homo sapiens
Senior Member
- Nov 5, 2016
- 162
- 172
Labda wewe mwenzetu ni mudhungu, muulizaji analenga Muafrika mwenyeji wa Tanzania. Hapo familia ina akiba ya laki mbili tu kibindoni, si kama napenda bali sheria yetu ya ndoa inamtwika mume majukumu yote ya kugharamia ndoa, mke anayo hiyari kuchangia ama la! Sheria haimbani.inategemeana na mfumo wao wa ndoa.
kwani kuna ndoa zingine zinaona hela ya baba ndio ya familia na ya mke ni ya mke.
lakini zingine kama yangu ni kwamba hela ya mke ni yetu na hela ya mme ni yetu .hivyo tunaziweka pamoja na kufanyia jambo la kimaendeleo kama tunavyopanga pamoja.
ni mtazamo wa familia yetu maana kila mtu ana ndoa yake.
hivyo inaweza kuwa laki mbili au milioni tano na laki mbili kulingana na mfumo tajwa hapo juu