Asante sana mkuu, ila habari ya ukaguzi iko nje ya kurasa za katiba yangu, nadhani hiyo makitu iko kwa mzee wa maternity ward Asprin, kwangu vgezo vikizingatiwa sina objection
Hapo kwenye vigezo ndio ninapopasimamia! Nimemwambia huyo passion lady kwamba hawezi kuolewa bila taarifa za ukaguzi kuletwa kwako. Cha ajabu hata Ruttashobolwa nae anashindwa kutii sheria bila shuruti! Wameshindwa kumheshimu hata Asprin

Mostly ma'mtu ma'Hero na mapiganaji ndiyo huaga kihivi Bi'dada !
Refar Mz. Madiba na Roben Prison! Walter Sisulu , Ken Sarowiwa na wafananao na hao.
Kwa kuji sakrifais kwao impakti badae .
Mimi na Dena Amsi tuko bukheri wa afya na ndoa yetu inaendelea kudumu licha ya vimaneno kutoka kwa Baba V, Filipo, Arushaone na Erickb52 kutaka ivunjike ila iko salama sana bila kumsahau mzee wa penda penda Vin Diesel
Hapo kwenye vigezo ndio ninapopasimamia! Nimemwambia huyo passion lady kwamba hawezi kuolewa bila taarifa za ukaguzi kuletwa kwako. Cha ajabu hata Ruttashobolwa nae anashindwa kutii sheria bila shuruti! Wameshindwa kumheshimu hata Asprin
Unajuaje..!!? ninavyomjua Asprin ni kuwa kabla mtu hajatinga chit chat huwa tayari keshakagua, pale ID inaposubiri verification yeye ndo huwa anamalizia pale