ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
Kuna watu hata ukiwaambia CCM wanataka kumpa Rais wa China mlima Kilimanjaro aondoke nao kwenye ndege yake wataamini...
maslahi ya watanzania wote kwa ujumla si ya sehemu flani au kabila au dini.
Chama cha ccm kina wajali wananchi wake si chama cha kusacrifice watu kwa manufaa ya wachache.
nani amekutishia maisha? Mtaje
Kuna watu hata ukiwaambia CCM wanataka kumpa Rais wa China mlima Kilimanjaro aondoke nao kwenye ndege yake wataamini...
nani amekutishia maisha? Mtaje
Kama ameamua kuja hapa kutoa taarifa basi ingekuwa vizuri taalifa yake akaikamilisha.
Kama anasema mpaka ana majina na sijui hayo majina amepewa na nani?
Tatizo liko wapi mpaka anashindwa kuyataja.
Mkiongelea mambo ya uzinzi mbele ya mzinzi.......ni lazima michango ya mzinzi katika mazungumzo yatajawa na hofu na kujihami.........wewe ni mfuasi wa MagaidiKuna watu hata ukiwaambia CCM wanataka kumpa Rais wa China mlima Kilimanjaro aondoke nao kwenye ndege yake wataamini...
Pole sana,
Chukua hatua za haraka za kujihakikishia usalama wako. Baada ya hapo wasiliana na wadau wengine wakusaidie kuwa salama na kuendeleza unayodhani ni azma yako kwa faida ya nchi yako. Karibu Tanzania: Mungu akulinde.
Ndugu wana JF, hasa wadau wenzangu jukwaa la siasa,nimeona kuna umuhimu wa kuwapa tu taarifa kwamba nimepotea kidogo humu ili kujipanga kutokana na vitisho navyokumbana navyo kutokana na michango yangu mbalimbali humu,hasa kuhusiana na misimamo yangu dhidi ya madhaifu ya chama changu cha CCM kuelekea 2015;kwa wengi,naamini watakubaliana nami kwamba lengo langu limekuwa ni kujenga,sasa hawa wachache kwa mtazamo wao ni kwamba nabomoa chama (CCM) kuelekea 2015; vitisho hivi havijaanza
wamejuaje kwamba wewe ndio Mchambuzi? au hata huko mtaani unatumia jina hilo hilo?
Huyu jamaa anatumia picha yake halisi na ameshawahi kujitaja jina hapa
Huyu Mlevi wa dengelua kumbe yupo hapa twende kwenye jukwaa la jokes kwasababu hapa hoja zako ni hafifu sanaTanzania kila mmoja kwa sasa "akitishwa/maisha kuwa hatarini" mashitaka anapeleka JAMII FORUM.
Kuna watu wameanza kuuza propaganda za njia ya kijasusi.
Siasa kwa sasa imeingiliwa na wenyewe.
SOMETHING'S FISHY