T.I D agombewa na wafungwa

Sheria zetu mara nyingi zinakuwa influenced na nguvu nyingine zaidi ya sheria tu, mfano kama ni mtoto wa kiongozi au mkubwa ukipatikana na kosa ukawekwa rumande au kupumzisha mahabusu ya polisi unaweza kutolewa nje kabla hata taratibu zote hazijakamilika.

Kwa kosa kama la huyu jamaa(TID) kwenye nchi nyingine ni adhabu ya kutumikia jamii tu ingetosha sababu hapa kuna gharama nyingine serikali inabidi iingie kumtunza gerezani kwa mwaka mzima.
 
Jamaani TID ni jeuri, hii sio kesi yake ya kwanza kupiga watu, kumbukeni pale Kempsky Kilimanjaro hotel alipompiga jamaa baada ya kunyimwa u-top ten.

Kule gerezani hakuna cha TID wala nani. Kama hajui amuulize Papa Kocha na Babu Sea. tunachohitaji atoke amejirekebisha. Duuuu nasikia jamaa kule yaani maafande wana-programu nzuri za urekebishaji sijui ni zipi hizo. Mwenye kuzijua atu-tip
 
Jamaani TID ni jeuri, hii sio kesi yake ya kwanza kupiga watu, kumbukeni pale Kempsky Kilimanjaro hotel alipompiga jamaa baada ya kunyimwa u-top ten.

Kule gerezani hakuna cha TID wala nani. Kama hajui amuulize Papa Kocha na Babu Sea. tunachohitaji atoke amejirekebisha. Duuuu nasikia jamaa kule yaani maafande wana-programu nzuri za urekebishaji sijui ni zipi hizo. Mwenye kuzijua atu-tip

Mkuu,
Inategemea..kuna " program" nyingine zinawaweka wafungwa kwenye uharibifu zaidi...sijui kama umesikia kilichotokea huko katika gereza la Karanga Moshi ambapo mfungwa wa makosa ya ujambazi ametoroka akiwa anatumikishwa kwenye mashamba ya wawekezaji..ambapo wakuu wa gereza hulipwa kwa huduma hiyo... and in return huwalipa hao wafungwa ujira wa bangi,sigara na vitu vingine visivyo vya halali.Ametoroka siku chache baada ya wafungwa kulalamikia tabia hiyo kwa wakuu wa magereza nchini!
 
Naomba wafungwa waandamizi huko alikohifadhiwa wasimharibu huyu kijana asije akashindwa kujisikia kama mwanamme tena na hivyo kupuuzia kuimba tena kwa vile heshima ya kuwa mwanamme ni moja ya sababau ziilizokuwa zinamfanya atunge nyimbo na kuziimba ili watu wote wanawake na wanaume wamtambue. Nilipenda sana nyimbo zake hasa ile ya Zeze.
 
Akitoka huko atakuja na kibao kikali kuhusu maisha ya Ukonga. Huruma sana lakini.
 
Pole pole, kuna mtu alisema ametinga mahakamani bila lawyer ndo nikashangaa.
Mi nadhani kuwa na advocate wa kukutetea mahakamani hai-garantee kuwa utashinda kesi.........Kwa hiyo hata huyo TID hata kama angekuwa ameweka advocate kumtetea kwa kosa la kumjeruhi mtu ni wazi alitenda kosa licha ya kudai kuwa alizidiwa na kilevi sana sana angeliwa tujisenti twake tu....acha watiwe adabu kidogo....
 
hahaha, huyo aliyesema kuwa angeweka advocate amsimamie, alikuwa sahihi, pamoja na kwamba mimi kama mwana wa Mungu, najua ambacho kingetokea ingekuwa ni dhambi. kwa kawaida, hata kama mtu umefanya kosa kabisa waziwazi, hasa kama la TID, kwa hapa tz, ukiweka lawyer huwa inakuwa na asilimia zaidi ya tisini kushinda. first, ni kwasababu wale ma advocate wanajuana sana na wale mahakimu(ambao wana njaa kwa vikosa vidogo kama hicho), hivyo ni rahisi sana hata wao kupigiana simu tu na wakamtoa mtu hata kwa kurekebisha charge sheet wakishirikiana na PP. hii tumeona na inatokea kila wakati. wengi wanaponea mianya kama hiyo. ni tofauti mtu kutinga pale haujuani hata na mwanasheria yoyote yule, hapo sheria itachukua upanga wake kama ilivyokuwa kwa mwenzetu. kwa upande wangu, kama angeweka lawyer, hakika angeshinda hiyo kesi hata kama angeshindwa sana basi ANGEAMBIWA ALIPE HATA FAIDI tu, ma advocate ni watu wa mjini sana, they know how to work out vitu kama hivyo, wanajua kula hata rushwa, wana connection na network kubwa sana. hii najua ni dhambi kwasababu rushwa ni dhambi.

so, kama kuna mtu alisema TID alifungwa kwasababu hakuchukua lawyer na kama kweli haku hire lawyer, alisema sahihi, kwasababu, kusema kweli, kama wasingalikuwapo maadvocate,watu karibia wote wanaopelekwa mahakamani wangekuwa wanafungwa. lakini kuna kesi nyingi sana zile ambazo zina interest ndogo kwa jamii ambazo huwa zinafunikwa na kurahisishwa tu, mtu anapewa faini tu na anaondoka.hata hii TID angelipa faini tu. watz wengi ni wajinga wanajifanyaga wanajua kila kitu, ndo maana wanaumia, kama wewe unaesema ungetokea mahakamani bila lawyer ati kwasababu umeshafanya kosa basi hauwezi kukwepa, hii ni kutokana na kutoelewa hali halisi ya mambo yanavyoenda hapa mjini. thanks.
 
Back
Top Bottom