Swali: Waislamu wanaruhusiwa kuoa majini?

Nimeuliza hili swali,

Naomba kujibiwa.

Hapana.

Ila Tunashirikiana nao kwenye Ibada.
Huwa tunakuwa nao msikitini.

Na pia wale majini wanaomuamini allah sio wabaya na yanakaa sehem safi safi . Ila yale majini makafiri huwa yanapenda uchafu na yanakaa sana chooni kutuchungulia.

Ndio maana huwa tunafanya dua kabla ya kuingia chooni.

😎😎😎😎
 
Dah!Kwa hiyo kuna majini mapenda chabo?Wana laana hao.
 
Hapana.

Ila Tunashirikiana nao kwenye Ibada.
Huwa tunakuwa nao msikitini.

Na pia wale majini wanaomuamini allah sio wabaya na yanakaa sehem safi safi . Ila yale majini makafiri huwa yanapenda uchafu na yanakaa sana chooni kutuchungulia.

Ndio maana huwa tunafanya dua kabla ya kuingia chooni.

😎😎😎😎
Jibu swali,

Mnajumuika pamoja kuswali, ikitokea umelipenda, au limekupenda la kike kama wewe ni me, au jini Me limekupenda mtu ke,

Ipo ruhusa Kwa taratibu za dini kufunga nalo ndoa?
 
Qur'an 72:1 Majini wapo na baadhi yao ni Waislamu.

Qur'an 55:56 Inazungumzia wenza wa Peponi ambao hawajaguswa na binadamu wala jini.

Qur'an 18:50 Iblis alikuwa katika jamii ya majini.

Qur'an 6:128 Inataja mahusiano na kushirikiana kati ya majini na binadamu.
Kumbe yawezekana muislamu kuoa jini bila shida yoyote kiimani
 
Jibu swali,

Mnajumuika pamoja kuswali, ikitokea umelipenda, au limekupenda la kike kama wewe ni me, au jini Me limekupenda mtu ke,

Ipo ruhusa Kwa taratibu za dini kufunga nalo ndoa?

Nimeshakujibu Bro.
HAPANA.

Majini hata kama ni Maislamu. Hayaruhusiwi kushirikiana na Binadamu.

Ndio maana kuna dua za kuyaondoa.
Mfano kama umepatwa na jini Mahaba. Kuna dua.

Ila kuna majini mazuri. Haya hayana shida. Ndio maana utasikia kuna Sheikh anafuga majini.
Basi ni haya mazur. Majini ya Kiislamu.

Haya hadi mwez wa Ramadhan yanafunga. Na yanaenda hija kumpiga mawe jini mbaya Shetani
(Ramy al-Jamarat).
 
Hayo majini mazuri unayosema wewe, haiezekani muislamu kulipenda moja la kike na kulioa?
 
Bro wanawake wamekukosea nn hadi unataka kuoa jini.😎😎😎

Majini yanaoana yenyewe kwa yenyewe.
Majini yanaweza kushirikiana na binadamu ndio, ila sio hii ya kuoana na kuzaliana.

Na huo ushirikiano umekatazwa kwenye Quran.
 
Back
Top Bottom