Swali: Waislamu wanaruhusiwa kuoa majini?

Swali: Waislamu wanaruhusiwa kuoa majini?

Hapana.

Ila Tunashirikiana nao kwenye Ibada.
Huwa tunakuwa nao msikitini.

Na pia wale majini wanaomuamini allah sio wabaya na yanakaa sehem safi safi . Ila yale majini makafiri huwa yanapenda uchafu na yanakaa sana chooni kutuchungulia.

Ndio maana huwa tunafanya dua kabla ya kuingia chooni.

😎😎😎😎
Wewe sio muislamu waachie wenyewe wajibu na ndio ustaarabu
Nakumbuka kuna siku ulinitag kuniomba tuachane na kejeli dhidi ya dini za wenzetu lakini kumbe wewe ndio kiongozi
 
Waislamu wanaswali nayo na kushirikiana nayo Kwa namna mbalimbali

Sasa swali ndipo linapoanzia
Mkuu Kuna mambo yapo kwa sababu tumerithishwa pasipo ushahidi.
Kwa mfano
1 .kifo-kipo kwa sababu tunaona na tunazikakana

Haya majini wewe na Mimi hatujawahi kuyaona tutaamini vipi ?hata hao waislamu inawezekana wanaishi kwa kudhani yapo na wao hawajawahi kuyaona hayo majini.

Wanasema majini yanaleta pesa na mambo mengine mbona baadhi ya miskiti Ina miaka na miaka haishi ujenzi kwa sababu pesa hakuna,hayo majini yanashindwa kuwapa?
 
Sasa kama hujui kuwa majini yapo,

Mada hii hairuhusu.
 
Kutokana na imani ya watu ndio maana nimesema ni psychological.
Lakini swali ni nani amewahi kumuona huyo jini na kusema huyu ni jini? Ndio maana inabaki nadharia tu ambayo kama ikithibitishwa basi sawa.
Katika dimensions jini ambalo limeumbwa kwa moto uwezo wake uko kwenye 5th dimension huku sisi tukiwa 3rd, sasa unawezaje kuoa kiumbe cha 5th?
Z Anto, aliwahi kumuona jini na kuwa naye kimahusiano, ila hawakuoana.

😂😂😂😂
 
Kumbe yawezekana muislamu kuoa jini bila shida yoyote kiimani
Hapana si ruksa kwa muislam kuoa jini ndoa na sheria zake zimeelezwa katika Quran, ni baina ya mwanamme na mwanamke na jini hakutajwa popote na wala hakuna zaidi ya hapo, kuhusu kazi halali tunaweza kushirikiana nao kwakuwa wana elimu na ujuzi mbalimbali ndio maana wazungu wametupiga bao wao wanachota ujuzi na technology mbalimbali kutoka kwa majini na kutudanganya kwamba wao wana akili kutuzidi si kweli,.
 
Upo sahihi katika nadharia ambayo haijathibitishwa. Hata wewe unaweza kesho kuamka na kusema umekutana na jini.

Sasa swali linabaki kwako wewe binafsi unaamini majini yapo?
Majini yapo na baadhi muhammad aliyaslim na yakawa waislamu, wanasali na kufunga mwezi wa ramadhani
 
Back
Top Bottom