TAARIFA YA NDOA kwa wana Chit-chat wote

TAARIFA YA NDOA kwa wana Chit-chat wote

Vigezo na masharti lazima kuzingatiwa..."ukitaka vya uvunguni, shurti ubong'oe"

Kaka bado uko nyuma ya wakati, siku hizi ukitaka cha uvunguni unainua kitanda kama kizito unatafuta shoka lilipo
 
Kaka bado uko nyuma ya wakati, siku hizi ukitaka cha uvunguni unainua kitanda kama kizito unatafuta shoka lilipo

watu sasa hivi wapo katika Digital system
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 habari ya weekend,
najua umejitahidi kunilinda sana (thank u)
mi nilikuwa nje ya nchi kidogo, but i am back,
pia nicopie kwa Vin Diesel kuwa ndoa basi hadi atakapoweka speed governor tukutane tena.

Sasa mama watoto wangu Mamndenyi mbona wataka kuniumiza mumeo....dhambi yangu ni ipi hasa hadi utake kuondoka...
 
Last edited by a moderator:
inawezekana Vin Diesel ni mharibifu? Maana inavyonekana anampango wa kunipindua kwa my love Evelny salt inawezekana hata mie ndoa yangu atakuja ivuruga

Wewe ndio umevuruga uchumba wangu na Evelyn Salt.....sijui hata umetokea wapi Slave mpaka uamue kuja kuniondolea furaha yangu....ila nitapambana mpaka tone la mwisho la damu... Vin Diesel na Evelyn Salt mpaka kifo..
 
Last edited by a moderator:
watu sasa hivi wapo katika Digital system

Na ndio tunatumia vifaa hivyo hivyo kwenye ukaguzi....sasa kwa kuwa unaikubali hiyo teknolojia sina shaka ukaguzi utafanikiwa
 
Last edited by a moderator:
Na ndio tunatumia vifaa hivyo hivyo kwenye ukaguzi....sasa kwa kuwa unaikubali hiyo teknolojia sina shaka ukaguzi utafanikiwa

mie sikatai ila kukaguliwa na mwanamke ambae hanijui simjui hapana.
 
Back
Top Bottom