Swali: Waislamu wanaruhusiwa kuoa majini?

Basi sawa nauficha ujinga wangu,

Naomba kueleweshwa sheh wangu
Mungu aliumba wanawake kwaajili ya wanaume na sio majini kwaajili ya binadamu. Kasome hapa utaelewa zaidi Surah Ar-Rum, 30:21

Upande wa nadharia niliozungumza mwanzo nikwamba hakuna kitu kama majini katika dunia bali ni psychological. Kama wapo basi hao ni viumbe wa 5th dimension na sisi ni viumbe vya 3rd dimension.
 
Bro wanawake wamekukosea nn hadi unataka kuoa jini.😎😎😎

Majini yanaoana yenyewe kwa yenyewe.
Majini yanaweza kushirikiana na binadamu ndio, ila sio hii ya kuoana na kuzaliana.

Na huo ushirikiano umekatazwa kwenye Quran.
Wanayaoa au kuolewa ili waishi kiubwete.Nasikia yanatoa mahela na madini kama yote.Allah atunusuru na hiyo dhahma.
 
Mungu aliumba wanawake kwaajili ya wanaume na sio majini kwaajili ya binadamu. Kasome hapa utaelewa zaidi Surah Ar-Rum, 30:21

Upande wa nadharia niliozungumza mwanzo nikwamba hakuna kitu kama majini katika dunia bali ni psychological. Kama wapo basi hao ni viumbe wa 5th dimension na sisi ni viumbe vya 3rd dimension.
Unakiri uwepo wa majini kwenye andiko,Kisha unakataa hayapo kinadharia!

Contradiction
 
Naomba Aya inayokataza kuoa jini Kwa muislamu
Sidhan kama kuna Aya.
Ngoja watakuja masheikh kukujulisha.

Mm ninachojua kuna aya kadhaa zinazokata Ushirikiano wa majini na binadamu.

ila Binadam pekee aliyepewa uwezo wa kuyaamuru majini ni Mfalme Suleiman.
 
Nawasubiri watoke swala ya adhururi
 
Unakiri uwepo wa majini kwenye andiko,Kisha unakataa hayapo kinadharia!

Contradiction
Kutokana na imani ya watu ndio maana nimesema ni psychological.
Lakini swali ni nani amewahi kumuona huyo jini na kusema huyu ni jini? Ndio maana inabaki nadharia tu ambayo kama ikithibitishwa basi sawa.
Katika dimensions jini ambalo limeumbwa kwa moto uwezo wake uko kwenye 5th dimension huku sisi tukiwa 3rd, sasa unawezaje kuoa kiumbe cha 5th?
 
Astakafilaluh mtumeeeee
Muslims mnaamini sana mazonge.
Mswalie mtume sheikh.

Ukibisha ntakutupia jini liwe linakuchungulia ukiwa chooni.

NB :
Nimepunguza ukali wa maneno. Maana Hapo kwenye kuchungulia. Toa na weka kukushika makebo ukiwa chooni 😂😂😂😂
 
Kutokana na imani ya watu ndio maana nimesema ni psychological.
Lakini swali ni nani amewahi kumuona huyo jini na kusema huyu ni jini? Ndio maana inabaki nadharia tu ambayo kama ikithibitishwa basi sawa.
Katika dimensions jini ambalo limeumbwa kwa moto uwezo wake uko kwenye 5th dimension huku sisi tukiwa 3rd, sasa unawezaje kuoa kiumbe cha 5th?
Wao wanaowaona na wanaswali nao na wapo.

Sasa kama hujui wapo, Hilo ni jambo lingine.
 
Upo sahihi katika nadharia ambayo haijathibitishwa. Hata wewe unaweza kesho kuamka na kusema umekutana na jini.

Sasa swali linabaki kwako wewe binafsi unaamini majini yapo?
 
Hapana.

Ila Tunashirikiana nao kwenye Ibada.
Huwa tunakuwa nao msikitini.

Na pia wale majini wanaomuamini allah sio wabaya na yanakaa sehem safi safi . Ila yale majini makafiri huwa yanapenda uchafu na yanakaa sana chooni kutuchungulia.

Ndio maana huwa tunafanya dua kabla ya kuingia chooni.

😎😎😎😎
Acha uzushi. HAKUNA MAJINI.
 
Upo sahihi katika nadharia ambayo haijathibitishwa. Hata wewe unaweza kesho kuamka na kusema umekutana na jini.

Sasa swali linabaki kwako wewe binafsi unaamini majini yapo?
Chochote chenye jina kipo.

Na uko tulishavuka,

Swali ni waislamu wanaruhusiwa kuoa majini?

Hapo ndipo tulipo Leo

adriz
 
Back
Top Bottom