Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,352
- 111,627
Dats y ailavyuuuuuuu daddy....
same here daughter msalimie mkwe naona kawa kimya sana siku za karibuni....
Dats y ailavyuuuuuuu daddy....
mie ninacho hitaji hapa ni ndoa maswala ya kukaguana ni ya kizamani bwana,sisi alimladi tumependana shida ya nini? jamani hapo mtakuwa mmeingilia uhuru wa ndoa tafwaaasalin sana aiseeee!!!!!!
Mwaka wa 5 unaniita gelofriend tu unadhani mi nafurahi eeh?
Mwaka wa 5 unaniita gelofriend tu unadhani mi nafurahi eeh?
I love u too ma hubby....
wala hata usisikilize maneno ya Vin Diesel asije kutugombanisha bure!!!
ntakupa ishu zake baadae!!!
Aku! nshachoshwa na huo uchumba sugu......!!!Sasa my dear Evelyn Salt si tulikubaliana mwaka huu ndio twaoana?....naomba usiende kwa huyu Slave.
Aku! nshachoshwa na huo uchumba sugu......!!!
Mwambie tu mipango yetu asijekufa kwa presha huko baadae....ila hakikisha umwambie mkiwa maeneo ya hospital kabisaaaaa.....me love u Evelyn Salt..
hiyo ndoa unayotaka wala CC haitaitambua...
Wadau wana chit chat,mapema leo nilitangaza kutafutamchumba hapa jamvini. Yamekuja mapendekezo mengi na ushauri mwingi. Baada ya kupitia mapendekezo kwa makini na kuyafanyia kazi nimefikia uamuzi juu ya binti Evelynsalt .napenda kutangaza nia yangu hadharani kwenu wanajamvi mlifahamu hilo.nimeshapeleka suala hili kwenye kamati ya screeningnasubiri majibu yao na baraka za Mwenyekiti Baba V ili mipango kamambe ya ndoa ianze. Wadau jiandaeni kila mmoja kushika kitengo kwenye kamati mbalimbali za harusi. WENYE WIVU WAJINYONGE
Nawasilisha.
C.c Baba V Mamndenyi The Boss Ruhazwe JR pia lawyers Ruttashobolwa Kipipi
Semeni yoooote ila silaliiiiiiiiiii
Nampenda dada yangu Mamndenyi lazma nimlindie mautamu yakeee
hamuoni kuwa mtakuwa mnaniabisha! Nimemsikia charminglady anasema akanikague. Mh! Kwanini asinikague my Evelyn Salt yeye ndo atawaambia nyie kama mie muuza bamia au mkimbizi mwenye paspot ya nchi nyingi. Hapo napinga kabisa mie kukaguliwa na charminglady
Erickb52 habari ya weekend,
najua umejitahidi kunilinda sana (thank u)
mi nilikuwa nje ya nchi kidogo, but i am back,
pia nicopie kwa Vin Diesel kuwa ndoa basi hadi atakapoweka speed governor tukutane tena.
Erickb52 habari ya weekend,
najua umejitahidi kunilinda sana (thank u)
mi nilikuwa nje ya nchi kidogo, but i am back,
pia nicopie kwa Vin Diesel kuwa ndoa basi hadi atakapoweka speed governor tukutane tena.