Swali: Waislamu wanaruhusiwa kuoa majini?

Swali: Waislamu wanaruhusiwa kuoa majini?

Kwa wajuvi wa mambo wenye ILIMU..watusaidie kutuorodheshea MAJINI WAZURI kwa majina Yao ili tuwafahamu..mfano ataje labda JINI taja jina lake Fulani ni zuri...ili tuwafahamu kwa majina Yao??
 
Imani wa mujibu wa Biblia "Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana"
Wakristo ndo waaiamini Biblia - Ndo mwaongozo wao kama ilivyo Qur'an tukufu kwa Waislam. Kwa mantiki hiyo mtu anaweza kutokuamini kwa sababu hakuna uthibitisho wowote uliopo bali ni kuamini au kusadiki tu kwamba huo ndo unaweza kuwa ukweli.
Mimi naamini vitabu vyote Biblia na Quran lakini tatizo lipo kwa wakristo, wanaona kwamba waislamu tumepotoka kutofautiana kwa baadhi ya mambo sio conclusion hata waislamu kuna madhehebu mengi tu na tofauti kibao lakini chan msingi tunatakiwa kufocus kwenye common interest, ufanano na sio utofauti, kwasababu msingi wa dini zote 3 (uyahudi, ukristo, uislamu) ni moja yaani Ibrahim
 
Hapana.

Ila Tunashirikiana nao kwenye Ibada.
Huwa tunakuwa nao msikitini.

Na pia wale majini wanaomuamini allah sio wabaya na yanakaa sehem safi safi . Ila yale majini makafiri huwa yanapenda uchafu na yanakaa sana chooni kutuchungulia.

Ndio maana huwa tunafanya dua kabla ya kuingia chooni.

😎😎😎😎
Picha iko wapi?
 
Kwan jini ni nini..?
Limeumbwa kwa kutumia nin?
Je mtu ana uwezo wa kuona jini..

Au muulizaji unamihemko yako tu
 
Kwa wajuvi wa mambo wenye ILIMU..watusaidie kutuorodheshea MAJINI WAZURI kwa majina Yao ili tuwafahamu..mfano ataje labda JINI taja jina lake Fulani ni zuri...ili tuwafahamu kwa majina Yao??
Hivi hata kwa watu tu unao waona unaweza kusema huyu ni mwema na huyo ni muovu? Unaweza kumuona mtu ni mwema ila nyuma ya pazia ni muovu kuliko yule unaefikiria ni muovu, hio list hata ukipewa haitakua sahihi kwa maana majini nao ni hivyo hivyo lakini kwa jumla majini wanaoingia watu ndio hukusudiwa waovu.
 
Nimeshakujibu Bro.
HAPANA.

Majini hata kama ni Maislamu. Hayaruhusiwi kushirikiana na Binadamu.

Ndio maana kuna dua za kuyaondoa.
Mfano kama umepatwa na jini Mahaba. Kuna dua.

Ila kuna majini mazuri. Haya hayana shida. Ndio maana utasikia kuna Sheikh anafuga majini.
Basi ni haya mazur. Majini ya Kiislamu.

Haya hadi mwez wa Ramadhan yanafunga. Na yanaenda hija kumpiga mawe jini mbaya Shetani
(Ramy al-Jamarat).

Yampige shetani, wakati na shetani ni muislam!! Si mnasema Mud alimsilimisha shetani akafanywa kuwa rafiki wa waislam!
 
UISLAM HAURUHUSU BINADAM KUHUSIANA NA MAJINI SIO TU KWENYE KUOANA BALI KATIKA KILA KITU BINADAMU HUTAKIWI KUHUSIANA NA MAJINI.

Quran 27:17
"Na alikusanyiwa Sulaiman majeshi yake ya majini na watu, na ndege; nayo yakapangwa kwa nidhamu."

Quran 34:12-13
katika Majini walikuwako waliofanya kazi mbele yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi... Wakamfanyia alivyopenda—mihimu (majumba makubwa), na masanamu, na mafkozi makubwa kama mabwawa, na nyungu thabiti..."

Quran 21 :82
"Na katika mashetani (majini waasi) walikuwako waliomzamia (baharini kutafuta lulu) na wakafanya kazi nyenginezo zisizo kuwa hizo..."
 
Kiimani, majini ni viumbe wachafu wa kiroho ambao, pamoja na shetani, walimwasi Mungu. Tangu kale ilijulikana kuwa wanaitwa majini, mwanzo waliumbwa kama na Mungu kama malaika, walipomwasi Mungu, walifukuzwa, na sasa wanamtumikia shetani, na kazi kubwa ni kumpeleka mwanadamu kwenye jehanamu ya milele. Ukisikia mtu anamiliki au kufuga majini, ujue huyu ni wakala wa kiwango cha juu wa ibilisi shetani.

In Christian and Abrahamic traditions, demons are considered spiritual beings—specifically fallen angels who rebelled against God and now follow Satan (the Devil), who acts as their ruler or chief.

Relationship to Satan: Satan is frequently referred to as the "prince of demons" or ruler of the kingdom of darkness, and demons are understood to do his bidding or align with his opposition to God. Hakuna habari ya jini mzuri na jini mbaya, au shetani mzuri na shetani mbaya.

Kiimani, Shetani ni mfalme wa Ulimwengu, ana majini, ana watumishi wake, na waumini wake wanaomwabudu na kumwomba usiku na mchana.

Na kwa upande mwingine kuna Mungu ambaye ni mfalme wa mbingu ya milele, ambaye ana malaika wake, watumishi wake na waumini wanaomwabudu usiku na mchana.

Mwanadamu ameachwa katika uhuru, wa kumtumikia mfalme wa Ulimwengu au mfalme wa Mbingu ya milele.
 
Quran 27:17
"Na alikusanyiwa Sulaiman majeshi yake ya majini na watu, na ndege; nayo yakapangwa kwa nidhamu."

Quran 34:12-13
katika Majini walikuwako waliofanya kazi mbele yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi... Wakamfanyia alivyopenda—mihimu (majumba makubwa), na masanamu, na mafkozi makubwa kama mabwawa, na nyungu thabiti..."

Quran 21 :82
"Na katika mashetani (majini waasi) walikuwako waliomzamia (baharini kutafuta lulu) na wakafanya kazi nyenginezo zisizo kuwa hizo..."

Waione 👆👆👆👆
ngorokori Shytown na doctor Of doctors.

Tukumbushane kidogo kuhusu visa vya Quran na Biblia kuwa tofauti.

Kwenye Biblia , Mfalme Suleiman hakuna mstari unaosema Suleiman aliamrisha au kutumia majini kujenga hekalu au sanamu au kutafuta Lulu.

Ila kwenye Quran imeandika hivyo (hayo ya juu).
Unajua Mohamed kaitoa wapi hii story?.

Sasa Hizi habari tunazosikia pamoja na zile kuwa Suleiman alikuwa na Pete ya ajabu yenye muhuri wa Mungu ziko kwenye Vitabu vya Apokrifa.
Hiko kitabu cha Suleiman kilichoandika hayo ya Yeye kushirikiana na majini kinaitwa Wosia wa Sulemani (Testament of Solomon). Na Kimeandika karne ya 1 hadi ya 3.

Kwahiyo hizo kusema Sijui Quran imeandika vitu kwenye karne ya 7 ambavyo vimekuja kugundulika karne ya 21. Ni copy and paste ya visa vya biblia na maarifa ambayo yalikuwepo toka karne ya 1 hadi 3.

Jamaa aliamua kuziweka kwenye Quran.
Sio jambo jipya.

NB:
Kabla ya kubisha. Naomba tafuta mwenyewe taarifa kwenye chatGpt.
 
Waione 👆👆👆👆
ngorokori Shytown na doctor Of doctors.

Tukumbushane kidogo kuhusu visa vya Quran na Biblia kwa tofauti.
Kwenye Biblia , Mfalme Suleiman hakuna mstari unaosema Suleiman aliamrisha au kutumia majini kujenga hekalu lake au sanamu au kutafuta Lulu.

Ila kwenye Quran imeandika hivyo (hayo ya juu).
Unajua Mohamed kaitoa wapi hii story?.

Sasa Hizi habari tunazosikia pamoja na zile kuwa Suleiman alikuwa na Pete ya ajabu yenye muhuri wa Mungu ziko kwenye Vitabu vya Apokrifa.
Hiko kitabu cha Suleiman kilichoandika hayo ya Yeye kushirikiana na majini kinaitwa Wosia wa Sulemani (Testament of Solomon). Na Kimeandika karne ya 1 hadi ya 3.

Kwahiyo hizo kusema Sijui Quran imeandika vitu kwenye karne ya 7 ambavyo vimekuja kugundulika karne ya 21. Ni copy and paste ya visa vya biblia na maarifa ambayo yalikuwepo toka karne ya 1 hadi 3.

Jamaa kaiweka kwenye Quran.
Sio jambo jipya.

NB:
Kabla ya kubisha. Naomba tafuta mwenyewe taarifa kwenye chatGpt.
Kwenye hvy vitabu Kuna hayo mambo nilioelezea hapo juu
 
Kwenye hvy vitabu Kuna hayo mambo nilioelezea hapo juu
Yapo zaidi ya hayo.

Kuna vitabu chungu mzima vina maarifa makubwa zaidi ya hayo yaliyoandikwa kwenye Quran.

Hoja yangu ni kuwa Mtume kakusanya kusanya .
Sasa kama ameweza kukusanya visa vyoote vya Biblia. Atashindwa kukusanya hivyo vya maarifa?.
 
Back
Top Bottom