Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
Mchambuzi kwani wewe ni verified? Na hiyo picha hapo ni yako? Hata hivyo pole sana kwa hayo yanayokunyemelea. Ustawi una gharama zake. Unajulikana kwa hoja zako makini na za kufunza. Sijui ni kwa nini hao ccm wenzako watake kukudhuru wakati unajaribu kuwanyooshea njia. Mwisho karibu sana cdm.