Mtingaji
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 1,223
- 367
...pamoja na vitisho hivi ambavyo vinaweza kupelekea mtu kuteswa, kuwa sodomized na hata kuuwawa kijasusi, sitaacha kukipigania chama changu cha CCM ....
Nahitaji sana sala zenu,
Mungu ibariki Tanzania.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Ujinga wako umefika kiwango cha kuwa mpumba.vu, yaani uko tayari kuwa kungolewa meno, kutolewa jicho, kunyofolewa kucha, kuwa-sodomized au kuuawa na wanachama wenzako wa CCM kwa ajili ya Chama 'chako' CCM? Mwalimu kilikuwa chake lakini alitaka kukitema, "na wewe ni chako!" Hao wanaotaka kuku-sodomize au kukuua watasemaje-hao si ndiyo chao?
Wewe hatuna haja ya kupoteza muda kukuombea, maana "utaangamia kwa kukoseshwa maarifa" na CCM! Muasisi wake walimuua wakashika dola, sembuse wewe uliedandia treni karibu na mwisho wa reli utusumbue! TOKA HUKO kwa wauaji hamia kwingine tuikomboe nchi!