Swali: Waislamu wanaruhusiwa kuoa majini?

Swali: Waislamu wanaruhusiwa kuoa majini?

Hapana.

Ila Tunashirikiana nao kwenye Ibada.
Huwa tunakuwa nao msikitini.

Na pia wale majini wanaomuamini allah sio wabaya na yanakaa sehem safi safi . Ila yale majini makafiri huwa yanapenda uchafu na yanakaa sana chooni kutuchungulia.

Ndio maana huwa tunafanya dua kabla ya kuingia chooni.

😎😎😎😎

Mashoga tu hayaolewi hayo yanaweza kwenda kanisani ni ruhusa kule kuolewa
 
Kwenye hvy vitabu Kuna hayo mambo nilioelezea hapo juu

mfano mwingine.
Kwenye Biblia haijaandikwa haya.
Ila kwenye Quran imeandikwa.

Na ni copy and paste kutoka vitabu vya apokrifa.

Gospel of infancy : sura ya kwanza kabisa ya kitabu hiki cha kale
"Yesu alizungumza alipokuwa amelala kwenye utoto wake, na akamwambia mama yake: 'Mimi ni Yesu, Mwana wa Mungu, Neno..."

Infancy Gospel of Thomas : Katika sura ya 2 ya kitabu hiki, inasimuliwa kuwa Yesu akiwa na umri wa miaka mitano alifinyanga ndege 12 wa udongo siku ya sabato. Alipopiga makofi na kuwaambia "Nendeni, rukeni!", ndege hao waligeuka viumbe hai na kuruka wakilia.

Protoevangelium of James : Kitabu hiki kinaeleza maisha ya Bikira Maria tangu kuzaliwa. Sura ya 8 inasema Maria alilelewa hekaluni kama njiwa na alikuwa "akipokea chakula kutoka mkononi mwa malaika."

Habari hii👆👆 iko kwenye Quran 3:37. Inasema kuwa kila mara Zakariya alipoingia kwenye chumba cha ibada cha Maryam (Mihrab), alikuta chakula cha miujiza. Maryam akamwambia, "Hiki kinatoka kwa Mwenyezi Mungu."

Hizi zote haziko kwa Biblia.
Jamaa kazitoa kwenye vitabu vya kimapokeo.

This prove kuwa Quran sio wahyi wala nn.
Ni ujanja ujanja tu wa kukusanya Visa na mawaidha ya kumtumikia Mungu.
 
Weka Aya inayokataza Islam kushirikiana na majini au kuoana nayo
Tumepewa amri ya kuoa wale wanaotokana na sisi ama miongoni mwetu binadam na si viumbe vingine.
Screenshot_2026-11-11-11-06-07-49_9c8f038911ec651d7a588d16d22aeb03.jpg
 
mfano mwingine.
Kwenye Biblia haijaandikwa haya.
Ila kwenye Quran imeandikwa.

Na ni copy and paste kutoka vitabu vya apokrifa.

Gospel of infancy : sura ya kwanza kabisa ya kitabu hiki cha kale
"Yesu alizungumza alipokuwa amelala kwenye utoto wake, na akamwambia mama yake: 'Mimi ni Yesu, Mwana wa Mungu, Neno..."

Infancy Gospel of Thomas : Katika sura ya 2 ya kitabu hiki, inasimuliwa kuwa Yesu akiwa na umri wa miaka mitano alifinyanga ndege 12 wa udongo siku ya sabato. Alipopiga makofi na kuwaambia "Nendeni, rukeni!", ndege hao waligeuka viumbe hai na kuruka wakilia.

Protoevangelium of James : Kitabu hiki kinaeleza maisha ya Bikira Maria tangu kuzaliwa. Sura ya 8 inasema Maria alilelewa hekaluni kama njiwa na alikuwa "akipokea chakula kutoka mkononi mwa malaika."

Habari hii👆👆 iko kwenye Quran 3:37. Inasema kuwa kila mara Zakariya alipoingia kwenye chumba cha ibada cha Maryam (Mihrab), alikuta chakula cha miujiza. Maryam akamwambia, "Hiki kinatoka kwa Mwenyezi Mungu."

Hizi zote haziko kwa Biblia.
Jamaa kazitoa kwenye vitabu vya kimapokeo.

This prove kuwa Quran sio wahyi wala nn.
Ni ujanja ujanja tu wa kukusanya Visa na mawaidha ya kumtumikia Mungu.

KWA MAELEZO YAKO UNATHIBITISHA PASINA SHAKA KUWA;
Waandishi wa Biblia hawakuona umuhimu wa kuandika maisha ya Yesu. Wamemuandika alivyozaliwa, wakaja kumuandika tena akiwa na miaka 28 (takriban miaka mitatu ya mwisho wa maisha yake).
Hivyo ukitaka kujua maisha ya Yesu, katika hatua mbalimbali za maisha yake, waulize Waislam!
 
Ni kweli Kuna meng hawajaandika kwenye Biblia.
Kuuliza waislam pia sio kwamba wanajua. Maana nao pia wameandika kwa kupotosha.

Mfano kile kisa cha Mussa na kuchinja ngombe.

Tukisema: Mpigeni (huyo maiti) kwa sehemu yake (huyo ng’ombe). Namna hivi Mwenyezi Mungu hufufua wafu..."
(Quran 2:73)

Hiki hakiko kwenye vitabu vya apokrifa, kiko kwa Biblia pekee. Ila wamekigeuza mantiki kwenye Quran.
 
Kisa cha Ngombe Waislam wamecopy kwa Torati ya Mussa na sio kwenye Biblia.
Ukitaka kumjua Yesu kwa uzuri huwezi kupata kwenye Biblia labda kama unataka tu kujua miujiza aliyoifanya miaka mitatu ya mwisho... ukiuliza utapewa vizingizio visivyokuwa na mashiko kuwa biblia ingekuwa kubwa sana.
Mbona wameweza kuandika mengi tu ya wanafunzi yanayo jirudia rudia tena mengine yanapingana kabisa....ndio wakose nafasi ya kuandika historia ya Yesu???
PENGINE TOLEO LIJALO LA BIBLIA LILILOKO JIKONI WATAWEKA!
 
Kisa cha Ngombe Waislam wamecopy kwa Torati ya Mussa na sio kwenye Biblia
Na ndio nakuambia kuwa Biblia haijaandika kuwa Ngombe alichinjwa na nyama yake kumpiga maiti. Na maiti ikafufuka na kusema aliyemuua.

(mtu anaweza kuhoji, kuwa kumbe allah anafufua watu kwa kuchinja ngombe)

Biblia haijaandika hivyo.
Wala vitabu vile vya apokrifa.

Unajua miaka ile hivi vitabu pia ilikuwa ni kama masimulizi ya mdomo .
story inahadithiwa hivi alafu mwingine na kizazi chake anaweza kuongeza ya kwake. Na kama huyu anayeongeza akiandika kitabu basi mtaamini aliyoandika.

Historia ya Yesu iko uyahudini.
Wao pamoja na kumkataa Yesu. Bado wanahadhia ya kweli.

Ila inakuwaje hawajaandika ambayo Warabu wameandika kuhusu Yeye?.
Tena baada ya miaka 600+ mbele.

Tumuamini Muarabu ambaye yuko mamia ya maili pemben. Na tuache kuamini waliokuwa nae kabila moja?.

Haihitaji akili kubwa sana kujua nani ameteleza kwenye hizi story.
 
Back
Top Bottom