lakini pia kwa gazeti lililoandika hizo habari kama ni udaku?

Hata kama habari hizi zingekuwa zinahusu SERIKALI YA BANANA REPUBLIC, asilani asingekaa kimya!
 
Huu sio ulimwengu wa analogia bali ulimwengu wa digital. Tunapojadiliana wewe Ritz na mimi hatujakaa meza moja ndicho kinachoweza kutokea Zitto kumfikishia kikwete habari hizo.

Wakati woote huo Taasisi za Ulinzi na Usalama za Serikali zimeenda likizo !
Akili za kichaga ni kama za kikristo, ananunua picha dukani na kuiabudu !
 
Hivi bado tu hajajibu tu hizo tuhuma?

Mlioko mkutanoni tujuzeni basi.
 
alikuwa wapi mda wote huu hadi akanushe leo zito simwamini tena kuanzisha chama kingine ukiwa ndani ya chama kingine ujinga tosha huo
 
Mimi nafikiri lile gazeti linapaswa kupigwa ban na wala Mengi haja mtuhumu Zitto bali amelalamika taarifa kuto kanushwa..ila mtu yeyote akiisoma hiyo taarifa anajua ni ya kutunga..hata hivyo uzushi hule wa kumchafua Rais ulianzia kwenye mitandao humu

Mwisho Mengi anapenda kulialia kama Bavicha yani habari kama hile ya kidaku inampa shida..

Utakanusha vipi taarifa ya kweli jamani. Halafu JK akifanyiwa ubaya lazima atalipa tu kwa ubaya, yaani, yupo kama Wasrael pale middle east!.
 
Kutokana na taarifa zilizoandikwa na gazeti la 'TAIFA IMARA' linalomilikiwa na James Rugemalira, tuhuma dhidi ya Dr. Reginald Mengi alizozielekeza kwa Zitto Kabwe.

Mwami ZITTO KABWE atajibu kupitia mkutano wa Shinyanga utakaofanyika leo.

Nursery School Teacher (mwl. Kaijage) mbona hakuna updates? Au kwa kuwa leo hakuna ajali iliyoua watu ndo maana mkutano umebuma? Mmeona mkiendelea kuwatoa kafara ndugu zetu albino na nyinyi mtanyongwa sasa mmeamua kugeuzia kafara zenu kwenye barabara ili msishtukiwe. Sasa tumeshtuka mkitangaza mkutano tunawatonya madreva wendeshe speed 20 tuone kama ajali ikitokea mtu atakufa. Wapuuzi sana nyie huku Tabora mmetuacha na majonzi ya mtoto mchanga mliye mgonga akiwa na mama yake.
 
Kweli kuna watu wana akili kama punje ya mchele!

Hivi unajua UZITO wa UHAINI wewe? Hebu andika hapa JF kwamba unataka kuiangusha serikali ya JK hata kama ni UDAKU uone moto wake?

Gazeti liandike kwamba serikali inataka kuangushwa halafu serikali ikae kimya, kwanza kwa huyo aliyetuhumiwa kuiangusha serikali, lakini pia kwa gazeti lililoandika hizo habari kama ni udaku?

Hata kama habari hizi zingekuwa zinahusu SERIKALI YA BANANA REPUBLIC, asilani asingekaa kimya!
Watu wanajitoa ufahamu tu,kuiangusha serikali kuliko ongelewa na gazeti sio kwamaana ya kupindua serikali bali ni kwamaana ya kusababisha kuvunja baraza la mawaziri ama kufanya mabadiliko ya mawaziri kama ilivyotokea mara nyingi.
ndo maana hata ikulu wakapotezea,ingekua kupindua serikali,mengi wangeshamkamua korodani zamani sana.
 
Uelewa wa baadhi ya members humu ndani ni mdogo mno kwa kiwango cha kusikitisha,hakuna madhara yoyote kwa Zitto kisiasa kutokana na inshu hii,alichokifanya Dr Mengi hapa ni kumtia adabu JK pamoja na serikali yake kwamba huwa wepesi kujibu tuhuma za kuhongwa suti na saa lakini kwa inshu kubwa kama hii ya uhaini,serikali hiyo hiyo haikuona hilo wako busy tu na kufuatilia vikao vya Lowassa,serikali ilipaswa kutoa ufafanuzi wa ishu ile na kulifungia hilo gazeti - iwe Zitto ndo alipeleka umbea au nini,lakini JK ndo ameshikwa pabaya hapa,wale wanaomwazia Zitto mabaya tafuteni agenda nyingine ya kuzungumza!
 
Back
Top Bottom