Swali: Waislamu wanaruhusiwa kuoa majini?

Hapana si ruksa kwa muislam kuoa jini ndoa na sheria zake zimeelezwa katika Quran, ni baina ya mwanamme na mwanamke na jini hakutajwa popote na wala hakuna zaidi ya hapo, kuhusu kazi halali tunaweza kushirikiana nao kwakuwa wana elimu na ujuzi mbalimbali ndio maana wazungu wametupiga bao wao wanachota ujuzi na technology mbalimbali kutoka kwa majini na kutudanganya kwamba wao wana akili kutuzidi si kweli,.
Kwenye hizo Sheria zenu kiimani, Kuna mahala waislamu wamekatazwa kuoa, au kuolewa na majini?
 
Mbona waislamu wengi wanaelimu ya majini na hayajawasaidia
 
Kwenye hizo Sheria zenu kiimani, Kuna mahala waislamu wamekatazwa kuoa, au kuolewa na majini?

Wewe kwenye Biblia kuna mahali umekatazwa kuoa au kuolewa na sokwe?
Maswali mengine yanaonesha tunahitaji sana kuwa na maarifa....
 
Jikite kwenye mada.

Wewe muislamu unaruhusiwa kuoa jini?

Jibu ndio au Hapana, au sijui

Hasira za nn?
 
Kwanza lazima muelewe jini kwa muislam aliyesoma na kuelewa ni kama kuku tu its not a big deal hivyo sidhani kama kuna haja ya ku ona u special wa jini wakristo ndio waoga na kuyakuza mambo, jini ni kiumbe tu kama alivyo Panya na kiongozi wa dunia ni binadamu hivyo ni sawa na wewe unavyo mtumikisha punda tu bila kujali
 
Nimeshakuelewa mkuu umeeleza vizuri sana kwa uwazi kabisa bila kuficha km wanavyofanya wengine, umewahi kufuga jini?
 
Kwanza lazima muelewe jini kwa muislam aliyesoma na kuelewa ni kama kuku tu its not a big deal hivyo sidhani kama kuna haja ya ku ona u special wa jini wakristo ndio waoga na kuyakuza mambo, jini ni kiumbe tu kama alivyo Panya na kiongozi wa dunia ni binadamu hivyo ni sawa na wewe unavyo mtumikisha punda tu bila kujali
Achana na wakristo bwashee -hawaogopi kitu ambacho hakipo.
 
Sasa kama hawaogopi kwanini wakristo wamekua wakiuliza sana na kuhoji kuhusu jambo ambalo halipo? Na tunaulizwa sisi waislam ambao tunaamini hili jambo lipo?

Jiulize kuhusu hili technology tuliyonayo sasa je ni binadamu pekee amefanya au ameshirikiana na majini? Ila ni nyie nyie wakristo mnaamini Allien wapo mzungu anawazuga ni alien ila tuliwaambia na majini mnakataa
 
Majini yatumiwayo na wazungu na haya watumiayo waswahili ni tofauti?

Mbona tofauti ya natokeo kiuchumi ni kubwa mno?

Tujikite kwenye mada
 
Sasa kama hawaogopi kwanini wakristo wamekua wakiuliza sana na kuhoji kuhusu jambo ambalo halipo? Na tunaulizwa sisi waislam ambao tunaamini hili jambo lipo?
Wanawaulizeni nyie kwa sababu wanawaona mko bize na hawaelewi ubize wenu unatokana na nini.
Jiulize kuhusu hili technology tuliyonayo sasa je ni binadamu pekee amefanya au ameshirikiana na majini?
Ni binadamu pekee. Tech. tuliyonayo haijazuka siku moja. Ni muendelezo na maboresho ya tech. zilizoibuliwa kitambo(zamani).
Ila ni nyie nyie wakristo mnaamini Allien wapo mzungu anawazuga ni alien ila tuliwaambia na majini mnakataa
Hakuna wakristo wanaoamini uwepo wa Alliens hata uwepo wa hayo madubwana yanayoitwa majini.
 
Wanawaulizeni nyie kwa sababu wanawaona mko bize na hawaelewi ubize wenu unatokana na nini.

Ni binadamu pekee. Tech. tuliyonayo haijazuka siku moja. Ni muendelezo na maboresho ya tech. zilizoibuliwa kitambo(zamani).

Hakuna wakristo wanaoamini uwepo wa Alliens hata uwepo wa hayo madubwana yanayoitwa majini.
Ongeza nyama
 
Wewe kwenye Biblia kuna mahali umekatazwa kuoa au kuolewa na sokwe?
Maswali mengine yanaonesha tunahitaji sana kuwa na maarifa....

ndiyo, Bibia inasema ndoa ni muungano kati ya mwanamke mmoja na mwanaume mmoja

Mwanzo 2:24 ...
 
Wanawaulizeni nyie kwa sababu wanawaona mko bize na hawaelewi ubize wenu unatokana na nini.

Ni binadamu pekee. Tech. tuliyonayo haijazuka siku moja. Ni muendelezo na maboresho ya tech. zilizoibuliwa kitambo(zamani).

Hakuna wakristo wanaoamini uwepo wa Alliens hata uwepo wa hayo madubwana yanayoitwa majini.
Kama huamini Aliens wala majini basi iweje uamini Mungu yupo? Pia kama huamini majini iweje wakristo wanaamini mapepo? It doesn't make sense

Kuhusu Technology pole sana kwa kuamini ni binadamu pekee ameshiriki katika ukuaji wa tec iwapo muziki tuu jambo dogo lakini wazungu wanatungiwa mashairi na beats na hao majini vipi kuhusu mambo makubwa?

Uislamu hatuko Bize ila tunachangia imani moja
ya ulimwengu na majini na si sidhani kama viumbe wa Mungu kuchangia imani ni tatizo sasa iwapo miti, viumbe hai vyote vinatambua na kumuamini Mungu mbona hamuulizi?
 
Imani wa mujibu wa Biblia "Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana"
Wakristo ndo waaiamini Biblia - Ndo mwaongozo wao kama ilivyo Qur'an tukufu kwa Waislam. Kwa mantiki hiyo mtu anaweza kutokuamini kwa sababu hakuna uthibitisho wowote uliopo bali ni kuamini au kusadiki tu kwamba huo ndo unaweza kuwa ukweli.
 
Back
Top Bottom