sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Hahahaha, dady huyo ndio yule wa nyumba ndogo eeh, mbona mama kamsahau.na beibe nasty....
Last edited by a moderator:
Hahahaha, dady huyo ndio yule wa nyumba ndogo eeh, mbona mama kamsahau.na beibe nasty....
Hakyanani ndoa za siku hizi. . . . .jana tu mtu anatafuta mchumba leo pilau? Kazi ni kwenyu!
Namsubiri Evelyn Salt aje hapa, nimemtumia ujumbe muda mrefu naona kimya, ngoja nimtume charminglady akamtafute ili twende sawamwenyekiti Baba V tunasubiri taratibu zako au mnanifungisha ndoa ya mkeka?
hahaha! Wewe leo umekuwaje? Mbona unataka kuvunja ndoa yangu wewe.nitalia nawewe mwaka hutakuwa mbaya kwako ngoja nimwite daddy wako aje aone
tayari kanipigia simu anasema ndani ya nusu saa takuwa amejaa hapa kuja kuwaeleza ukweli wake toka moyoni.
Hahahaha, dady huyo ndio yule wa nyumba ndogo eeh, mbona mama kamsahau.
kha! Vin Diesel unataka nao wapotelee huko huko eeeeeeeeeeeeee!!!!?
Shikamoo mama mpendwa.
tahadhari hapo nje kuna ma baunsa wa kutosha.
Umeona maneno ya mwanao sasa mtoto anamaneno mazito huyo